maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngalelefijo

    JamiiForums Tanzania Suala la maombi ya vyuo kwa vijana walio Jeshini lipoje?

    Wadau habari? Vijana wetu wako JESHINI, vipi maombi ya vyuo kwao? Maana hakuna mawasiliano na hatujui utaratibu wao wa kuomba vyuo na mikopo ukoje anayejua. Msaada please
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa maombi: Mwili wa Kristo Tanzania tumwombee Askofu Gwajima

    Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!! Roho Mtakatifu ahusike mwanzo mwisho!! Ikiwezekana baada ya mahojiano kitokee kitu kitakachowashikisha adabu toka kwa mzee wa siku...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa ajili ya Freeman Mbowe yazidi kurindima, leo ilikuwa zamu ya Katavi

    Wananchi mbali mbali pamoja na waumini wa madhehebu ya Kikristo , leo wameangusha maombi mazito kwa ajili ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aliyerundikwa Rumande kwa matakwa ya watawala waoga, kwa kesi ya uongo ya Ugaidi ili kumnyamazisha. Mbowe anakomolewa kwa sababu ya UZALENDO wake...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 22 Agosti, 2021 tutamtembelea Mbowe na wengine wanaoshikiliwa Gereza la Ukonga na tutasali pamoja

    Bwana Yesu apewe sifa! Itakuwa ni safari ya kitume ambapo wagonjwa na wenye shida mbalimbali waliopo gerezani tutawaombea. Kwa pamoja tutamwomba Mungu awape wepesi katika mitihani wanayoipitia kwa sasa. Hili ni agizo la Yesu kwamba tukiyatenda haya kwa waliopo majaribuni basi twamtendea Yesu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

    Wapendwa habari! Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate. Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa watumia mbinu za hayati Magufuli. Wawataka wanachama wao wamuombee Freeman Mbowe

    Binafsi ningeviomba vyombo husika viwaache wanachama wa CHADEMA waendelee kumuombea mpendwa wao ambaye ni mwenyekiti wa chama chao mh Freeman Mbowe aliyeko mahabusu ukonga. Kwetu Wakristo kuombea wagonjwa na wafungwa ni sehemu ya ibada. Nakumbuka hayati Magufuli tulikuwa tukimuombea. Mungu ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

    Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20. OCD asubuhi ya leo...
  8. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini tuwaeleweje: Mmekubali Mungu hawezi kuondoa Corona kwa maombi?

    Mnakuwa neutral sana. Wakati tunashambuliwa mara ya Kwanza, mlikaa kimya hadi Rais alipoingilia kati kazi zenu za maombi. Sasa Serikali inatumia Muda mwingi kueleza kisayansi jinsi Corona inavyoweza kuua watu na jinsi ya kuukwepa, lakini sisikii viongozi wa kidini wanavyotuaminisha uwezo wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

    Niwakumbushe wenye madaraka nchi hii 1. Askofu Mwamakula na Sheikh Ponda waliomba dua ya Maangamizi kwa ambao wangeshiriki kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020, Nyote mnaona leo yule mvurugaji mkuu katwaliwa mapema kabisa hata miezi 6 ya kipindi cha pili hakuifaidi 7. Leo Askofu anatangaza dua...
  11. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Maombi vyuo vikuu mwaka huu vipi?

    Wakuu, mie nina kijana aliyemaliza kidato cha sita na sasa yupo JKT kwa mujibu wa sheria. Nimepata taarifa kuwa mwaka huu vijana hawaruhusiwi kurejea nyumbani kipindi cha kutuma maombi ya kujiunga na vyuo kwa mujibu wa TCU {Tanzania Commission for Universities} badala yake eti patakuwa na mtu...
  12. Chakorii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EX wako unamuombea maombi gani na kwanini?

    Unambariki? Kwanini? Ninambariki mno mno. Nitafarijika niko endelea kumuona anafanikiwa na kuishi na ndoa yake kwa upendo na amani. Mungu azidi kumkinga na hatari katika maisha yake alikuwepo wakati nina uhitaji na kila mtu aliniacha (nalithamini hilo kuliko kawaida) Mungu azidi kumtunza mtu...
  13. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Mungu alishamaliza kazi yake

    Sina maana yoyote juu ya kupotosha imani ya mtu. Umegundua mwisho wa kutafakari bila majibu ni Mungu anafuata? Tumwachie Mungu Mungu atatenda Nk.. Ulistukaga anatajwa wakati unakwepa jukumu lako!? Mfano: Huna kazi. Wanatuambia tumwombe atupatie ajira. Lakini ukweli ni mmoja tu. “MUNGU...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo

    Wakuu, Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo. Kwa njia ya MPESA.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa mafundi pikipiki

    Nawasalimia kwa jina la jamuhuri kazi iendele Kwa kifupi naomba kufikisha ombi langu kwenu wakuu. Mimi kama kijana natamani sana kujifunza ufundi hasa wa pikipiki na vingine pia kwan ufundi ni hazina kubwa sana kwa mtu kwan hatujue leo wala kesho yetu. Ombi langu kwenu kama nitapata...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mwamposa

    Nipo kwa sebule naangalia TV, siamini ninachokiona mchumba wangu anaombewa na mwamposa apate mchumba, sielewi jamani au Mimi simfai, yaani nimechoka hadi akili, sijui nikamuulize kwanini kaenda kuombewa wakati mimi ameshanipata, sielewi FROM FACEBOOK 😁
  17. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Wanandoa kama mna mapepo nendeni mkaombewe msitese ndugu

    Ndugu wapendwa, Naomba ombi hili kwa ajiliya wanandoa Kama una mwenza unamwona ana mapepo yanamtesa Wapo wanateseka na majini mahaba. Wapo wanandoa wanateseka na roho za wizi. Ndani kwa NDAN Wapo wanateseka na rohiza uzinzuli kutokana. Na kutubuu imefika Mmoja kaamua twende hivyohvyo...
  18. Masiya

    JamiiForums Tanzania Madirisha ya udahili TCU na mkopo HESLB yamefunguliwa: Je, JKT itawaruhusu vijana walio makambini kurudi kupeleka maombi?

    Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
  19. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu maombi ya ualimu NACTE

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kumekucha bomoabomoa Ubungo-Kimara ndani ya 90m za hifadi ya barabara

    Pamoja na kuwa Barabara ya Ubungo—Kimara (stop over) zimepigwa X jioni hii hadi usiku huu. Wananchi wamepewa siku 30 waondoke kupisha upanuzi wa barabara. Pia kuanzia Kimara Bucha mpaka Kimara resort wamepewa Notisi ya kobomoa na kuvacate kwa walio ndani ya Mita 90 za hifadhi ya barabara kama...
Back
Top Bottom