Safari yangu na washikaji na raha ya mapenzi Tanga-Moshi-Arusha-Karatu. An amazing city-break travel experience.

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,432
11,098
Wasalaam JF,
Ulikuwa ni mwezi uliojaa raha na mapenzi motomoto. Kipekee kwangu nilianza na penzi la mdogo akafuate msambaa, Kisha mpare baadae mchaga, baadae mmeru, baadae mbugwe, finally mmaghati.

Sitaki kuwasemea wenzangu maana raha, utamu na ladha ni vya mlaji. Ila kwa hakika ukikutana na mmeru anaejua shoo na kabinti ka kimbugwe kaliki iva vizuri utaona dunia ipo kipekee kwa ajili yako.

Nipende kuhitimisha mapenzi ni matamu sana na kuikataa ndoa imekuwa msaada mkubwa wa furaha niliyo nayo.

Nawapenda watu wote wanaotoka hayo Maeneo tajwa hapo juu ukarimu wa hayo maeneo hauna mfano.

Asanteni na iwe inshallah 8.8.2023 ntapita tena kwa safari ya kikazi hayo maeneo yote.

Wabillah Tawfiq

IMG-20230711-WA0033.jpg
 
Mmoja wa watu watakaoingia motoni bila ya hesabu ni Mzinifu hata kama ni mara moja na hali ya kua amefariki hajatubu

Najua ww ni Muslim na unafanya makusudi kujisifia dhambi

Muogope Mungu wako kijana Ujana ni maji ya moto na yatapoa hayo maji
 
Back
Top Bottom