Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,734
- 29,124
Mzuka wanajamvi!
Nimekutana leo na raia wa Niger. Nakuweza kumuiliza maswali kuhusu maisha na hali ya nchi yao. Japo ilikuwa kwa muda mfupi sana nilijifunza hasa haya mapinduzi.
Ufaransa kusema kweli wana roho mbaya. Wewe fikiria kwa miaka 63 wanachimba uranium Niger hata hawana umeme wanategemea umeme kutoka Nigeria tena siyo wa uhakika. Wakati uranium ya Niger inawasha ulaya. Fikiria tu.
Niger inamafuta hasa mpakani huku karibu na Libya na mafuta Niger, Nigeria, Angola na libya ni yale matamu sweet oil easy to refinary ni tofauti na ya arabuni lakini Niger ni maskini wa kutupwa.
Gaddafi alikuwa tayari kusaidia Niger kabisa hasa kwenye rasilmali zake za mafuta na uranium lakini wakamuua.
Anazichukia sana tawala za Benin na Nigeria.
Nikamuuliza vipi hivi vikwazo Niger wamewekewa si zitawasumbua. Akacheka balaa. Akajibu sasa hata wakiweka vikwazo havitasaidia kwasababu wameshazoea njaa toka zamani hata wakati gamna vikwazo hali ni mbaya. Niger hamna ombaomba wa pesa bali kuna omba omba wa chakula.
Yani hi kitu kimeniuma sana bongo hapa omba omba wanaombaga pesa lakini Niger omba omba wanaombaga chakula tu. INASIKITISHA SANA. Wakati bepari ufaransa anaisafisha nci bila huruma.
Akaniambia Gaddafi na Libya walipgwa vikwazo vya kiuchumi na no fly zone miaka 27 lakini ndio kwanza uchumi wa libya ukaimarika zaidi na zaidi na kupelekea Gaddafi kutaka kuzisaidia nchi za Africa kiuchumi.
Tumebadilishana WhatsApp nataka weekend ijayo tukutane nimuhoji zaidi.
Hizi propaganda tunazolishwa sometimes na western media ni za kuzichuja.
Mwanzoni nilikuwa napinga haya mapinduzi. SASA HIVI NAUNGA MKONO MAPINDUZI YA KIJESHI YA NIGER.