Usaili Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

Utumishi wako fair

JF-Expert Member
Nov 12, 2021
431
1,335
Leo Bwana baada ya kukaa nikawaza aahh,kumbe niliombaga nafasi za ajira za TRA. Nikastuka nikajua Tayari watu wameshaitwa .. cz sikuwa nimeingia online muda sehemu nilipokuwepo hakuna internet wala mtandao wa simu.

Basi kwa unyonge nikajua aahh basi haikuwa ridhiki yangu labda, ila sasa sijui nini kikanituma nijaribu kuzipiga zile number ambazo waliziweka kipindi kile kama ulikuwa na shida unawapigia, wanakusaidia basi bwana nikavuta wire kujaribu kuuliza kama Interview zilipita na kama zimepita basi niangalie channel nyingine...

Nyieeeee 🙄🙄, nilichojibiwa hakika kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa...😭@tra
 
Ulijibiwa nini ?
 
Yani acha tu kila nikikumbuka lile jibu, natafuta sehemu tulivu naliaaa , alafu ndio nakuwa sawa...
Sasa boss hadi kutamani kulia si ungetuambia umejibiwa nini ?, maana kuna jamaa yangu mmoja jumapili iliopita anasema ni kama alioipiwa simu toka TRA kwa inshu ya multiple applications kwenye account yake, ila hawakuelewana vizuri, anawaza sijui walikuwa ni matapeli walee
 
Leo Bwana baada ya kukaa nikawaza aahh,kumbe niliombaga nafasi za ajira za TRA. Nikastuka nikajua Tayari watu wameshaitwa .. cz sikuwa nimeingia online muda sehemu nilipokuwepo hakuna internet wala mtandao wa simu.

Basi kwa unyonge nikajua aahh basi haikuwa ridhiki yangu labda, ila sasa sijui nini kikanituma nijaribu kuzipiga zile number ambazo waliziweka kipindi kile kama ulikuwa na shida unawapigia, wanakusaidia basi bwana nikavuta wire kujaribu kuuliza kama Interview zilipita na kama zimepita basi niangalie channel nyingine...

Nyieeeee , nilichojibiwa hakika kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa...@tra
Niliwaambia watu humu ,pamoja na mapungufu machache ya mfumo wa kuajiri kupitia utumishi , ila ni bora mara mia kuliko kuziacha hizi taasisi corrupt ziajiri zenyewe .
 
"Only shortlisted applicants will be notified!!". And for those shortlisted, only successful interviewees will be notified!!

Siyo mbaya kuendelea kusubiri kwa matumaini!! :):):):)
 
Back
Top Bottom