Hivi ndo mapenzi ya yanavyouma bora kuumwa kabisa kuliko kuugua mapenzi

Ashampoo burning

JF-Expert Member
May 12, 2023
421
1,583
Saa tisa usiku kasoro nipo namsikiliza msanii wangu pendwa enrique yule wa hero huku nikiangalia kidonda changu cha mapenzi ambacho kinamalizia kupona ...kama unanifutuatilia utajua uzi flani flani nilizoandika maana humu kwangu sehemu yangu ya kuwekwe kumbukumbu za matukio yangu..

ngoja niweke nyimbo ya keny g forever in love ili kwanza ili nipate mzuka wa kuandika na wewe sikiliza huo wimbo huku unasoma uzi huu tafadhari sana search hapo boom play

Basi hivi nilimwacha mtu ninae mpenda baada ya mimi kufulia vibaya akaanza kudate lijamaa flani huko liko bandarini maeneo ya mafuta niliumia mno nikaamua kumwacha...huku nikijua fika nitaumia sana

Basi imepita miezi miwili sana toka niuumizwe sasa nimekuja kutoa ushuhuda how love hurts stage by stage narudia hapa mimi nilijifanyia research na mimi ndo nikawa sample matokeo ndo haya

1. Kuto amini
Hii stage ya kwanza kabisa huamini kuwa mtu ulimuamini anaweza fanya jambo la kukucheat au kuamua kukudate na mtu mwingine unahisi ndoto how come ...kivipi yaani akili inakuwa high panic hapa utasikia mtu kaua au kajiua usipokuwa makini back to me sikuweza kufanya kazi kabisa..nikajipa likizo mi boss mwenye so nikaacha kwenda ofisini nikawa natumiwa hela tu

2. Mawazo siku nzima
Hapa unapata mawazo ya kumwaza siku nzima hasa kama mahusiano ya muda mrefu back to me nilikaaa nae miaka 6 mfulizo so mazoeza yalikuwa ya hali ya juu...hapa kazi haziendi ...pia ubungo unaweza usifanye kazi vizuri unakua kama chizi flan flan japo mzima...hapa nikasema nisije kuwa chizi nikatumia antidepressants haraka sana maana nina jua kidogo mambo ya afya

3.kujaribu kurudisha hali sawa

Hapa baada kuona unamia unajaribu kumrudisha hapo ndo unaaribu maana yeye atakuona huna pa kwenda so ni kama....ndo unaweka pili pili maana kuona mpenzi wako uliye amini anakupenda anakwambia NO pain ambaye alikuwa anakwambia YES kila saa ...unaumia zaidi maumivu yanazid akili inazid kuwa kama chizi kiukweli hapa nilikosea zaidi

4. Kujaribu kutafuta replacement haraka haraka

Hapa unampata girl frnd mpya mimi nilipata watatu kila mmoja nikamfua lakini kila nikimaliza tendo naanza kusema naanza kukumbuka my x wakija kwangu naona hawana vibe yaani unaona kama sijui wakoje ..basi unazidi kuumia kuhisi hata replacement zimegoma hapa kosa kubwa ukiachwa tulia soma kwanza upepo

5. Last try kumrudisha
Basi unajaribu kumrudisha hapa unajitahidi anajibu dry no ....unarudi unajua hili swala haliwezekani unachanganyikiwa sio kama before kidonda kimeanza kukukaaa uka hapo mwezio ukijishusha anakuona kama choo kabisa hasa apate mtu amekuzidi vihela kama mimi ..japo ni kwa muda huu business zangu zimekaa ovyo ila mimi ni mzee wa mishindo

6.una amua kukaa zako kimya
Baada ya kuona umeshindwa hapo moyo umekataa tamaa kumtafuta replacement hutaki ....basi unatafakari labda niliachwa sina hela au mwili au chochote unajiuliza maswali mia unaanza kufanya kazi kwa bidiii unaachana tena kumtafuta unaendelea na maisha yako mambo yanaanza kurudi normal kabisa akili inaanza kukaa fresh

7. EX ANAKUTAFUTA KWA MAKSUDI
Hii stage baada ya wewe kukaaa kimya ex anaona mbona hanipi attention tena anapiga simu sio kukurudia ili kujua ukoje hali yako umemove on bado unamfikiria hapo hana mpango wowote ni kukuvuruga kwa sababu unakuwa na ww umemiss unaingia king anakupasua tena ila this time kidonda kinapona haraka sana... hapa nakushauri ukipokea simu mjibu shit onesha no interest kabisa ...mimi alitumia simu mpya kupiga si nikajaa ..nikajibu nimekumiss sana wewe kesho alinitreat ovyo balaaa

7. UNAPONA
hii stage unapona kabisa unapomuona mtu wa kawaida hapa akili inarudi kwenye hali yake ya kawaida kazi unafanya bila kumuwaza mtu inashort stage mambo yanakuwa hata ukimwaza sio kwa maumivu makubwa

.......haya wadau naandika haya ya mwisho nikiwa namsikliza kenny g bado forever in lover instrumental song

NILICHOJIFUNZA KIKUBWA MTU UKIMWACHA AU KUACHA USIMTAFUTE KAA KIMYA MOVE ON ......

kingine usikae pekee yako zunguka meet new people ..... hasa opposite sex....

Kiukweli mimi now nina 30 ....hadi sasa baada ya hili swala kutokea nimeamua nitaoa nikiwa miaka 37 ..... sio kwamba sina wachumba ninao ila falling inlove nitakuwa makini ... kingine mimi ni mhuni sana niliacha uhuni nikafall inlove ila mimi kama mimi ni malaya mbwa kabisa wa wanawake so nimerudi ulingoni...tukutane 37.... na huwa siuzi mechi nampango wa kwenda kuishi changanyikine pale nyuma ya udsm nimalizie hii miaka saba ndo nioe

WARNING : NIMEANDIKA TU ..SIJAJA KUOMBA USHAURI...
 
Hii hizi stage sisi wazee tulikwisha litia enzi zetu za ujana
Na nimadhani ni mazoea yasyo epukia,
Ukjwa unapenda muziki na unakupa feeling flan basi, hapo ujue ni tatizo
Ndo maana wenzetu wanasema muziki unaishi watu watapita
Mfano hapo wewe unapenda kusikiza nyimbo kama hizo ulizokuwa unaweka maana yake zinakurudisha kipindi uko na my wako na kila mlichokuwa mnafanya kinajirudia ila yeye anakuwa hayupo
Hapo maumivu hayaishi babu hata umchukue mrembk wa elon musk,
TIBA kama ulikuwa unapenda kusikiza blues basi hama Kabisa usikize raggae
Kingine Parfum
Labda yako ama yake
Nayo uwa inarudisha maumivu pale umeachana mwenza wako, ukiingia ndani tu ukisikia ile arufu ya manukato yake au yako uliyozoea kupaka kipindi uko nae basi balaa linarudi
Kingine mapigo aljyokuzoeasha kwenye 6 kwa 6 na anavyoinjoi anavyobadilisha masarakasj, mwisho anakwambia asante jasho linamtoka anaamka anafata maji ya kunywa arafu anakwambia miguu imeisha nguvu huku kalala kifuan mara akiwa anakupigisha vistory vya hapa na pale anapitiwa na usingizi kifuan au kwenye mabega yako,
Babu hata ukate rufaa uwezi tibu kiraisiila akiwa ni ulie mpenda, sasa hii ndio ile uwe unatafuta wa ku place hupati labda ukapate gono
Donda la mapenzi
Nikshie kusema tu hivyo
 
Saa tisa usiku kasoro nipo namsikiliza msanii wangu pendwa enrique yule wa hero huku nikiangalia kidonda changu cha mapenzi ambacho kinamalizia kupona ...kama unanifutuatilia utajua uzi flani flani nilizoandika maana humu kwangu sehemu yangu ya kuwekwe kumbukumbu za matukio yangu..

ngoja niweke nyimbo ya keny g forever in love ili kwanza ili nipate mzuka wa kuandika na wewe sikiliza huo wimbo huku unasoma uzi huu tafadhari sana search hapo boom play

Basi hivi nilimwacha mtu ninae mpenda baada ya mimi kufulia vibaya akaanza kudate lijamaa flani huko liko bandarini maeneo ya mafuta niliumia mno nikaamua kumwacha...huku nikijua fika nitaumia sana

Basi imepita miezi miwili sana toka niuumizwe sasa nimekuja kutoa ushuhuda how love hurts stage by stage narudia hapa mimi nilijifanyia research na mimi ndo nikawa sample matokeo ndo haya

1. Kuto amini
Hii stage ya kwanza kabisa huamini kuwa mtu ulimuamini anaweza fanya jambo la kukucheat au kuamua kukudate na mtu mwingine unahisi ndoto how come ...kivipi yaani akili inakuwa high panic hapa utasikia mtu kaua au kajiua usipokuwa makini back to me sikuweza kufanya kazi kabisa..nikajipa likizo mi boss mwenye so nikaacha kwenda ofisini nikawa natumiwa hela tu

2. Mawazo siku nzima
Hapa unapata mawazo ya kumwaza siku nzima hasa kama mahusiano ya muda mrefu back to me nilikaaa nae miaka 6 mfulizo so mazoeza yalikuwa ya hali ya juu...hapa kazi haziendi ...pia ubungo unaweza usifanye kazi vizuri unakua kama chizi flan flan japo mzima...hapa nikasema nisije kuwa chizi nikatumia antidepressants haraka sana maana nina jua kidogo mambo ya afya

3.kujaribu kurudisha hali sawa

Hapa baada kuona unamia unajaribu kumrudisha hapo ndo unaaribu maana yeye atakuona huna pa kwenda so ni kama....ndo unaweka pili pili maana kuona mpenzi wako uliye amini anakupenda anakwambia NO pain ambaye alikuwa anakwambia YES kila saa ...unaumia zaidi maumivu yanazid akili inazid kuwa kama chizi kiukweli hapa nilikosea zaidi

4. Kujaribu kutafuta replacement haraka haraka

Hapa unampata girl frnd mpya mimi nilipata watatu kila mmoja nikamfua lakini kila nikimaliza tendo naanza kusema naanza kukumbuka my x wakija kwangu naona hawana vibe yaani unaona kama sijui wakoje ..basi unazidi kuumia kuhisi hata replacement zimegoma hapa kosa kubwa ukiachwa tulia soma kwanza upepo

5. Last try kumrudisha
Basi unajaribu kumrudisha hapa unajitahidi anajibu dry no ....unarudi unajua hili swala haliwezekani unachanganyikiwa sio kama before kidonda kimeanza kukukaaa uka hapo mwezio ukijishusha anakuona kama choo kabisa hasa apate mtu amekuzidi vihela kama mimi ..japo ni kwa muda huu business zangu zimekaa ovyo ila mimi ni mzee wa mishindo

6.una amua kukaa zako kimya
Baada ya kuona umeshindwa hapo moyo umekataa tamaa kumtafuta replacement hutaki ....basi unatafakari labda niliachwa sina hela au mwili au chochote unajiuliza maswali mia unaanza kufanya kazi kwa bidiii unaachana tena kumtafuta unaendelea na maisha yako mambo yanaanza kurudi normal kabisa akili inaanza kukaa fresh

7. EX ANAKUTAFUTA KWA MAKSUDI
Hii stage baada ya wewe kukaaa kimya ex anaona mbona hanipi attention tena anapiga simu sio kukurudia ili kujua ukoje hali yako umemove on bado unamfikiria hapo hana mpango wowote ni kukuvuruga kwa sababu unakuwa na ww umemiss unaingia king anakupasua tena ila this time kidonda kinapona haraka sana... hapa nakushauri ukipokea simu mjibu shit onesha no interest kabisa ...mimi alitumia simu mpya kupiga si nikajaa ..nikajibu nimekumiss sana wewe kesho alinitreat ovyo balaaa

7. UNAPONA
hii stage unapona kabisa unapomuona mtu wa kawaida hapa akili inarudi kwenye hali yake ya kawaida kazi unafanya bila kumuwaza mtu inashort stage mambo yanakuwa hata ukimwaza sio kwa maumivu makubwa

.......haya wadau naandika haya ya mwisho nikiwa namsikliza kenny g bado forever in lover instrumental song

NILICHOJIFUNZA KIKUBWA MTU UKIMWACHA AU KUACHA USIMTAFUTE KAA KIMYA MOVE ON ......

kingine usikae pekee yako zunguka meet new people ..... hasa opposite sex....

Kiukweli mimi now nina 30 ....hadi sasa baada ya hili swala kutokea nimeamua nitaoa nikiwa miaka 37 ..... sio kwamba sina wachumba ninao ila falling inlove nitakuwa makini ... kingine mimi ni mhuni sana niliacha uhuni nikafall inlove ila mimi kama mimi ni malaya mbwa kabisa wa wanawake so nimerudi ulingoni...tukutane 37.... na huwa siuzi mechi nampango wa kwenda kuishi changanyikine pale nyuma ya udsm nimalizie hii miaka saba ndo nioe

WARNING : NIMEANDIKA TU ..SIJAJA KUOMBA USHAURI...
Aise pale nyuma ya udsm uwe unajilia wanachuo eeh....hapo lazima utapiga threesome zakutosha
 
Hiyo stage 6 na 7 huwa inawachanganya sana watu, kwa mimi nilishapitiaga hiyo situation kama yako lakini nilipokuwa nipo kimya na alirudi tena nilimkaribisha lakini nilimfayanyia kitu mpaka yeye mwenyewe alimfata Bi mkubwa wangu akamwambia mwanao alinipenda ila me mwenyewe nilizingua sasa hiv tunapoongea yule bint wa watu niliambiawaga yupo ndoa na jamaa lakini kiakili hauyupo sawa🙌.
 
Ulimfanya nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom