maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania "Kuacha kutumia dola ya kimarekani" imekuwa maoni ya pamoja ya nchi za Afrika

    Hivi majuzi, video iliyomuonyesha Rais William Ruto wa Kenya akitoa hotuba katika bunge la Djibouti imeibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii. Katika video hiyo, Ruto aliuliza kwa kejeli: Kwa nini tunatumia dola ya kimarekani kwenye biashara kati ya nchi za Afrika? Baada ya kauli yake hii...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutadharau ushauri, maoni na maeneo yenye hofu kuhusu makataba wa bandari

    MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI --- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu Majaliwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

    Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!! Swali langu : Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sikilizeni Wananchi: Nguvu ya Maoni katika Kuleta Mabadiliko

    SIKILIZENI WANANCHI: NGUVU YA MAONI KATIKA KULETA MABADILIKO Imeandikwa na: MwlRCT Utangulizi Katika ulimwengu wa leo, sauti za wananchi zina nguvu kubwa katika kuleta mabadiliko katika jamii. Kusikiliza maoni na matakwa ya wananchi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Serikali imeona wabunge wamepuyanga bungeni imerudi kukusanya maoni kwa wenye akili timamu

    Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya. Hiki...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Toa Maoni yako Kuhusiana na Mchezo wa Koinange utakaoanza hivi karibuni nchini Sweden

    Yapi maoni yako kuhusiana na mchezo wa Koinange utakaoanza rasmi nchini Sweden hivi karibuni. Je unafaa kushiriki ama haufai kushiriki? Kwako habari hizi zinakupa picha gani?
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana kufatilia zaidi mpira kuliko mambo muhimu yanayoathiri nchi tatizo ni nini?

    Hapa chini nimeweka video ya wana Dar es Salaam wakisherehekea ushindi (kombe), ambapo wengi wao ni vijana. Jana taifa lilikuwa na jambo muhimu sana kwa mustakabali wa vizazi na vizazi, jambo lililogusa Bandari ambazo ndizo kiini cha uchumi na heshima ya nchi. Mpira na furaha ni muhimu sana...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Bunge lasikiliza maoni ya Freeman Mbowe kupitia simu ya mkononi. Spika ataka mbunge aandae audio nzuri

    Mjadala wa kubinafsisha shughuli za bandari ya Dar es Salaam umepamba moto leo katika ukumbi wa bunge Dodoma. Baada ya wabunge wa CCM kumshutumu Freeman Mbowe kwa kauli yake juu ya nafasi ya wazanzibari kwenye ubinafsishaji wa bandari za Tanzania, spika Tulia Akson amelazimika kuruhusu clip...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ya DP-World, ipite kura ya maoni kwa wananchi, la sivyo tutaendelea kulaani huu mkataba mpaka bahari itapokauka!

    Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika umefika wakati sasa, maoni ya wengi yaheshimiwe, hasa kwenye mambo makubwa kabisa yanayomgusa kila...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejesha uhuru wa kujieleza na kutoa maoni bila woga

    Wiki hii Tanzania imekuwa na aJenda moja kubwa tu kuanzia vijiweni, kwenye vyombo vya habari, kwenye vyombo vya usafiri mpaka kwenye sehemu za kupiga pombe. Kila mmoja amekuwa akijadili mkataba ulioridhiwa na Bunge leo kati ya Serikali ya Tanzania na ile ya UAE kuhusu masuala ya uendeshaji na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa Bandari zetu

    Je mkataba unaojadiliwa Bungeni kuhusu bandari zetu ni huo huo uliopo mitandaoni au mwingine? Je ni kosa kwa wananchi kujadili mkataba huu? Je wabunge wamejikita kiasi gani kwenye mada iliyopo mezani mfano vifungu vya mkataba na adhari ( + or -)zake kwa Taifa.
  12. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Majeshi yetu yana Maoni gani kwenye Sakata la Bandari?

    Tupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia. Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi yetu kwani itapunguza mamlaka za bandari hivyo hata uwezo wa ukaguzi wa shehena huwenda utapunguwa...
  13. The real Daniel

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji elimu kabla ya kutoa maoni kuhusu mkataba mpya wa bandari

  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE. 99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle mkataba huu. Kuna vitu 3 vikubwa ambavyo hata wale wanaounga mkono ubinafsishaji hawakubaliani:- 1...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana. Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia. Nashauri...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bunge lakaribisha maoni, kuhusu mapendekezo ya kuridhia makubaliano mkataba kati ya Tanzania na kampuni ya Saudia kuendesha bandari Dar es Salaam

    Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kluchumi...
  17. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Nini maoni yako kama kolabo ya Magufuli × Ruto × Museven ingekuwepo?

    mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai, lingepigwa korabo moja ambalo watu wa East Africa tusingekaa tulisahau. hii inaonesha uthubutu wa kutenda...
  18. Bebe Vee Angel

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maoni kuhusu Uwajibikaji na Utawala Bora katika nyanja mbalimbali

    Uwajibikaji na utawala bora ni sehemu katika kila jamii. Kwa Tanzania vipengele hivi ni muhimu kwa utendaji mzuri wa serikali na nyanja mbalimbali kama elimu, huduma ya Afya, na miundombinu. Nchi imepata maendeleo makubwa katika kuboresha uwajibikaji na utawala bora miaka ya karibuni. Hata hivyo...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  20. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania USHAURI: WanaJF tuwe na sehemu ya kuwasilisha maoni yetu ya Katiba pendekezwa kwa Jaji Mutungi?

    Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
Back
Top Bottom