mapenzi

  1. yuda75

    JamiiForums Tanzania Je, baada ya kufanya mapenzi bila kinga na mtu usiyemwamini(tegemea) ulikuwa na hali gani?

    Hakuna kitu kinaumiza kichwa kama kuuza mechi mana mawazo yanakuja mengi sana na kuogopesha haya mambo haya jamani tuyaache. Nina msongo wa mawazo wa kutosha.
  2. Lager

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma nyie

    Hapa nilipo sijala toka jana! Alinitumia tu meseji Usinitafute Tena mimi na wewe yameisha nilikuomba hela ya kusuka ukaniambia nikanyoe! Nimejitahidi kumbembeleza hataki nimemtumia hela ya kusuka kairudisha,katuma na picha yake akiwa kanyoa kipara watu walivyomcheka ndo akaamua kuniacha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dalili za mapenzi kufa

    Naombeni kuzijua dalili za mapenzi kufa. Yaani utajuaje kama mapenzi yako yashakufa au yanataka kufa?
  4. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Mwaka 2008 niliingia Durban baada ya kuitwa na jamaa zangu waliokuwa huko. Hawa jamaa zangu tuna undugu pia. Kaka yao kaoa shangazi yetu, na pia kaka yetu kaoa dada yao, ni kama tumeoleana, wao wameoa kwetu na sisi tumeoa kwao. Pia hawa jamaa tumesoma shule moja ya msingi japo madarasa tofauti...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Njia panda ya mapenzi

    Habari za mchana wadau. Ni hivi ni takriban miezi sita Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu,tunapendana Sana na tumespend Sana kipindi cha miez mitano iliyopita bila mkewe kujua. Nikapata Safari mkoa flan,tukawa tunawasiliana kwenye simu almost every day and night.Sasa mhusika akawa hafuti zile...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike, Umri 21-22

    E
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kitu Nisichoweza Kwenye Ulimwengu Wa Mapenzi

    Wewe Mwanamke Nikikutongoza Ni Siku 3 Tu, Ukizingua Haya Sina Muda Na Wewe Tena Labda Yani Labda Unifuate Mwenyewe. Mimi Mambo Ya Kubembeleza Mapenzi, Wiki, Mwezi, Mwaka Huu Mchongo Nimejaribu Nimeshindwa! Hivi Wale Wanaume Ving'ang'anizi Mnaofuatilia Dame Hata Miezi 2 Teh Teh Teh Mnajua...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi Majini, hasa mkiwa baharini kuweni Makini

    Kumekuwa na watu ambao hupenda fanya mapenzi majini hasa hasa baharini. Nliwahi shuhudia mmoja kunduchi wakati anafanya tendo hilo akabanwa na mshipa. Alipiga kelele sana huku na mpenzi wake naye akikimbia chupi ipo upande.jamaa mashine inaonekana inatema some heavy liquid kama pua inayotokwa...
  9. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Kuombwa hela, kutoa hela na kuhonga katika mapenzi

    Habari wadau. Kitendo Cha kuhonga katika mapenzi Ni kitendo Cha asili.toka zama za mababu wanaume walikua wakiwahonga wapenzi wait vitu mbalimbali mfano khanga,vitenge,nguo,viatu,vipodozi,hell na Vito vya thamani. Mambo haya yalifanyika kabla ya kumpata mwanamke na baada ya kumpata mwanamke...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya "HIPS" kwenye mapenzi

    1. Ndugu zangu naomba kuelimishwa, elimu yangu ndogo Tena ya kuunga-unga kutokana na kure-sit Mara kadhaa bila mafanikio ya kupata Credits za kujiunga elimu ya juu zaidi. 2. Nauliza, nini nafasi ya "HIPS" au hata Trako katika mapenzi? Maana naona matangazo mengi yanataja Sana sehemu hizo za...
  11. crusader_jr

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana maana, bora niwe peke yangu

    Anyway hawa viumbe(ke) sijui mpewe nini ili mjue mnapendwa damn it. Mtu unampa muda, respect, love unatimiza mahitaji mwisho wa siku anakula kichwa ani ghafla tu aisee nimekumbuka humu ndani kuwa mke ambae sio bikra sio mke wako ni mke wenu. Anyway suala la kuoa nilipe mitano tena na let me...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya umbali mrefu ni heri muijue michepuko yenu kuliko kufichana na kudanganyana

    Kuna haya mahusiano ya umbali mrefu unakuta mwanaume yupo Arusha na mwanamke yupo moro Aidha ni kwasababu ya kazi, biashara, n.k, hivyo kupelekea kutoonana kwa muda mrefu japo mawasiliano yapo. Nasikitika navyoona wengi wanavyodanganyana kama watoto, kila moja anamdanganya mwenzake yeye hana...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Msichana (mke) mwenye mapenzi mema karibu tuyajenge. (Huu ni mwaka wa kujiunga na chama cha wanandoa)

    Ndugu zangu wana JF huu ni mwaka wa pekee katika historia ya maisha yangu ni mwaka ambao natarajia kuaga rasmi katika chama kikuu cha useja na kupewa usajili wa kudumu katika chama cha wanandoa. Japokuwa sina mchumba kwa sasa na kwa kuwa tunaishi kwa imani ni matumaini yangu kuwa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Hivi mapenzi yanaweza yakasababisha kijana usifikie ndoto zako?

    Hivi wakuu, mapenzi yanaweza yakasababisha wewe usifikie ndoto zako kama kijana wa kiume?
  15. Lager

    JamiiForums Tanzania Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

    Kuingia mzimamzima ndio utamu wake ni kama dimbwi unajitupia tu pwaaaaa! Sio unaingia kwenye mapenzi mguu nje mguu ndani,hiyo haifai hutafaidi na unakuwa unajishitukia na hofu zisizomaana!. Hata Kama ni ya uongo we ingia mzimamzima tu ule mema ya dunia maisha ni mafupi haya ukizubaa yatakukula...
  16. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu bado ananitaka licha ya yeye kuolewa

    Wakuu! Nimeandika haya ili wakujifunza ajifunze na wakupuuzia apuuzie hasa vijana ambao hamjaoa. Miaka saba iliyopita kabla sijamuoa Mke wangu kipenzi, tukiwa wachumba. Alitokea mrembo mmoja kutoka Geita, mimi nilikuwa chuo wakati huo yeye naye alikuwa chuo pale NIT Dar es salaam. Hapa na...
  17. Xav Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 01 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- UTANGULIZI; MAPENZI ni moja kati ya njia ambayo kila binadamu anapaswa apitie. Ni njia ambayo haina muonekano halisi ambao unajulikana. Kila mtu anaonja radha yake katika...
  18. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

    Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha. Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira yaliyotuzunguka unaweza ukajikuta umeangukia katika mikono hiyo ambayo sio salama hata kidogo...
  19. yuda75

    JamiiForums Tanzania Kwanini mauwaji mengi kwa sasa yanatokana na wivu wa mapenzi?

    Miaka ya zamani ilikuwa ukimtongoza mwanamkee anakukubalia badaa ya miaka miwili hadi mitatu hivyo unakuta unapata kumjua vizuri pia kama ni wivu kuna muda unaupata na unajifunza kuimili Sasa kwa kizazi cha 1999 hadi sasa na kutokana na sayansi huria unapata demu instagram asubui na jioni...
  20. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na pesa, money always win

    Kila zama na mambo yake...! Ndio,zama hizi zenye kile kinachoitwa utandawazi, wenye kila aina ya taarifa unayotafuta, Wenye kila aina ya mambo mapya. Siku hizi imekuwa kama desturi kuwa mtu lazima ukiingia ndoani mwenza wako awe tajiri. Yaani automatic mke amkute mume tajiri..! Utaskia mdada...
Back
Top Bottom