Donald Trump nitajisalimisha kwa mamlaka ya jimbo la Georgia Alhamisi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
tR.JPG

Rais wa zamani Donald Trump anasema atajisalimisha kwa mamlaka katika jimbo la Georgia siku ya Alhamisi kujibu mashtaka katika kesi inayomtuhumu kwa kupanga njama kinyume cha sheria, ya kugeuza matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka 2020 katika jimbo hilo.

“Unaweza kuamini? Nitaenda Atlanta, Georgia, siku ya Alhamisi KUKAMATWA,” Trump aliandika kwenye mtandao wake wa kijamii Jumatatu usiku, saa chache baada ya dhamana yake kuwekwa na jaji.

Itakuwa ni mara ya nne kwa Trump kukamatwa tangu Aprili, alipokuwa rais wa kwanza wa zamani katika historia ya Marekani kukabiliwa na mashtaka. Jumatatu alasiri, Jaji mmoja wa Georgia, aliidhinisha dhamana ya dola 200,000 kwa Trump katika kesi hiyo ya ulaghai iliyowasilishwa dhidi yake katika jimbo hilo la kusini mwa Marekani.

Trump na wengine 18 katika kesi hiyo ya kihistoria, wamepewa hadi saa sita mchana siku ya Ijumaa kujisalimisha kwa mamlaka huko Georgia ili kusomewa mashtaka. Shirika la habari la CNN liliripoti Jumatatu usiku kwamba Trump atajisalimisha siku ya Alhamisi.

Mbali na dhamana hiyo, Jaji wa Mahakama ya Kaunti ya Fulton Scott McAfee aliweka masharti kadhaa katika makubaliano yaliyoidhinishwa na waendesha mashtaka na mawakili wa Trump.

"Mshtakiwa hatafanya kitendo chochote cha kumtisha mtu yeyote anayejulikana kwake kuwa mlalamishi au shahidi katika kesi hii au kuzuia utoaji wa haki kwa njia yoyote," McAfee alisema katika uamuzi wa mahakama wa kurasa tatu.

Alisema vitisho kama hivyo vitajumuisha kuchapisha jumbe za mitandao ya kijamii, au kutuma vitisho kama hivyo vikiwa vimechapishwa na mtu mwingine..

McAfee aliweka dhamana ya dola 100,000 kwa kila mmoja kwa washitakiwa wengine wawili katika kesi hiyo -- mawakili wa zamani wa kampeni ya Trump John Eastman na Kenneth Chesebro.

================

Trump says he will be arrested on Thursday in Georgia election case

Donald Trump has said he plans to turn himself in on Thursday to a court in Atlanta, Georgia, to face charges of election interference.

A judge in Georgia overseeing the former president's case earlier set a bail bond of $200,000 (£157,000).

The bail filing says Mr Trump can remain free pending trial so long as he does not attempt to threaten or intimidate witnesses.

Mr Trump denies 13 charges, including racketeering and false statements.

"The defendant shall perform no act to intimidate any person known to him or her to be a co-defendant or witness in this case or to otherwise obstruct the administration of justice," says the court filing posted on Monday.

"The above shall include, but are not limited to, posts on social media or reposts of posts made by another individual on social media," the order adds.

The order was signed by Fulton County District Attorney Fani Willis, who is overseeing the case, and lawyers for Mr Trump.

But on Monday Mr Trump posted to his social media platform, Truth Social, writing: "Can you believe it? I'll be going to Atlanta, Georgia, on Thursday to be ARRESTED by a Radical Left District Attorney, Fani Willis.

"She campaigned, and is continuing to campaign, and raise money on, this WITCH HUNT," he added. "This is in strict coordination with crooked Joe Biden's DOJ."

Ms Willis has asked the judge to schedule arraignments - in which a defendant is formally charged and enters a guilty or not guilty plea - on 5 September.

She has also proposed that the trial begin in March.

Lawyers for Mr Trump were seen at the Fulton County court in Atlanta earlier on Monday.

According to reports, they were there to meet investigators and negotiate the bail bond's terms.

Barricades have been erected outside the court ahead of Mr Trump's anticipated surrender later this week.

Law enforcement officials from the Fulton County sheriff's office, which normally provides security to the courthouse, as well as the US Marshals Service and the US Secret Service, are helping to co-ordinate security.

The sheriff's office said on Monday the barricades would remain in place until Saturday. The accused have until noon local time on Friday to turn themselves in for processing.

The first former or serving US president ever to be indicted, Mr Trump faces three other criminal cases.

He was charged last week alongside his co-defendants with attempting to subvert the will of the Georgia electorate by meddling in the state's election following his loss to Democrat Joe Biden.

Mr Trump has repeatedly denied any wrongdoing and called the charges politically motivated.

He is currently leading the Republican race to pick its next White House nominee to challenge the Democratic candidate, probably Mr Biden, in the 2024 presidential election.

On Monday, Mr Trump took to social media to attack Georgia's Republican Governor Brian Kemp, who was heard in a recorded phone call resisting efforts by Mr Trump to interfere in the state's election-counting process in 2020.

Mr Trump has already said he will skip the first Republican televised debate on Wednesday evening.

"The public knows who I am & what a successful Presidency I had," Mr Trump said in a post on his Truth Social platform on Sunday. "I will therefore not be doing the debates."

Sources close to Mr Trump say he has instead recorded an interview with former Fox News host Tucker Carlson.

State-by-state primaries - in which Republican voters will choose their party's nominee - are due to begin on 15 January 2024.

Source: BBC
 
1692925989868.png

Rais wa zamani wa Marekani amejisalimisha kwa mamlaka ya jimbo la Georgia kujibu mashitaka katika kesi inayomkabili

Trump anatuhumiwa kupanga njama ya kugeuza matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka 2020 katika jambo hilo kinyume cha sheria.

Trump na washitakiwa wengine 18 wametakiwa mpaka kufikia Ijumaa mchana wawe wamejisalimisha kwa mamlaka ya jimbo hilo ili kusomewa mashitaka

Hii ni mara ya nne kwa Trump kushitakiwa na kukamatwa kwa makosa mbali mbali

UPDATE: Trump ameruhusiwa kuondoka baada ya kuchukuliwa maelezo
1692925989868.png
 
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump alikamatwa kwa muda na kuwekwa ndani katika jela ya Georgia, Atlanta siku ya Alhamisi kwa mashtaka ya ulaghai na kula njama lakini akaja kuachiliwa kwa dhamana ya dola za Kimarekani 200,000 baada ya kupigwa picha wanazopigwa wahalifu.

Trump, ambaye anatuhumiwa kushirikiana na washtakiwa wengine 18 kutengua matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2020 katika jimbo hilo la kusini, alitumia chini ya dakika 30 tu ndani ya jela ya Atlanta ya Fulton County kabla ya kuondoka katika msafara wa magari kuelekea uwanja wa ndege.

Kama washtakiwa wengine katika kesi hiyo ambao wamejisalimisha hadi sasa, Trump mwenye umri wa miaka 77 alipigwa picha ya kihalifu wakati wa mchakato wa kuweka nafasi-ya kwanza kwa rais yeyote anayehudumu au rais wa zamani wa Merika.

Katika picha iliyotolewa na ofisi ya sherifu, aliikazia macho kamera huku akiwa amevalia suti ya bluu iliyokolea, shati nyeupe na tai nyekundu.
 
Arudi tu madarakani hiki Chama kingine kina mlengo mbovu kuhusu Afrika wamesitisha Mkopo Uganda kutoka WB kwa sababu Uganda wanakaza mambo zao za kuoana watu wa Jinsia moja wacha Trump arudi haraki kabisa hizo mambo yeye binafsi na wale wahuni ndio wapo mstari wa mbele kumtafutia kesi za zamani...
 
View attachment 2724766
Rais wa zamani Donald Trump anasema atajisalimisha kwa mamlaka katika jimbo la Georgia siku ya Alhamisi kujibu mashtaka katika kesi inayomtuhumu kwa kupanga njama kinyume cha sheria, ya kugeuza matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka 2020 katika jimbo hilo.

“Unaweza kuamini? Nitaenda Atlanta, Georgia, siku ya Alhamisi KUKAMATWA,” Trump aliandika kwenye mtandao wake wa kijamii Jumatatu usiku, saa chache baada ya dhamana yake kuwekwa na jaji.

Itakuwa ni mara ya nne kwa Trump kukamatwa tangu Aprili, alipokuwa rais wa kwanza wa zamani katika historia ya Marekani kukabiliwa na mashtaka. Jumatatu alasiri, Jaji mmoja wa Georgia, aliidhinisha dhamana ya dola 200,000 kwa Trump katika kesi hiyo ya ulaghai iliyowasilishwa dhidi yake katika jimbo hilo la kusini mwa Marekani.

Trump na wengine 18 katika kesi hiyo ya kihistoria, wamepewa hadi saa sita mchana siku ya Ijumaa kujisalimisha kwa mamlaka huko Georgia ili kusomewa mashtaka. Shirika la habari la CNN liliripoti Jumatatu usiku kwamba Trump atajisalimisha siku ya Alhamisi.

Mbali na dhamana hiyo, Jaji wa Mahakama ya Kaunti ya Fulton Scott McAfee aliweka masharti kadhaa katika makubaliano yaliyoidhinishwa na waendesha mashtaka na mawakili wa Trump.

"Mshtakiwa hatafanya kitendo chochote cha kumtisha mtu yeyote anayejulikana kwake kuwa mlalamishi au shahidi katika kesi hii au kuzuia utoaji wa haki kwa njia yoyote," McAfee alisema katika uamuzi wa mahakama wa kurasa tatu.

Alisema vitisho kama hivyo vitajumuisha kuchapisha jumbe za mitandao ya kijamii, au kutuma vitisho kama hivyo vikiwa vimechapishwa na mtu mwingine..

McAfee aliweka dhamana ya dola 100,000 kwa kila mmoja kwa washitakiwa wengine wawili katika kesi hiyo -- mawakili wa zamani wa kampeni ya Trump John Eastman na Kenneth Chesebro.

================

Trump says he will be arrested on Thursday in Georgia election case

Donald Trump has said he plans to turn himself in on Thursday to a court in Atlanta, Georgia, to face charges of election interference.

A judge in Georgia overseeing the former president's case earlier set a bail bond of $200,000 (£157,000).

The bail filing says Mr Trump can remain free pending trial so long as he does not attempt to threaten or intimidate witnesses.

Mr Trump denies 13 charges, including racketeering and false statements.

"The defendant shall perform no act to intimidate any person known to him or her to be a co-defendant or witness in this case or to otherwise obstruct the administration of justice," says the court filing posted on Monday.

"The above shall include, but are not limited to, posts on social media or reposts of posts made by another individual on social media," the order adds.

The order was signed by Fulton County District Attorney Fani Willis, who is overseeing the case, and lawyers for Mr Trump.

But on Monday Mr Trump posted to his social media platform, Truth Social, writing: "Can you believe it? I'll be going to Atlanta, Georgia, on Thursday to be ARRESTED by a Radical Left District Attorney, Fani Willis.

"She campaigned, and is continuing to campaign, and raise money on, this WITCH HUNT," he added. "This is in strict coordination with crooked Joe Biden's DOJ."

Ms Willis has asked the judge to schedule arraignments - in which a defendant is formally charged and enters a guilty or not guilty plea - on 5 September.

She has also proposed that the trial begin in March.

Lawyers for Mr Trump were seen at the Fulton County court in Atlanta earlier on Monday.

According to reports, they were there to meet investigators and negotiate the bail bond's terms.

Barricades have been erected outside the court ahead of Mr Trump's anticipated surrender later this week.

Law enforcement officials from the Fulton County sheriff's office, which normally provides security to the courthouse, as well as the US Marshals Service and the US Secret Service, are helping to co-ordinate security.

The sheriff's office said on Monday the barricades would remain in place until Saturday. The accused have until noon local time on Friday to turn themselves in for processing.

The first former or serving US president ever to be indicted, Mr Trump faces three other criminal cases.

He was charged last week alongside his co-defendants with attempting to subvert the will of the Georgia electorate by meddling in the state's election following his loss to Democrat Joe Biden.

Mr Trump has repeatedly denied any wrongdoing and called the charges politically motivated.

He is currently leading the Republican race to pick its next White House nominee to challenge the Democratic candidate, probably Mr Biden, in the 2024 presidential election.

On Monday, Mr Trump took to social media to attack Georgia's Republican Governor Brian Kemp, who was heard in a recorded phone call resisting efforts by Mr Trump to interfere in the state's election-counting process in 2020.

Mr Trump has already said he will skip the first Republican televised debate on Wednesday evening.

"The public knows who I am & what a successful Presidency I had," Mr Trump said in a post on his Truth Social platform on Sunday. "I will therefore not be doing the debates."

Sources close to Mr Trump say he has instead recorded an interview with former Fox News host Tucker Carlson.

State-by-state primaries - in which Republican voters will choose their party's nominee - are due to begin on 15 January 2024.

Source: BBC
Ingelikuwa ni huko RUSSIA, Trump angelikutwa na moja kati ya:

1.Kifo cha kupangwa na Serikali ya Putin
2.Jela miaka 20 kwa kesi za magumashi.

Ashukuru Mungu kwa Utawala wa sheria uliopo Marekani, Utawala wa One Man Show haupo nchini Marekani. Cha ajabu anaponda utawala wa Marekani unaotoa haki huku akisifia tawala katili kama za Putin huko Russia, balaa tupu. TIME WILL TELL.
 
Back
Top Bottom