Soko la mapenzi limekuwaje, mbona halieleweki kabisa?

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,821
Kwani soko la mapenzi limeingia mchanga au limevaa ndondo cup

Siku hizi bwana mpaka umpate mwanaume anakutongoza, nenda kanisani ukatoe sadaka kabisa

Ukipata hata mwanaume anakupeleka kwake ushukuru Mungu

Ukipata mwanaume anakununulia hata maji ya kunywa basi nenda Kwa Yatima Katie sadaka

Wanaume kama hao waliotajwa Kwa sasa NI rare editions

Yani wanawake sahivi tumepaukaa, tunamavumbiiii, tumechoookaaa kuliko hata wanakawa wa zamani

Wakowapi wanaume wa kuwa take care wanawake kizazi hiki?

Hiki kilio cha wanawake kuteseka kitaisha lini?

Alisikika mlevi mmoja kariakoo akiongea kwa uchungu, baada ya saa za kazi, huku machoI na makamasi yakimtoka

Sasa WA kumlaumu Nani?!
1. Vikoba
2. Marejesho
3. Kizazi cha sasa
4. Malika WA nguvu??

Hamna picha Kwa Leo, we tafuta picha yako ya mlevi weka kichwani mwako.

NYUZI ZANGU ZINGINE
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi
2. "Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi
3. Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae
4. Je, mapenzi ni mabaya?
5. Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?
6. Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini
7. What you see is what you get!
8. Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?
9. Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?
10. Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!
11. Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa
12. Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!
13. ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?
14. Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu
15. Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
Kwan kipindi babako anachumbia standard zolikuwa hamna au wewe ulikuwa hujazaliwa??
Well wanawake wa kipindi hiki mmeweka standard za juu wkt mna offer kidogo sana kwenye maisha ya mwanaume
So wanaume baada ya ku suffer muda mrefu wameona wawaachie standards zenu mpambane nazo
Wengi wame give up
a ham
 
Back
Top Bottom