Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Naona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika

Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona

Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda.

Hapa bongo leo imetoka kauli tata.

Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa.

Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
 
Viongozi ndio chanzo cha majanga yote Afrika.
ufisadi wakishirikiana na mataifa ya kigeni huku wakizidi kuwafukarisha raia wao.
Wanajiwekea Kinga na Sheria zinazowalinda wao dhidi ya wananchi wao. Afrika nazani tuna laana
 
Wewe endelea kutokuchoka tuu, itafutie familia yako maisha haya mengine unajisumbua tuu, ni sawa na kujamba ukiwa ume dive kwenye bahari walio beach haiwasumbui wala samaki ushuzi hautawasumbua.
Naona nyeo limeanza kukuwasha
 
Kwa namna Siasa ya Nchi yetu inavyoendeshwa ni ngumu sana kushuhudia mapinduzi ya kijeshi.

Misingi ya Nchi yetu imewekwa kwenye mwamba imara
 
Naona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika

Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona

Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda.

Hapa bongo leo imetoka kauli tata.

Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa.

Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
Tunawahitaji akina John Okello, Dedan Kimanth na wengine wa aina hiyo, na wanakuja
 
Kwa namna Siasa ya Nchi yetu inavyoendeshwa ni ngumu sana kushuhudia mapinduzi ya kijeshi.

Misingi ya Nchi yetu imewekwa kwenye mwamba imara
Endelea kuamini hivyo unadhani mapinduzi yanafanywa na hao wenye vyeo vikubwa jeshini haapana hao umri umekwwnda na wana security ya maisha yao mara nyingi ni hao wadogo wasio na vyeo vikubwa ndio wanaopindua na hata huku inawezekana
 
Back
Top Bottom