Nilikuwa nakaa jirani na washkaji fulani hivi wawili 2 wa kishua.
Ilikuwa nipate mteremko wa kiungia state "United of America" kwenye intership kupitia mgongo wa washkaji zangu wa kishua ambao tulikua nao chuo kimoja. Wakisaidiwa na shangazi yao anao ishi kule kwa JoelI Bideni.
Mchizi nilikuwa...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuri ya Muungano wa Tanzania (Kiitikio - wote)
Ama baada ya salamu, dhumuni la andiko hili ni kuleta hoja niliyoletewa na rafiki yangu wa kiume akiomba ushauri kwangu. Mimi kwakweli nilishindwa kumshauri vema isipokuwa kwakuwa nafahamu kuwa kuna jukwaa hapa nikaonelea...
Najitahidi kumsahau huyu mwanamke bado ni mtihani!
I miss her japo nimemuacha mwenyewe lkn bado hisia juu yake ni kali,still nawivu nae na naona kabisa nampenda.
Swala sio kumuacha swala ni lini hisia juu yake zitakufa??
Someone can feel me..😞
Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana.
Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na Kushirikiana vyema tu Kimaisha japo wote ni Choka Mbaya tu Kimaisha ila tunaendelea Kupambana.
Hata hivyo nina...
Nimekuwa Single muda mrefu aisee kuwa Single kwa mtu mzima basi tu ila unaona kuna kitu umemisi bored, stressed...ukiwa mtu mzima sense of belonging muhimu.
Japo mambo yaja settle...nataka niingie kwa mtoto mmoja wa Stationary huyu manzi yupo Humble sana ndicho kilichonivuta mtu fulani kama...
Katika mademu kumi nitakaowatongoza Basi nane au tisa wananikataa hii Ni kwa sababu Mimi waga nikikutongoza Leo au nikikupenda leo nataka uingie geto siku hiyohiyo na ndo maana ndugu zangu kazi ya kuwambeleza wanawake nawaachia nyie Bora ukatae ili nikupotezee niendelee na mishe nyingine kuliko...
Mahusiano ni kama sanaa kuna wakati mahusiano yanaweza kukupa stress na msongo wa mawazo kiasi kwamba ukajutia kwanini umeingia katika mahusiano huyo mwanamke au mwanaume maana kuna time unaona kabisa what you Give is diffrent from what you receive hali hukupelekea kuwa na stress na mambo...
Miadi ni saikolojia. Hizi ni kanuni za mahaba ingawa hazijaandikwa kama za TFF
Wanawake mjifunze kutoka kwenye taarifa ya TFF!
Mwanaume unapompa miadi kila kitu hufanya kwa kuzingatia appointment!
Wapo wanaokula vizuri ili kujiweka sawa
Wapo wanaopiga mazoezi kujiweka sawa
Wapo wanandoa...
Habarini wakuu
Nampenda mtoto mmoja hivi, she's not so beautiful ila ndo hivyo moyo umependa jamani ila ananinyanyasa mno kwakweli.
Hajibu text zangu mpaka pale anapojisikia, nampigia hapokei yaani yeye ananitafuta akipenda yeye.
Amekuwa akifanya mengi ya ajabu ila nikihoji anakuja juu...
Licha ya kwamba marafiki zangu wengi Ni dungadunga na madungwadungwa,mm sijaathiriwa na hiyo tabia, bado nimetulia zangu nikiwa single nikitafuta anayeendana na mimi; mwenye mapenzi ya kweli na uaminifu kwenye mahusiano.
Kwa bahati mbaya madem waaminifu kuwapata ni vigum, hata ukiwapata...
Mfano Mwanamke - alikuwa Malaya ....kachakazwa sana ...yaani watu wameosha sana kwake. Sasa inatokea unakuja kuwa naye labda siku ulikuwa na njaa ukala ukakuta naye amekuganda mwishoni anasema muoane. Inawezekana ukaja enjoy life naye? Ashatoa sana mimba mpaka nyingine ilikataa kutoka akazaa...
1. Lala nae (muhimu kuliko yote)
2. Mlishe ashibe
3. Muheshimu
4. Mwache awe na amani
5. Usimuingilie katika mambo yake.
Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
Habari za mida hii ndugu zangu
Nmekuja nipate ushauri maana naona kila ninalotaka kuliweka mezani napangua.
Nimekuwa na mahusiano na kijana mmoja kama miezi miwili hivi au mitatu. Alinikuta sina mtu na tukaanzisha uhusiano (Huyu mtu ananijua na tunajuana maana tumetoka sehemu moja na tumesoma...
Sifa zangu
1. Mkristo( dhehebu A.I.C)
2. Nina miaka 30
3. Mwenyeji kanda ya ziwa.
4. Elimu shahada ya kwanza (sijaajiriwa, nipo nashughulika na kilimo)
5. Urefu 165cm, rangi ni maji ya kunde.
6. Mpole sana kijana mwenye hofu ya Mungu.
SIFA ZA MKE NINAYEMHITAJI
1. Umri miaka 20-25
2. Dini...
Hatimaye Ametiki(Based on true story)
Ilikua mwaka 2014 katika chuo cha elimu ya biashara(CBE) Tawi la Mbeya nilikuwa mwaka wangu wa pili nikichukua stashahada ya usimamizi wa biashara (diploma in Businesses administration). Nikiwa nimeketi kwa pembeni kipindi hicho ndo kuna wanafunzi wapya...
Habari wakuu
Kuna binti mmoja tulikua kwenye mahusiano kwa takribani mwaka na visehemu,bahati mbaya sana tukaachana tar1/3 mwaka huu na tukatakiana maisha mema fresh fresh.
Sasa cha ajabu zinaweza zikapita ata wiki3 atanitxt na kunilaumu kwa nini namtenga sijui simtafuti na lawama...
Wakati mwingine, mapenzi yanaweza kuuchosha moyo wako kwa mtu ambaye unampenda ila kwake yeye anacheza na hisia zako tu..
Jaribu kufikiria kama mwanamke au mwanaume pale unapompenda mtu kwa moyo wako zaidi, na yeye anaona kama kawaida....
Penzi la kweli halitaki masihara na kuuchezea moyo wa...
Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.