Kwanini mauwaji mengi kwa sasa yanatokana na wivu wa mapenzi?

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,378
Miaka ya zamani ilikuwa ukimtongoza mwanamkee anakukubalia badaa ya miaka miwili hadi mitatu hivyo unakuta unapata kumjua vizuri pia kama ni wivu kuna muda unaupata na unajifunza kuimili

Sasa kwa kizazi cha 1999 hadi sasa na kutokana na sayansi huria unapata demu instagram asubui na jioni anakuita baby na kesho yake unamlaa wivu huwa mkubwa mana wanawak wengi wanajidai wapo single kumbe mahusiano yamelegea point A KAMIA point b

Pia upande wa shooo sikuizi watu wanapapasa K kwakweli pia kimoja tu chali zamani mtuu anapiga shooo ana k inawaka moto hawezi kukaaa vizuri
 
Kusimamia ukucha zama hizi ni kujichosha tu, kwanza hofu kibao sijui magonjwa mara vijidudu... kimoko cha afya.

Ya nini ukamie na umempata siku hiyo hiyo bila usongo!
 
Inauma sana mkuu,unakuta mtu umechekecha michongo yote inakataa halafu unarudi home kuliwazika anaanza kuleta nyodo"mwanaume utakuwa wewe,na wenye hela wasemeje"
Hapo ndipo utata unaanzaga
Hapo ni Nako 2 Nako sojaz tu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom