maoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania TAFADHARI PITA HAPA KWA MAONI MTAZAMO NA USHAURI.

    Mimi nimuajiriwa wa Kijijini chenye idada ya Watu 2300 ,shughuli zao kubwa ni kilimo cha mahindi Kwa Sana maharage Na Mpunga kidogo ,zao la mkonge limetawala baadhi wazee wanapga pesa za mkonge so hichi kijijini kilikuwa hakina umeme muda, Ila kwa sasa tangu May 2 Tanesco wameanza Kazi kuleta...
  2. Petro Masunga

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maoni yangu..

    Mtazamo wa mwananchi. Kama raia atakaye nchi yake iwe yenye maendeleo na ustawi kwa jamii, ni lazima kila idara iwe na uwajibikaji wa hali ya juu, uwajibikaji huo uwe na nidhamu ya nchi husika, hivyo ujenzi wetu hauwezi kuanzia juu, maana yake siyo serikali italeta maendeleo na ustawi kwa jamii...
  3. 0

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

    Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana. Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao. Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua ndugu zao waislam weupe ili...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali Zanzibar: Dunia yote inasisitiza uhuru wa kutoa maoni

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Zanzibar), Hassan Khatib Hassan akielezea mfumo uliopewa jina la 'Sema na Rais Mwinyi' ambao anadai umesaidia kuwepo kwa #UhuruWaKujieleza kutokana na Wananchi kupata nafasi ya kumuuliza Rais maswali na kutatuliwa kwa changamoto zao Anasema “Dunia yote mashirika...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Maoni: Ubinafsi na uchoyo ndio huchangia zaidi kabila kukosa maendeleo

    UBINAFSI Ni tabia ya kujiona wewe ni bora kuliko wengine hutaki wengine wawe kama wewe pale unapokuwa na nafasi fulani kudharau wengine Katika baadhi ya makabila kuna watu miongoni mwao wamepata nafasi kubwa ya kuwasaidia wengine lakini wameshindwa kwa sababu ya ubinafsi matokeo yake jamii zao...
  6. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu suluhisho la kudumu la kero za Muungano uliopo

    Tunapoikumbuka Aprili 26, ya mwaka 1964, tujikite zaidi katika kuepukana au kumaliza kabisa zinazoitwa kero za Muungano kwa kufanya mojawapo ya yafuatayo: Mosi, tuwe na nchi moja na serikali moja, yaani Muungano kamili (complete union). Tuachane kabisa na Muungano huu wa kubanana, kufinyana...
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

    Hii dunia ni ngumu kuielewa na kila siku kuna jipya, mtoto amekufa na kugeuka kuwa jiwe, huyu mama alizaa watoto mapacha mtoto mmoja amefariki na mwingine bado yupo. Tukio limetokea ukweni na tayari ndugu wa mke wameamua kuondoka na ndugu yao (mama mfiwa) na mtoto wake aliyebakia hai. Chanzo...
  8. hp4510

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Mradi wa Mabasi ya mwendokasi apewe mtu Binafsi

    Mimi nadhan huu mradi wa magari ya haraka serikali imeshindwa kuufanya uwe msaada wa wanainchi ambao wanatumia usafiri huu Usafiri umekuwa wa kero na shida nyingi Sana hasa kuanzia muda wa Saa nane za mchana mpaka saa mbili usiku Wasafiri wengi wanaachwa wakiwa wapenga folen ndefu Sana na...
  9. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Stephen Chelu - Therapy: Sikiliza Wimbo Wangu Huu Kisha Utoe Maoni Yako

    Baada ya moonlight serenade 👇👇👇 Ambapo nilipokea maoni mbalimbali ambayo naendelea kuyafnyia kazi. nikukaribisheni tena kusikiliza wimbo mwingine uitwao therapy ambao nimeufanya mwenyewe mwanzo mwisho. hii ni express version kwa sababu bado sijaridhishwa na jinsi ninavyoisikia lakini bado...
  10. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Any one with idea tutengeneze E car au Hybrid car kabisa karibu kwa maoni

    .
  11. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Zama zake zimepita. Jihadhari sana na kauli au maoni yako juu yake hapo kesho

    Tuko zama za anaupiga mwingi na maridhiano. Hivyo ewe kiongozi mteuliwa kuwa mwangalifu utakapokuwa unatoa maoni kuhusu bwana yule hapo kesho, maana Zama zake zimepita na kitabu chake kimefungwa. Maoni yako yakikolezwa Sana sifa itakula kwako. Kama ikiwezekana wakwepe Sana waamdishi wa habari...
  13. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu

    Jana nimekaa nimewaza sana tu . WANAUME humu wanaume wanaona kila anayetrend Kwa kucomment ,Kwa posts ni anajiuza ndio mindset yao, so mie nimeona siwezi kuendelea kupretend na kuishi mahali ili hali unaonekana tofauti. WANAWAKE Humu wanawake wengine ni wapo Kwa shughuli Moja tu kupendwa ...
  14. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Karibu usikilize wimbo wangu kisha utoe maoni

    Kama mpenzi wa mziki, nimeamua kutengeneza hii ngoma na ni kwa mara ya kwanza nimefanya kila kitu mwenyewe kuanzia beat, mixing na mastering. Hebu isikilizeni kisha mtoe maoni yenu... Song: Moonlihht Serenade Genre: Hip hop
  15. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Tuisaidie Tume ya kuboresha taasisi za haki jinai kwa kuweka maoni yatu hapa

    Wadau kama tunavyofahamu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aliteua wajumbe tisa wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Ombeni Sefue. Lengo kuu ni kuangalia kwa...
  16. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  17. Midimay

    JamiiForums Tanzania Maoni na mapendekezo kwa tume/kamati ya kuangalia mfumo wa haki jinai

    Habari za jioni mabibi na mabwana. Ni maoni kwamba nia hii njema ya RJMT ipate muda wa kutosha katika mitandao ya kijamii na media kuu za nchi yetu. Ikiwezekana hata na media za kimataifa kama BBC Swahili, BBC Focus on Africa, VOA Swahili, DW Kiswahili na za kikanda kama media za nchi jirani...
  18. Independent Prosecutor

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu binafsi kuhusu dini

    Nimelelewa nikiaminishwa kwamba mimi ni bora kuliko kundi lingine la kidini (Nikiwa Mkirsto) nikaaminishwa kuwa jamii yetu ni jamii bora na nikaaminishwa kuwa hakuna la muhimu kwa wengine ila kwetu tu. Lakini nikawa ninajiuliza ni vipi Dini inafundisha utengano mkubwa kiasi hiki. Niliishi na...
  19. system hacker

    JamiiForums Tanzania Serikali iimarishe vyama (associations) za wasomi ili wasaidie katika ku address maoni na ushauri katika masuala mbalimbali ya Kitaifa

    Tuache siasa kwa kila kitu. Hizi associations mbalimbali za kitaluuma ziwe zina address solutions mbalimbali kwenye changamoto za kijamii kuliko ku pose kisiasa tu. Chama cha Engineers, Chama cha wanasheria, Chama cha makarani, chama cha madalali, chama cha Wapangaji, chama cha wahasibu, chama...
  20. tpaul

    JamiiForums Tanzania Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
Back
Top Bottom