Tuliona walichofanya wabunge Dodoma; tumeona wanachofanya wanazuoni kutoka kwenye dini na fani mbalimbali nchini. Wanajadili mule mule alipopita Mzee Mbowe na Lissu, tofauti ni kwamba wanazuoni wanawapiga shule mawaziri wakati wabunge waliwapigia makofi mawaziri bila kuwapa maarifa mapya.
Hiki...
Yapi maoni yako kuhusiana na mchezo wa Koinange utakaoanza rasmi nchini Sweden hivi karibuni. Je unafaa kushiriki ama haufai kushiriki? Kwako habari hizi zinakupa picha gani?
Hapa chini nimeweka video ya wana Dar es Salaam wakisherehekea ushindi (kombe), ambapo wengi wao ni vijana.
Jana taifa lilikuwa na jambo muhimu sana kwa mustakabali wa vizazi na vizazi, jambo lililogusa Bandari ambazo ndizo kiini cha uchumi na heshima ya nchi.
Mpira na furaha ni muhimu sana...
Mjadala wa kubinafsisha shughuli za bandari ya Dar es Salaam umepamba moto leo katika ukumbi wa bunge Dodoma.
Baada ya wabunge wa CCM kumshutumu Freeman Mbowe kwa kauli yake juu ya nafasi ya wazanzibari kwenye ubinafsishaji wa bandari za Tanzania, spika Tulia Akson amelazimika kuruhusu clip...
Mbali na kelele zoote hizi za wananchi! Lakini bado bunge lenye idadi ya wabunge 300 hivi, likiwakilisha wananchi zaidi ya 60 milioni limeishinisha kubinafisishwa kwa Bandari zetu zote Tanganyika
umefika wakati sasa, maoni ya wengi yaheshimiwe, hasa kwenye mambo makubwa kabisa yanayomgusa kila...
Wiki hii Tanzania imekuwa na aJenda moja kubwa tu kuanzia vijiweni, kwenye vyombo vya habari, kwenye vyombo vya usafiri mpaka kwenye sehemu za kupiga pombe.
Kila mmoja amekuwa akijadili mkataba ulioridhiwa na Bunge leo kati ya Serikali ya Tanzania na ile ya UAE kuhusu masuala ya uendeshaji na...
Je mkataba unaojadiliwa Bungeni kuhusu bandari zetu ni huo huo uliopo mitandaoni au mwingine? Je ni kosa kwa wananchi kujadili mkataba huu? Je wabunge wamejikita kiasi gani kwenye mada iliyopo mezani mfano vifungu vya mkataba na adhari ( + or -)zake kwa Taifa.
Tupo katika kipindi ambacho ugaidi unakua na kusambaa na kushika taswira ya janga la kidunia.
Ni dhahiri kuwa ubinafsishwaji wa bandari unaweza kuwa na athari za Kiulinzi na za kiusalama kwa nchi yetu kwani itapunguza mamlaka za bandari hivyo hata uwezo wa ukaguzi wa shehena huwenda utapunguwa...
Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE.
99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle mkataba huu. Kuna vitu 3 vikubwa ambavyo hata wale wanaounga mkono ubinafsishaji hawakubaliani:-
1...
Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.
Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia.
Nashauri...
Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kluchumi...
mimi siijui sana siasa ila kwa mwendo huu wa Rais Ruto kuanza kuipinga dora ya marekani na rais Museven kupinga vikali tamaduni za magharibi, naona kabisa kama Hayati Magufuli angekuwa hai, lingepigwa korabo moja ambalo watu wa East Africa tusingekaa tulisahau.
hii inaonesha uthubutu wa kutenda...
Uwajibikaji na utawala bora ni sehemu katika kila jamii. Kwa Tanzania vipengele hivi ni muhimu kwa utendaji mzuri wa serikali na nyanja mbalimbali kama elimu, huduma ya Afya, na miundombinu. Nchi imepata maendeleo makubwa katika kuboresha uwajibikaji na utawala bora miaka ya karibuni. Hata hivyo...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda
Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
elimu
elimu ya awali
elimu ya msingi
kamati
katiba
katiba mpya
kitaifa
kubadilisha
maboresho
maoni
mfumo
mitaala
mitaala ya elimu
mpya
msingi
rasimu
rasimu ya elimu
ripoti
sekondari
sera ya elimu
serikali
ualimu
walimu
Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni.
Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye...
UTANGULIZI:
Ili nchi yoyote iweze kuendelea razima iwe na mifumo mizuri ya kiutawala na uwajibikaji, Utoaji wa Elimu kwa wananchi na usimamizi wa rasilimali za Taifa.
Kwa kuzingatia misingi ya maadili iliyoainishwa katika Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania ya mwaka 1977...
Kwanza, Ninampongeza Waziri mkuu kwa kutatua mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo uliodumu kwa siku 3 mfufulizo. Katikati ya mgomo huo mpaka kutatuliwa kwake tumeona na kusikia mengi hususani madhila waliyokuwa wanakutana nayo wafanyabiashara kutoka kwenye vikosi kazi vya kodi.
Pamoja na mambo...
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.