mapenzi

  1. Xav Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Riwaya: "Mkuki wa Mapenzi" (Love Spear)

    RIWAYA: LOVE SPEAR 01 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- UTANGULIZI; MAPENZI ni moja kati ya njia ambayo kila binadamu anapaswa apitie. Ni njia ambayo haina muonekano halisi ambao unajulikana. Kila mtu anaonja radha yake katika...
  2. mzee wa kasumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini uliamua kufanya mapenzi na Mke/Mume wa mtu?

    Baadhi yetu mtaichukulia hii posti kama ni ya ujinga flani hivi. Ila nadhani wachache watanielewa ninachomaanisha. Kila mtu anajua kuwa mke wa mtu / mume wa mtu ni sumu lakini katika mazingira yaliyotuzunguka unaweza ukajikuta umeangukia katika mikono hiyo ambayo sio salama hata kidogo...
  3. yuda75

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mauwaji mengi kwa sasa yanatokana na wivu wa mapenzi?

    Miaka ya zamani ilikuwa ukimtongoza mwanamkee anakukubalia badaa ya miaka miwili hadi mitatu hivyo unakuta unapata kumjua vizuri pia kama ni wivu kuna muda unaupata na unajifunza kuimili Sasa kwa kizazi cha 1999 hadi sasa na kutokana na sayansi huria unapata demu instagram asubui na jioni...
  4. Its Pancho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi na pesa, money always win

    Kila zama na mambo yake...! Ndio,zama hizi zenye kile kinachoitwa utandawazi, wenye kila aina ya taarifa unayotafuta, Wenye kila aina ya mambo mapya. Siku hizi imekuwa kama desturi kuwa mtu lazima ukiingia ndoani mwenza wako awe tajiri. Yaani automatic mke amkute mume tajiri..! Utaskia mdada...
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni shida...

    Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kutoka pwani, yaani tumekuwa katika ma love yapata miezi minne sasa lakini muda wote tumekuwa tuki kiss na kupeana maraha bila ku sex. Ijumaa iliyopita tukaenda hotelini ili kupata fargha zaidi,kufika ndani bi dada aliona ile ilikuwa surprise kwake na...
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni kitu hatari Jamani, huyu dada hitaji lake hasa ni nini?

    Nimetokea kumpenda binti mmoja wa kutoka pwani, yaani tumekuwa katika ma love yapata miezi minne sasa lakini muda wote tumekuwa tuki kiss na kupeana maraha bila ku sex. Ijumaa iliyopita tukaenda hotelini ili kupata fargha zaidi, kufika ndani bi dada aliona ile ilikuwa surprise kwake na...
  7. Bwana Fulani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uko upande gani?

    Utafiti wa Taasisi ya Kinsey Indiana University Marekani umehitimisha kuwa Mwanaume uchepuka kwenye uhusiano/ndoa yake ni dalili ya kuwa na akili ndogo (low IQ), "Wanaume wenye akili kubwa muda wa kuwasaliti Wapenzi au Wake zao hawana kabisa, wanatulia na Mtu mmoja"
  8. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walio kwenye mahusiano na matajiri ni ushahidi tosha mapenzi sio pesa, pesa inalazimisha mapenzi

    Ni wanawake wachache sana wanaweza kuukwepa mtego wa pesa za mwanaume anaehitaji kuwa na mahusiano nao. Hii ni kwasababu pesa hio ndio tatizo kuu la dunia, tunaitafuta kila siku na ni ngumu kuipata na bila hio pesa maisha yanakuwa magumu. Hivyo ni kazi sana mwanamke kukwepa hili hasa...
  9. abeli tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni spesho kwa wanaume wote ili kuepuka kulia katika mapenzi

    Jamani wanaume wenzangu ulimwengu umebadilika sana kwa sasa, zamani ilikuwa tuvumiliane wakati wa shida na raha, siku hizi pesa kwanza mapenzi badaae, asije akakudanganya mwanamke eti anakupenda hivyo ulivyo. Hapana wanawake wa sasa wanataka mwanaume problem solver na yule wa kuafford matatizo...
  10. Ritchy Breezy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kuishi na Mwanamke mjuaji?

    Wakuu habari za time hiii. Nina kipengele kimoja kigumu sana, Je ulishawahi kuishi na mwanamke mjuaji? Kama ulishawahi ulitumia njia gani kuminimize kama so kumaliza kabisa tatizo. Asanteni
  11. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke, tupe mkasa wako ulivyompenda mshamba wa mapenzi, ukamrahisishia lakini bado tu anahangaika

    Kuna wanaume wanatokeaga kupendwa sana na wanawake lakini kwa sababu wana ushamba wa mapenzi, mwanamke anatokea kufanya shughuli kubwa mno ili kumrahishia mwanaume kazi lakini bado mwanaume huyo anakuwa hajui kinachoendelea. Ewe mwanamke, kama uliwahi kukutana na hali hii, mwaga mkasa wako hapa
  12. 2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

    Habarini za jumapili
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mambo gani yanadhihirisha utayari wa mwanamke kuingia katika mahusiano ya ndoa/ mapenzi?

    Habari za mchana wakuu wa MMU. Natumai mpo salama na mnaendelea vyema kabisa na majukumu ya hapa na pale. Lengo kubwa la uzi huu ni kutaka kujua ni ishara gani au ni vitu gani vinadhihirisha kwamba mwanamke yupo tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi/ndoa. Nimeuliza hivyo kwa sababu kila...
  14. yuda75

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya udanganyifu ndio mapenzi yanayodumu

    Mapenzi mazuri lazima mwanaume uwe na kamba kamba ujanja janjaa mana kwa hali ya sasa ukiwaweka wazi dada zetu kwa kila kituu ataishia kupiga punyeto Lazima ujitutumue kama mwanaume uwe unachaneli za kweli au za kijanja janjaa hata ukilala njaa mpenzi akikuliza umekula nini mwambie kuku nusu na...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Sijisikii vizuri lakini nimepima sina UKIMWI

    Naombeni ushauri Maana toka nimefanya mapenzi na huyo mwanamke nimekua nikiugua ugua tu nishaenda kupima nikakutwa Niko vizuri sijajua shida ninini?
  16. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari ya mahusiano (mapenzi)

    Nisizunguke sana, acha niende kwenye mada.. Hii story niya kweli kumuhusu binti mmoja nilie mtongoza. Kawaida yangu huwa story zangu niza back story nani mambo ya kweli. Napenda sana drama ndio maana huwa nakua na msukumo sana wa kuja kuandika hapa JF. Matukio yalikua hivi.. kuna kipindi...
  17. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya sio Mapenzi bali Uroda

    Ebwana eheee nimeoa miaka Saba iliyopita lakini cha kushangaza sasa kila siku unaambiwa mapenzi yazidi kuongezeka na sasa si mapenzi tena Mwanaume mwenzenu napata uroda. Asubui nikiamka nakuta maji bafuni zamani maji ya kuoga alikua anayaunga na karafuu Ila sasaivi ameongeza anaweka majani ya...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ni mapenzi?

    Habari za jumapili wadau, ni matumaini yangu mko poa nyote, to cut the long story short ni ivi, miaka miwili nyuma nilitokea kumpenda msichana mmoja mrembo sana, alikua ni msichana wa kisasa nikimaanisha alikua anapelekwa na matukio ya dunia kuparty sana, kunywa pombe,kuvaa mini skirts n.k...
  19. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania TEKNOLOJIA YA ROBOTI: midoli ya kufanyia mapenzi

    Hakuna kitu kimefanya nimuamini Mungu wangu kama maneno yake yaliyonenwa na yeye huyo huyo mungu kwenye moja ya vitabu vyake vitakatifu karne nyingi zilizopita na kwa uwezo wake usio kifani yakatimia Sikuwa na shaka pale nilipopitia miongoni mwa vitabu vyake huyu mwenyezimungu chenye maneno...
  20. yuda75

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli mapenzi ya wizi ni matamu kuliko katika ndoa halali?

    Mapenzi ni kitu ambacho kinafanya wapenzi kufurahia wakiwa pamoja lakini kwa sasa kumekuwepo kwa kusalitiana katika mahusiano. Imekuwa kama kawaida mwanamke/mwanaume kuwa na mchepuko huku tayari yupo kwenye ndoa yake. Kwa nyakati za sasa uzinifu si kitu cha ajabu tena.Wahusika wanadai kufaidi...
Back
Top Bottom