Mapenzi ya sasa pesa ni muhimu ila tutafute na akili basi, rafiki wiki ya tatu kahonga laki 7 na bado hapewi kwa mwanamke ambae analiwa kwa elf 30

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Nilianza maisha kwa kutegemea mishahara ya ajira serikalini ila nashukuru nikaweza kujiongeza nifanye na biashara, huku kwenye biashara kwakweli huwa nakutana na watu wengi zaidi.

Sasa katika watu nilioweza kuwajua ni mfanya biashara flani ni mteja wa mara tulizoeana zaidi kupiga story huku deals zinaendelea.

Ni kijana mdogo tu ana miaka 27, ana crown yake na apartment ya laki 4 kila mwezi,

katika story za hapa na pale siku akanionesha picha ya pisi anayoifukuzia kwa wiki 3 hivi, huyo binti hakuwa mgeni kwangu maana ni mdogo wake mke wa jirani,

sasa nikamuuliza vipi, ana mpango wa kumuoa au, ndio akaanza kufunguka huyo binti ni mizinga sana, kashamhonga laki 7 kwa shopping, out, matmizi, n.k. lakini hajapata mzigo dem visingizio kibao period, kuumwa, kachoka, n.k. kapania apige tu kupunguza hasira za hela anazotoa.

niliona kabisa kijana kachoma pesa maana aliwahi kuwa dem wa ndugu yangu tuliezoeana sana, kuna muda aliwahi kumpata huyo jirani na niliona kwenye status yake, anafanya kazi kampuni binafsi mshahara laki 4.

baadae nikamcheki ndugu, huwa tumezoeana nikamuuliza kuhusu yule jirani, akasema yule walishamalizana aligharamika elf 30, siku ya kwanza aliomba namba akamwaga sera na kumtumia elf 12, kesho yake jamaa alipotoka kazini akaenda kumtafuna geto, alimla siku 3 mfululizo jioni kila akitika kazini.

PESA ZITAFUTWE ILA NA AKILI ZIWEPO/
 
USITUMIE Pesa yako Kumfanya mwanamke akuelewe.

Kama unataka kutumia Pesa na huna lengo la kuoa, nyoosha maelezo kwake.

Mwambie Unaham na K yake, Umpe shingapi?? Anaweza kuzuga zuga tu ila baadae anakupa.
Nashindwa kumuelewa, Mwanamke ambae anakupiga mzinga huyo hakuonei huruma, ukikutana na huyu mwanamke ni mwiko kumuonea huruma, akitaka kitu kutoka kwako nae akupe.
 
6793aa67-9294-4541-a2f2-735cc49e802a.jpg
 
Kuna mdau juzi kaandika humu, watu tumekuwa con artists dadeki. Kuna men wanaweka kamzizi mfukoni afu akimtokea manzi hachomoi, kuna pisi zinatafuna kamzizi, akipiga kizinga..unahonga hadi nyumba ya ukoo. Con Artists wamekutana. Hamna wa kujigamba anamkomoa mwenzake, tunakomoana siku izi..KALAGHABAO...🍷🤸
 
Nashindwa kumuelewa, Mwanamke ambae anakupiga mzinga huyo hakuonei huruma, ukikutana na huyu mwanamke ni mwiko kumuonea huruma, akitaka kitu kutoka kwako nae akupe.
That's right !!.

Nakumbuka wakati Fulan Niko chuo mwaka wa nne, Kuna Manzi mtaani nilipokua nmehamia nilimkuta huko, ,Sasa kuomba mchezo akaniambia usiku tutatoka ila kwanza apendeze ,nikaitoaga Laki na Ishirin kufanya shopping ili usiku wake tuwe pamoja .

Ile usiku demu ananiletea mambo mengi, kumbe kaamua kutoka na jamaake , Sasa nikiwa na mwanangu Mmoja pale tumechill Mahali tulipokua tumepanga onana na Demu, mida ya saa nne, ndo Dem namuoma akiwa na kijamaa chake.

Nilitaka niende palepale, jamaa akanizuia.

Kesho yake Asubuh nikawahi alipopanga demu , namkuta ndo anaamka na mausingizi yake, nikamwambia Naomba Pesa yangu yote uloitumia kufanya shopping, akaanza Maneno ya kishujaa, Mara Mapenzi hayalazimishwi Mara nn !!.

Nikajua huyu anadhan mie wa pwani, Nikafunga mlango tukiwa wote Wawili Ndani, alafu nikaongeza sauti ya Redio yake.

Nikachomoa Kisu ,mambo nloyafanya.

👉nilimkata Nywele zote na wigi lote (baadae Alienda kunyoa upara.).

👉Nikabeba viatu na nguo alizovaa Jana ,nikasepa.
 
Wewe ndo inakubidi utafute hizo akili kwanza, kama pesa unazo.... pesa ya outings sijui shoppings sijui hizo sio KUHONGA ni matanuzi.
 
That's right !!.

Nakumbuka wakati Fulan Niko chuo mwaka wa nne, Kuna Manzi mtaani nilipokua nmehamia nilimkuta huko, ,Sasa kuomba mchezo akaniambia usiku tutatoka ila kwanza apendeze ,nikaitoaga Laki na Ishirin kufanya shopping ili usiku wake tuwe pamoja .

Ile usiku demu ananiletea mambo mengi, kumbe kaamua kutoka na jamaake , Sasa nikiwa na mwanangu Mmoja pale tumechill Mahali tulipokua tumepanga onana na Demu, mida ya saa nne, ndo Dem namuoma akiwa na kijamaa chake.

Nilitaka niende palepale, jamaa akanizuia.

Kesho yake Asubuh nikawahi alipopanga demu , namkuta ndo anaamka na mausingizi yake, nikamwambia Naomba Pesa yangu yote uloitumia kufanya shopping, akaanza Maneno ya kishujaa, Mara Mapenzi hayalazimishwi Mara nn !!.

Nikajua huyu anadhan mie wa pwani, Nikafunga mlango tukiwa wote Wawili Ndani, alafu nikaongeza sauti ya Redio yake.

Nikachomoa Kisu ,mambo nloyafanya.

nilimkata Nywele zote na wigi lote (baadae Alienda kunyoa upara.).

Nikabeba viatu na nguo alizovaa Jana ,nikasepa.
Mkuu umetisha sana, hii mbinu ya kivita ngoja niifadhi kwa matumizi ya baadae.
 
Nilianza maisha kwa kutegemea mishahara ya ajira serikalini ila nashukuru nikaweza kujiongeza nifanye na biashara, huku kwenye biashara kwakweli huwa nakutana na watu wengi zaidi.

Sasa katika watu nilioweza kuwajua ni mfanya biashara flani ni mteja wa mara tulizoeana zaidi kupiga story huku deals zinaendelea.

Ni kijana mdogo tu ana miaka 27, ana crown yake na apartment ya laki 4 kila mwezi,

katika story za hapa na pale siku akanionesha picha ya pisi anayoifukuzia kwa wiki 3 hivi, huyo binti hakuwa mgeni kwangu maana ni mdogo wake mke wa jirani,

sasa nikamuuliza vipi, ana mpango wa kumuoa au, ndio akaanza kufunguka huyo binti ni mizinga sana, kashamhonga laki 7 kwa shopping, out, matmizi, n.k. lakini hajapata mzigo dem visingizio kibao period, kuumwa, kachoka, n.k. kapania apige tu kupunguza hasira za hela anazotoa.

niliona kabisa kijana kachoma pesa maana aliwahi kuwa dem wa ndugu yangu tuliezoeana sana, kuna muda aliwahi kumpata huyo jirani na niliona kwenye status yake, anafanya kazi kampuni binafsi mshahara laki 4.

baadae nikamcheki ndugu, huwa tumezoeana nikamuuliza kuhusu yule jirani, akasema yule walishamalizana aligharamika elf 30, siku ya kwanza aliomba namba akamwaga sera na kumtumia elf 12, kesho yake jamaa alipotoka kazini akaenda kumtafuna geto, alimla siku 3 mfululizo jioni kila akitika kazini.

PESA ZITAFUTWE ILA NA AKILI ZIWEPO/
Aendelee kunywa mtori nyama atazikuta chini tu
 
Tanzania ni nchi ambayo inahitaji maendeleo kwa kiwango kikubwa....

anyway ninacho fahamu Mimi ni kwamba mwanadamu ameumbwa kufikiri kutumia ubongo.

kama binadamu aliweza kutengeneza kondomu Basi hakuna mwanamke ambaye atakuzidi akili katika haya maisha ya Sasa.

MWANADAMU AMEUMBWA KWA UDONGO, ILA AMEPEWA MAMLAKA YA KUTUMIA UBONGO KUFIKIRI KATIKA MAISHA YAKE..... 😀😀😀
 
Back
Top Bottom