Naomba ufafanuzi kuhusu ujazaji fomu za maombi ya electronic passport

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,421
15,974
Wakuu habari,

Naomba kufahamishwa kwa anaejua hivi inawezekana kujaza form za kuomba passport mara ya pili endapo umeprint za kwanza na ukagundua kuna makosa katika ujazaji? Maana najaribu kuwapigia uhamiaji ili kupata ufafanuzi/ muongozo simu hazipokelewi.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom