Hivi mapenzi yanaweza yakasababisha kijana usifikie ndoto zako?

Hasa uki-date Wamachame wako selfish mno. Usipojipanga ukawa mjanja utaishia kumnufaisha yeye na familia yake tu. Bila kujijua utasomesha ndugu zake na Kujenga kwao wakat kwenu kunateketea

Kama mwanaume utafikia hatua hii usikimbilie kuwalaumu hao wamachame bali utakuwa na kiwango kikubwa sana cha utaahira kichwani mwako.

Hivi inakuingia akilini kwamba wewe ukajenge kwa mwanamke huku kwenu hujajenga?usomeshe ndugu wewe ndugu huna?
 
Hili sio swali aisee, yaani ni kama kuuliza ni lazima gari kutumia oil?
 
Back
Top Bottom