Msichana (mke) mwenye mapenzi mema karibu tuyajenge. (Huu ni mwaka wa kujiunga na chama cha wanandoa)

wakiwandani

New Member
Nov 13, 2020
3
1
Ndugu zangu wana JF huu ni mwaka wa pekee katika historia ya maisha yangu ni mwaka ambao natarajia kuaga rasmi katika chama kikuu cha useja na kupewa usajili wa kudumu katika chama cha wanandoa.
Japokuwa sina mchumba kwa sasa na kwa kuwa tunaishi kwa imani ni matumaini yangu kuwa kupitia jukwaa hili nitapata mke mwenye mapenzi mema.
Hivyo basi natoa wito kwa msichana (mke) mwenye utayari wa kuolewa tafadhali naomba tuwasiliane ili tuyajenge.

Baadhi ya Sifa zangu.
Mwaka huu natimiza miaka 36
Nina shughuli halali ya kuniingizia kipato ( sina njaa)
Naamini kwa yesu kristo
sijawahi kuoa , kuishi na mke wala kumzalisha msichana (mwanamke ) yeyote.
Elimu yangu ni ya Chuo kikuu

Sifa za msichana (mke)
  • Mwenye utayari wa kuolewa na kuwa na familia
  • mwenye umri kuanzia 28 to 35
  • Mwenye utayari wa kuishi mkoa wowote kwa sababu shughuli zangu ni za kuhama hama
  • mwenye at list form six to Prof.

Utayari wa kuoa.
Kwa sasa nipo tayari kuoa na kuwa na familia kutokana na sababu zifuatazo
1) Kisaikolojia.
Nimekuwa kifikra nina uwezo wa kukabiliana na changamoto za kifamilia na kijamii pasipo kukimbia tatizo wala kuogopa.
2) Kiumri.
Miaka 36 ni umri mkubwa hivyo najitambua sana nina uwezo wa kutunza miiko ya familia effectively nimejiandaa kutulia na familia yangu na kufanya maendeleo na sio vinginevyo.
3) Kiuchumi.
Nipo imara kiuchumi nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia 99.99%
I have ability to offers an adequate basic and non basic needs to my family.
I have ability to incurs educational expenses to my offspring produced at any international learning institution accordingly.
Sina njaa wala shida ndogo ndogo.

Mwisho.
Nawatakia kheri ya mwaka mpya 2021 mungu atujalie afya njema tuendelee kuchapa kazi tujenge taifa letu.

Mawasiliano.
Pm
Email. Kiwandanimawinda23@gmail.com

All the best.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom