Wito wa maombi: Mwili wa Kristo Tanzania tumwombee Askofu Gwajima

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,036
Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!! Roho Mtakatifu ahusike mwanzo mwisho!! Ikiwezekana baada ya mahojiano kitokee kitu kitakachowashikisha adabu toka kwa mzee wa siku!!

Askofu tunakuombea kama kanisa la kwanza walivyomwombea Petro alipokuwa amekamatwa na mfalme Herode na kutupwa gerezani!! Hauko peke yako, mwili wa Kristo Tanzania uko pamoja na wewe katika maombi!! Watakaokuhoji wajiandae kupambana na nguvu za Mungu!! Baada ya mahojiano watatamani ku-rewind but it will be too late!!
 
Amina, tunamuomba Mungu akatende yapasayo kwa walio wabaya katika njia zake.
 
Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!...
Mimi ushauri wangu, Bishop Gwajima azidi kuwa na tahadhari ya hali ya juu, akienda kuhojiwa room atakayoingia, kiti atakachokalia, microphone mbungeni anazotumia, awapo barabarani, usafiri wake wa ndege, awapo kwenye hotel za Tanzania, nk nk awe makini sana, Chama cha Chukua Chako Mapema wana umafia wa hali ya juu.

Mungu amlinde na kumkinga na nia ovu.
 
Una mwombea mzinifu mkono wa baunsa na anayejizalilisha, hamnaga mchungaji wa kweli mwenye hizo tabia zake
 
Mimi ushauri wangu, Bishop Gwajima azidi kuwa na tahadhari ya hali ya juu, akienda kuhojiwa room atakayoingia, kiti atakachokalia, microphone mbungeni anazotumia, awapo barabarani, usafiri wake wa ndege, awapo kwenye hotel za Tanzania, nk nk awe makini sana, Chama cha Chukua Chako Mapema wana umafia wa hali ya juu.
Mungu amlinde na kumkinga na nia ovu.
Acha wamnyooshe kazidi mno na kaota pembe
 
Mungu hadhihakiwi kiasi hicho! Mungu anadeal na vitu vilivyomo mioyoni na akilini mwetu. Moyo Wa gwajima na wafuasi mfu (wengine wanawaiya misukule) wake km wewe imejaa udini, ukanda, ukabila chuki na wivu katika hili.....Mungu analijua hill vema tu!

Gwajima anatoka na hakuna lolote litakalomkuta lkn si kwa maombi yenu batili na ya kinafiki, bali kwa sababu n mwanaCCM na kutokuwepo na utofauti wa kidhambi kati ya shughuli za kiibada za kishetani za gwajima na shughuli za siasa zetu zilizojaa ushirikina, ubabe, uongo, wizi n.k.

Hukumu ya Mungu Wa kweli kwa gwajima inakuja na atadhalilika vibaya.....misukule mtafadhaika haswaaa. Lkn Mungu Mkuu hawezi kumuadhibu kupitia hizi siasa chafu ambazo zenyewe zinastahili adhabu. Ana muda wake na haupo mbali. Ngoja nifunge mchango Kwa kukuuliza, HV gwajima kweli alimshinda Mdee?!!!!
 
Ni heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake. Nawaomba wote tuangalie mwisho wa jambo hili ambao utadhihirisha wazi ni yupi alikuwa katika mapenzi ya Mungu kuhusu Taifa letu na yupi hakuwa sahihi. The end results will justify the correct position!! Mungu lazima atafanya kitu, lets keep watching!! Vita ni vya Bwana!! Hawa wamisri mnaowaona leo hamtawaona tena!! Mungu hajawahi kumwacha mtu wake hata siku moja, katika hili kila kitu kitakuwa wazi. Halafu kuna watu wanajaribu kumlisha maneno rais wetu!! Rais kasema chanjo ni hiari lakini kuna watu wanataka tuamini kuwa alimaanisha ni lazima kwa baadhi ya makundi!!! Hata siku moja medical intervation inayomhusu mtu binafsi haijawahi kuwa ya lazima! Tatizo waliochanjwa wanataka iwe ya lazima ili kama kutakuja kutokea hatari yoyote mbali mbele ya safari kiwe kilio cha wengi harusi!
 
Mimi ushauri wangu, Bishop Gwajima azidi kuwa na tahadhari ya hali ya juu, akienda kuhojiwa room atakayoingia, kiti atakachokalia, microphone mbungeni anazotumia, awapo barabarani, usafiri wake wa ndege, awapo kwenye hotel za Tanzania, nk nk awe makini sana, Chama cha Chukua Chako Mapema wana umafia wa hali ya juu.
Mungu amlinde na kumkinga na nia ovu.
Ni kweli maana hata aliyemlisha sumu Mangula yumo ndani ya hiko chama na hajawahi kukamatwa!
 
Ni heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake. Nawaomba wote tuangalie mwisho wa jambo hili ambao utadhihirisha wazi ni yupi alikuwa katika mapenzi ya Mungu kuhusu Taifa letu na yupi hakuwa sahihi.
Hivi Ni kweli Askofu Gwajima huwa anafufua misukule? Ulishawahi kuona msukule yeyote aliyefufuliwa huko kanisani? Ebu lete ushuhuda mpendwa katika Bwana.
 
Mwili wa Kristo uliopo Tanzania kesho katika umoja wetu tumwombee Askofu Gwajima. Tuombe Mungu ampe ujasiri na hekima ambayo hakuna atakayeweza kuhojiana nayo!! Roho Mtakatifu ahusike mwanzo mwisho!! Ikiwezekana baada ya mahojiano kitokee kitu kitakachowashikisha adabu toka kwa mzee wa siku!!

Askofu tunakuombea kama kanisa la kwanza walivyomwombea Petro alipokuwa amekamatwa na mfalme Herode na kutupwa gerezani!! Hauko peke yako, mwili wa Kristo Tanzania uko pamoja na wewe katika maombi!! Watakaokuhoji wajiandae kupambana na nguvu za Mungu!! Baada ya mahojiano watatamani ku-rewind but it will be too late!!
Mi siwezi kumuombea mzinzi.
Na mtu ambae tabia zake ni kama kinyonga.
 
Back
Top Bottom