mapenzi

  1. National Anthem

    JamiiForums Tanzania Wenye wapenzi wenye mapenzi ya kihindi tukutane hapa

    Wakuu! Wenye wapenzi wenye mapenzi ya kihindi tukutane hapa.. Tubadilishane uzoefu... Furaha zake na namna ya kuwalinda wahindi wetu 😊😊
  2. jastertz

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Bhana

    Mtu anakunyamazia kama vile hajawahi kukvulia nguo😂😂😂
  3. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya sasa pesa ni muhimu ila tutafute na akili basi, rafiki wiki ya tatu kahonga laki 7 na bado hapewi kwa mwanamke ambae analiwa kwa elf 30

    Nilianza maisha kwa kutegemea mishahara ya ajira serikalini ila nashukuru nikaweza kujiongeza nifanye na biashara, huku kwenye biashara kwakweli huwa nakutana na watu wengi zaidi. Sasa katika watu nilioweza kuwajua ni mfanya biashara flani ni mteja wa mara tulizoeana zaidi kupiga story huku...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania MB DOG: Diamond Platnumz amenidhulumu wimbo wa Mapenzi Kitu Gani

    "Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo lakini nikitaka kuutumia napigwa stop. Unapotaka kuutumia kwa ajili ya maisha ya familia ili nipate...
  5. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

    Kwani soko la mapenzi limeingia mchanga au limevaa ndondo cup Siku hizi bwana mpaka umpate mwanaume anakutongoza, nenda kanisani ukatoe sadaka kabisa Ukipata hata mwanaume anakupeleka kwake ushukuru Mungu Ukipata mwanaume anakununulia hata maji ya kunywa basi nenda Kwa Yatima Katie sadaka...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Safari yangu na washikaji na raha ya mapenzi Tanga-Moshi-Arusha-Karatu. An amazing city-break travel experience.

    Wasalaam JF, Ulikuwa ni mwezi uliojaa raha na mapenzi motomoto. Kipekee kwangu nilianza na penzi la mdogo akafuate msambaa, Kisha mpare baadae mchaga, baadae mmeru, baadae mbugwe, finally mmaghati. Sitaki kuwasemea wenzangu maana raha, utamu na ladha ni vya mlaji. Ila kwa hakika ukikutana na...
  7. O

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ibada zarejea kanisa walimokutwa wakifanya mapenzi

    Uganda. Waumuni wa Kanisa la Bunyonga, kaunti ndogo ya Kayonza wilaya Kayunga nchini Uganda ambapo mwanaume na mwanamke walikutwa wakifanya mapenzi katika madhabahu ya kanisa hilo, wamefanya ibada kanisani humo kwa mara ya kwanza baada ya kufanyiwa maombi ya utakaso. Kiongozi wa Kanisa hilo...
  8. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kuhangaika na Mahusiano ya Kimapenzi katika zama hizi ni kupoteza Muda

    Baada ya purukushani za muda mrefu sana na haya maisha nimegundua kukosa umakini wa kufikiri na kuamua mambo kwa weledi yamepeleka mahusiano ya mapenzi kuwa ndio chanzo kikuu cha watu wengi kupoteza mielekeo mizuri ya maisha. Ujana, utu uzima na uzee una mambo mengi sana ambayo huwezi...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ama kweli mapenzi yanaondoa ufahamu

    Huyu mrembo niliye naye, ananichanganya sana, mpaka uwezo wa kufikiri kuna wakati huwa unapungua kabisa; kumbe kupenda sana ni ugonjwa. Kuna siku nilileta uzi, 'nimeutua mzigo mzito' lakini baada ya hapo tukajikuta tumerudiana tena; kutokana na uumbwaji wake, naona kabisa nikimuacha, nafsi...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

    Top 10 sexually active African countries 1)- Burkina Faso🇧🇫 2)- Cameroon 🇨🇲 3)- Uganda 🇺🇬 4)- Gabon 🇬🇦 5)- Zambia 🇿🇲 6)- Senegal 🇸🇳 7)-Nigeria 🇳🇬 8)-Sao Tome Principe 🇸🇹 9)-Republic of Congo 🇨🇬 10)-Tanzania 🇹🇿 Source: Top 10 sexually active African countries
  11. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Baba anahitajika sana kwenye familia, asipuuzwe! Nilikuwa naogopa kuwachezea mabinti nikisikia wana baba zao, nilijaribu kwa baadhi chamoto kilinikuta

    Nakumbuka hapo nyuma 2010 - 2015 kipindi nipo sekondari form 2 hadi 6 nilikuwa nipo active sana linapokuja suala la sketi, nilikuwa dunga dunga. Ila pamoja na utukutu wangu huu nilianza kuwaogopa mabinti ambao wapo karibu na baba zao. huko nyuma form 3 niliwahi kuwa kwenye penzi zito na binti...
  12. Roca fella

    JamiiForums Tanzania Maisha na mahusiano ya mapenzi

    Habari za muda ndugu zangu watanzania. mada husika hapo inaeleza maisha na mahusiano ya mapenzi katika Karne hii ya 21, na kizazi kijacho kwa Karne ya baadae itakuwaje. kwa Sasa maisha kwa hapa Tanzania kwa asilimia 60% bado yanasua sua, asilimia 40% ni wale wapigaji wa fedha katika miradi na...
  13. National Anthem

    JamiiForums Tanzania Nini kinapelekea umauti kwa kila ninayefanya nae mapenzi?

    Hallo wataalamu, Tafadhari rejea kichwa! "Nini kinapelekea umauti kwa kila ninae fanya nae mapenzi !" Mwanamke nikilala nae, hapitishi mwaka anakufa. Wataalamu, humu kuna wazee wenye uzoefu na maisha na mambo mengi.. Kwenye case kama hizi kwa uzoefu wenu jambo kama hili mlitatua vipi , JF...
  14. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Hivi ndo mapenzi ya yanavyouma bora kuumwa kabisa kuliko kuugua mapenzi

    Saa tisa usiku kasoro nipo namsikiliza msanii wangu pendwa enrique yule wa hero huku nikiangalia kidonda changu cha mapenzi ambacho kinamalizia kupona ...kama unanifutuatilia utajua uzi flani flani nilizoandika maana humu kwangu sehemu yangu ya kuwekwe kumbukumbu za matukio yangu...
  15. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wakikukuta una upwiru unaweza hata kufikiria kuoa, kumbe ni bomu

    Mimi niwe mkweli, yule binti kidogo niweke makazi permanent pale sababu mambo alonipa sikuwahi kuyapata popote pale hapo kabla. Cha kushangaza siku naenda kwake kumchukua akanipe maburudani tena si nikakuta kulikua na shuhuli (wao wanaita hivo), anacheza kashika dela linaonesha pichu kabisa na...
  16. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wimbo mzuri wa mapenzi na mahusiano wa Kiswahili mzuri na wenye ujumbe konki kuliko huu?

    Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu. Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo na Juliet-unaweza ukadhani hamna kifo.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kufanya mapenzi kwenye vyoo vya kumbi za starehe na baa imekithiri na imekuwa kero

    Unabanwa haja ukiwa baa au klabu, unaenda ili ujisaidie unafungua mlango lakini haufunguliwi. Baadae anatoka mwanaume na mwanamke. Hii imekithiri sana hapa Bongo.
  18. Logikos

    JamiiForums Tanzania Nimezama katika kina kirefu cha mapenzi

    Huyu amepotea au ndio amefika ?
  19. Yofav

    JamiiForums Tanzania Kujihisi kama umechoka kuishi

    Habari, Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where. Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Narudi tena kutafuta mwanamke mwenye mapenzi na malengo ya dhati

    Natumaini ni wazima wa afya leo nimerudi tena kutafuta mwanamke mwenye malengo na mapenzi ya dhati hapo mwanzoni niliopost thread ya kutafuta mchumba kuanza mahusiano serious lakin bado sijafanikiwa kupata. Wengi wao ni hawapo serious ni kama wametumwa kumjaribu mtu tuachane na hayo sifa...
Back
Top Bottom