maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X_INTELLIGENCE

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Ndugu zangu naomba tutumie ukrasa huu kujadi tunazo kutananazo kwenye mfumo wa maombi mpaka hivi leo tarehe 21/4/2022 nimefanikiwa kufungua akaunti mbili tu kwa mbinde sana nilicho kigundua ni lazima ufungue akaunti mpya hivyo...utaingiza email yako kisha itafuata utambuzi wa namba ya UTAIFA...
  2. STUKA M1

    Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

    Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania wenye sifa waombe nafasi za kazi kuanzia leo, baada ya serikali kutangaza nafasi za ajira 17,412, kwa kada ya elimu na afya. Kauli hiyo ameitoa hii leo Aprili 20, 2022, Bungeni Dodoma, wakati akihitimisha hoja ya bajeti ya Ofisi ya...
  3. M

    Tuanze Maombi Maalum Kwa ajili ya Ben Saanane na Watesi wa Tundu Lisu

    Shalom! Wapendwa tunapoelekea, kukamilisha kipindi Cha Kwaresma, nawasihi wanamaombi tuingie KATIKA Maombi Maombi Maalum ya kuitafuta ukweli Juu ya Mpendwa wetu Ben Saanane! Mpaka Sasa haijulikani yupo wapi, alikufa au yupo hai! Watoto wake, mke wake wazazi wake wemepitia Magumu sana! Hivo Kwa...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Muhtasari wa elimu ya Maombi, Dua na Sala kwa Mtu Binafsi, na Familia

    MAOMBI, DUA NA SALA KWA MTU BINAFSI, AU FAMILIA Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lafaa kwa mtu yeyote, lafaa kwa rika zote, hadhi, elimu na hali. Andiko hili ni sehemu tuu ya kumbukumbu kwa wajuao mambo haya, aidha andiko hili ni elimu ya manufaa kwa wageni wa mambo haya. Haya basi...
  5. D

    Naomba kufahamu utaratibu wa kutuma maombi ya ualimu (Nacte)

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  6. B

    Hongera Dkt. Anna Makakala, Diaspora tumeona mabadiliko upokeaji maombi ya pasipoti ila Sasa maafisa wachache wamekalia maombi bila kutoa pasipoti

    Mara mwisho nikiwahi kuleta Uzi hapa kuishauri Uhamiaji iache kuwarudisha waombaji wa pasipoti bila kuwapokea Jambo lililopelekea vishoka nje ya ofisi zao kushirikiana na maafisa kushawishi ndipo maombi yapokelewe. Vijana wengi na watu wengi tulionao kwenye group la WhatsApp na tunaojadili nao...
  7. Kibumbula

    Fununu ya maombi ya kazi ya sensa 2022

    Wanabodi habarini za hapa jukwaani.Kuna taarifa inasambaa sana kwenye magroup ya majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.Taarifa inahusiana na maombi ya kazi ya sensa. Ukiingia kwenye hiyo link ambayo wameweka na kujisajiri mwishoni kuna hela ambayo unalipia ili kukamilisha usajiri ambayo ni...
  8. Walt white

    Maombi gani ya watu wako wa karibu yanakukera? Ukiachilia mbali pesa?

    Wakuu, tukiachana na watu wako wa karibu kukuomba pesa kipi kingine ukiombwa huwa unakereka sana? Binafsi ni haya matatu. 1.Simu yako ina dakika uniazime? 2.Kuombana vifaa vya kazi. 3.Kuombana mavazi hasa viatu. Je wewe kuna mengine yanakukera au yote ni sawa kwako?
  9. mirindimo

    Usije ukalogwa wanamaombi wakajua jambo lako

    Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani. Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara. Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
  10. Mtamba wa Panya

    Algeria yapuuzia maombi ya kuongeza uzalishaji wa gesi kufidia gesi ya Urusi

    Taifa la Algeria mpaka sasa limeendelea kuwa "Neutral" na limekataa kuongeza uzalishaji wake wa gesi kwa ajili ya soko la Ulaya kufidia "gepu" lililoachwa na nchi ya Urusi, Vyombo vya habari vya nchi za kiarabu vimeripoti. Miundombinu ya LNG Msimamo huo wa Algeria umedhihirisha umuhimu wa...
  11. S

    Israel yakataa maombi ya Ukraine juu ya msaada wa silaha vita

    Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel. Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
  12. beth

    Ukraine yasaini maombi ya kujiunga Umoja wa Ulaya (EU)

    Rais Volodymyr Zelenskyy amesema amesaini maombi rasmi ya kujiunga na Umoja wa Ulaya (EU). Pia, ameomba Umoja huo uiruhusu Ukraine ipate Uanachama mapema iwezekanavyo, chini ya Utaratibu Maalum wakati ikijilinda dhidi ya mashambulizi ya Urusi Wakati huo huo, Jeshi la Ukraine limesema watu...
  13. ommytk

    Hivi kwanini wanaume huwa awaanguki katika maombi ni wanawake tu

    Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume...
  14. Chendembe

    Nashauri Wizari ya Nishati kuielekeza TANESCO kusitisha kwa muda kupokea maombi mapya ya kuunganishiwa umeme

    Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo. Haipendezi...
  15. Kipenzi Changu

    Huu muujiza wa maombi na mimi umenishtua

    Asubuhi ya jana nikiwa nasikiliza redio kipindi cha dini. Kwenye kipindi kulikuwa na mchungaji anaombea wenye shida na wengine wakawa wanatoa ushuhuda. Jamaa mmoja akapiga simu kueleza shida yake kwamba kuna hela zimepotea kiutatanishi hapo kwake. Kabla hajamaliza mchungaji akadakia na kuanza...
  16. T

    Maombi kwa Spika Wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia

    Mungu tunajuwa Wewe ni Mungu mwaminifu sana. Naniukweli usio pingika ktk malango yako ya siri haikuwa Rahisi kwa Dr Tulia kupita nakuwa. Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz. Mlinde na ufunike ktk kipindi hiki waovu wameongezeka ktk uso wa dunia. Unajuwa yakuwa anamitego na majukumu...
  17. peno hasegawa

    Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi?

    Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi? Hii imekuwa unyanyasaji mkubwa Kwani maelfu walituma maombi ila ewura wamepiga kimya au walishaajiri? Tunaomba majibu
  18. C

    Mrejesho: Maombi yenu jamani, safari ya Popeye Malta inakaribia

    Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona. Siku zinakaribia kuondoka kwenda kukutana na mrembo J lakini nikiwaza itakuwaje huko nchi za wengine...
  19. Roving Journalist

    Viongozi wa Dini wafanya Maombi Maalum ya kuombea Mvua inyeshe

    GOOD NEWS FOR ALL MINISTY MAOMBI MAALUM YA KUMWOMBA MUNGU MVUA MERARANI - SIMANJIRO PRESS RELEASE 17 JANUARI 2022 BISHOP CHARLES GADI Ndugu Watumishi wa Mungu, Maaskofu wachungaji, manabii mitume, walimu wainjiliti wazee wa kanisa na Waandishi wa Habari, Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo...
  20. P

    Bila kujali itikadi zetu za vyama na dini zetu, kuanzia leo hadi 2025, ni maombi kwa Mungu ya kuifuta CCM

    Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa? Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu! Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio...
Back
Top Bottom