Mapenzi hayana maana, bora niwe peke yangu

crusader_jr

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
994
846
Anyway hawa viumbe(ke) sijui mpewe nini ili mjue mnapendwa damn it.

Mtu unampa muda, respect, love unatimiza mahitaji mwisho wa siku anakula kichwa ani ghafla tu aisee nimekumbuka humu ndani kuwa mke ambae sio bikra sio mke wako ni mke wenu.

Anyway suala la kuoa nilipe mitano tena na let me focus na mishe zingine tu namuachia Mungu.

Mnipe connection tu za maeneo ashiki zikizidi nikapunguze tu huko ila kudate na mtoto wa mtu never.

Anyway how uwe loyal kwa mtu kumbe yeye anakuzoom tu anakutumia tu kutimiza haja zake.

Niko kwenye hali mbaya kimawazo na i have to move on anyway ni kama nimepigwa nyundo ya utosi.

Samahani kwa uandishi mbaya Man Down..onether Man Down..😫sawa tu ni life😪

MAPENZI NI UFALA anyway sijui mnataka Kusemaje?!
 
Usingekubali kufanya nae mapenzi hadi umuoe, ona sasa amekuvua boksa amekuchezea halafu kakuacha.

Nasema uongo ndugu zangu!!?
Yani ale hela yako tu na usipige kitu? Shida wanaume tuna-care sana mtu. Wakati mademu wao wana-care zaidi maslahi. Tena kwa suggestion yako atakula $$, na kuahidi kuwa wifey na bado atazingua. Una-loose mara kibao
 
Yani ale hela yako tu na usipige kitu? Shida wanaume tuna-care sana mtu. Wakati mademu wao wana-care zaidi maslahi. Tena kwa suggestion yako atakula $$, na kuahidi kuwa wifey, na bado atazingua. Una-loose mara kibao
Nilikuwa nachangamsha genge tu mkuu... ila binafsi nimejifunza kuwa wanawake huwa wanachukulia poa sana hisia zetu na uki-care sana ndivyo wanavyozidi kuchukulia poa.

Kuna ka demu nilikapenda sana, nikajitoa kwa kila kitu, kakaanza kujiona national cake nikabadili njia chap... sasa hivi ni mwendo wa kibandidu tu.
 
Sifa za mke wa kumuoa mbona zipo wazi nyie mnafeli wapi??

Unamuona mdada kasuka nywel za 30 elfu, pamba kali + kujishebedua. Halafu eti unamuomba mahusiano.
Are you serious!???

Mke wa kumuoa bwana ambaye hata mimi hiyo mbinu nimeitumia imeprove positive ni hii,

1. Chukua mdada ambaye hajasuka, yeye ananyoa tu kwa kinyoz.!
2. Amepiga pamba za mtumba hazizid elfu 15 juu mpaka chini.
3. Sura na shepu iwe ya kawaida ila ina uelekeo unaweza kuiboresha baada ya muda.
4. Awe na imani katika Mungu wa kweli au awé anaenda kusali.
FULL STOP.

Sasa nyinyi endeleeni kuchukua waliopendezeshwa tayari ambao mara nyingi huwa yupo mikononi mwa mtu au ametoka kuachika, hao huwa siwawezi.

Kuku wa kienyeji ni bora kuliko kuku wa kisasa.!
 
Nilikuwa nachangamsha genge tu mkuu...ila binafsi nimejifunza kuwa wanawake huwa wanachukulia poa sana hisia zetu na uki-care sana ndivyo wanavyozidi kuchukulia poa.
Kuna ka demu nilikapenda sana, nikajitoa kwa kila kitu, kakaanza kujiona national cake nikabadili njia chap...sasa hivi ni mwendo wa kibandidu tu.
😂😂😂. Asante mkuu kutuchangamsha. Na ku-share personal experience. Tuko pamoja. #KibandiduNdioMwendoPoa 😂😂😂
 
Unaanzisha mahusiano na demu wa masela unategemea nini


Wanawake ni vyombo vya starehe

Piga pumb* mpaka mbunye iwake moto then endelea na shughuli zako
 
Wadada warembo karibu wote hamjatulia. Watu tunataka mke aliyetulia. Atakaye endeleza miradi na kuwa mama mzuri wa familia. Mna mambo mengi sana. Na siku hizi mitandao ya social media inawaharibu zaidi
Sasa wakitulia wewe utajisaidia wapi? Si utajibiwa kama unampenda upeleke posa kwa wazazi wake?
 
Mkuu mapenzi ndio yanakutesa hivi?
255788363637_status_3db06ab39ce34996a4242f528e7a20c7.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom