maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania Fununu ya maombi ya kazi ya sensa 2022

    Wanabodi habarini za hapa jukwaani.Kuna taarifa inasambaa sana kwenye magroup ya majukwaa mbalimbali ya mitandao ya kijamii.Taarifa inahusiana na maombi ya kazi ya sensa. Ukiingia kwenye hiyo link ambayo wameweka na kujisajiri mwishoni kuna hela ambayo unalipia ili kukamilisha usajiri ambayo ni...
  2. Walt white

    JamiiForums Tanzania Maombi gani ya watu wako wa karibu yanakukera? Ukiachilia mbali pesa?

    Wakuu, tukiachana na watu wako wa karibu kukuomba pesa kipi kingine ukiombwa huwa unakereka sana? Binafsi ni haya matatu. 1.Simu yako ina dakika uniazime? 2.Kuombana vifaa vya kazi. 3.Kuombana mavazi hasa viatu. Je wewe kuna mengine yanakukera au yote ni sawa kwako?
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Usije ukalogwa wanamaombi wakajua jambo lako

    Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani. Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara. Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
  4. Mtamba wa Panya

    JamiiForums Tanzania Algeria yapuuzia maombi ya kuongeza uzalishaji wa gesi kufidia gesi ya Urusi

    Taifa la Algeria mpaka sasa limeendelea kuwa "Neutral" na limekataa kuongeza uzalishaji wake wa gesi kwa ajili ya soko la Ulaya kufidia "gepu" lililoachwa na nchi ya Urusi, Vyombo vya habari vya nchi za kiarabu vimeripoti. Miundombinu ya LNG Msimamo huo wa Algeria umedhihirisha umuhimu wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Israel yakataa maombi ya Ukraine juu ya msaada wa silaha vita

    Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel. Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasaini maombi ya kujiunga Umoja wa Ulaya (EU)

    Rais Volodymyr Zelenskyy amesema amesaini maombi rasmi ya kujiunga na Umoja wa Ulaya (EU). Pia, ameomba Umoja huo uiruhusu Ukraine ipate Uanachama mapema iwezekanavyo, chini ya Utaratibu Maalum wakati ikijilinda dhidi ya mashambulizi ya Urusi Wakati huo huo, Jeshi la Ukraine limesema watu...
  7. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume huwa awaanguki katika maombi ni wanawake tu

    Kuna kitu nimekuwa nikijiuliza naomba nakiweke hapa tupate kushiriki pamoja inaweza ikawa jambo halina maana sanaaa ila nimekuwa nakuuliza kila nikiona maombezi naona sanaa wanaenda uko ni kina mama tu wanaume wachache sana pia ata kipindi wanaombea ile wanaanguka chini sijawahi kuona wanaume...
  8. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Nashauri Wizari ya Nishati kuielekeza TANESCO kusitisha kwa muda kupokea maombi mapya ya kuunganishiwa umeme

    Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo. Haipendezi...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Huu muujiza wa maombi na mimi umenishtua

    Asubuhi ya jana nikiwa nasikiliza redio kipindi cha dini. Kwenye kipindi kulikuwa na mchungaji anaombea wenye shida na wengine wakawa wanatoa ushuhuda. Jamaa mmoja akapiga simu kueleza shida yake kwamba kuna hela zimepotea kiutatanishi hapo kwake. Kabla hajamaliza mchungaji akadakia na kuanza...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Spika Wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia

    Mungu tunajuwa Wewe ni Mungu mwaminifu sana. Naniukweli usio pingika ktk malango yako ya siri haikuwa Rahisi kwa Dr Tulia kupita nakuwa. Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz. Mlinde na ufunike ktk kipindi hiki waovu wameongezeka ktk uso wa dunia. Unajuwa yakuwa anamitego na majukumu...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi?

    Usaili EWURA unafanyika Lini kwa waliotuma maombi ya kazi? Hii imekuwa unyanyasaji mkubwa Kwani maelfu walituma maombi ila ewura wamepiga kimya au walishaajiri? Tunaomba majibu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Maombi yenu jamani, safari ya Popeye Malta inakaribia

    Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona. Siku zinakaribia kuondoka kwenda kukutana na mrembo J lakini nikiwaza itakuwaje huko nchi za wengine...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wafanya Maombi Maalum ya kuombea Mvua inyeshe

    GOOD NEWS FOR ALL MINISTY MAOMBI MAALUM YA KUMWOMBA MUNGU MVUA MERARANI - SIMANJIRO PRESS RELEASE 17 JANUARI 2022 BISHOP CHARLES GADI Ndugu Watumishi wa Mungu, Maaskofu wachungaji, manabii mitume, walimu wainjiliti wazee wa kanisa na Waandishi wa Habari, Nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Bila kujali itikadi zetu za vyama na dini zetu, kuanzia leo hadi 2025, ni maombi kwa Mungu ya kuifuta CCM

    Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa? Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu! Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

    Je, 1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu? 2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu? 3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Libya: Tume ya Uchaguzi yakataa maombi ya Urais ya Saif al-Islam Gaddafi

    Tume ya Uchaguzi Nchini Libya imekataa maombi ya Urais ya Wagombea 25 akiwemo Mtoto wa aliyekuwa Kiongozi wa Taifa hilo, Muammar Gaddafi wakidai ni kutokana na sababu za kisheria Tume hiyo imesema Saif al-Islam Gaddafi anakosa vigezo kwasababu alihukumiwa. Mahakama Jijini Tripoli ilimhukumu...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tunapofunga kwa ajili ya maombi ya mvua ilete maji tunamshangaza sana Mungu

    Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa ziwa Burigi, ziwa Nyasa ziwa Tanganyika na kubwa lao ziwa Victoria. Hizi ni baraka tayari ambazo...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

    Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja. Mwenyewe...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba usipokee Maombi ya Watanzania ulete Mvua, bali acha Kwanza tufe ili Akili zitukae sawa na tuache kuwa Mazuzu

    Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
  20. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
Back
Top Bottom