mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu Wizara ya Afya; Haya mambo yatungiwe sheria na nchi nzima kila hospitali zote zizingatie

    Ni kama vile hayana umhimu vile lakini usiombe! Serikali ikiwapendeza yawekeni kwenye utaratibu! Kama hujawahi kuuguliwa au kuuguza huwezi kunielewa kirahisi! Iko hivi mwaka Jana wakati nikiuguza mzee wangu kabla hajatwaliwa! Yapo mambo yaliniumiza sana! Ni vigumu kuyaelezea yote hapa...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: Matukio ya mauaji nchini yananinyima usingizi

    Picha: Mhandisi Hamad Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amesema tangu ateuliwe kuongoza Wizara hiyo yapo mambo mawili yanayomnyima usingizi ikiwemo mauaji yanayotekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii pamoja na baadhi ya askari kufanya vitendo kinyume na maadili...
  3. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo matano (5) ya kukusaidia kununua nyumba ya kupangisha kwa bei nafuu kuliko bei halisi

    Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba. Kwa kutumia mbinu yoyote ya uwekezaji huu na kwa wakati wowote unatakiwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 kuhusu Sadio Mane wa Senegal, Liverpool ikiwemo alivyogoma kuitwa MFALME

    Sadio Mane ametimiza ndoto yake ya kihistoria ya kuisaidia timu yake ya taifa Senegal kushinda kwa mara ya kwanza taji la AFCON. Mane ambaye ni staa wa Liverpool ana utofauti na mastaa wengi matajiri hasa katika matumizi ya fedha zake. Ametokea familia ya kimasikini ambayo ilikabiliwa na...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaambia walimu kuwa kuna mambo mazuri yanakuja

    Serikali imeahidi neema kwa walimu huku ikiwataka waendelee kufanya kazi kwa moyo. Ahadi hiyo imetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, leo Februari 7, 2022 wakati aliposimama wilayani Butiama kwa ajili ya kusalimia wakazi wa wilaya hiyo. "Walimu hoyeee, walimu mpo eehh sasa naomba niwaambie...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ili ufanikiwe katika maisha

    Good Luck Hawa ndio wale watu ambao hushinda Biko, Jackpot, kubahatika kupata scholarship na vile vitu ambavyo kwa nguvu ya kawaida ni ngumu kuamini kuwa mtu angefanikiwa kupata hicho kitu. Kuwa na kipaji pia inaambatana na kuwa na bahati njema maana si kila mtu amebahatika kuwa na kipaji. Pia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Katika muda mchache niliojiingiza kwenye soko la ajira, nimegundua mambo haya

    1. connection hasa private sector ni muhimu,mfano mimi sehemu niliyojishkiza, hata hawakutangaza nafasi za kazi,isipokua HR anafahamiana na jamaa yangu hivyo nikapigiwa pande. 2. Experience ya kuanzia 3 years kwenye reputable companies ni muhimu sana.ninaposema reputable companies namaanisha...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mambo haya ya siasa bhana, acha ikae hivyo hivyo!

    Eti Polepole anapinga uchifu awamu hii ya sita wakati awamu ya tano hakupinga - Acha ikae hivyo hivyo! Eti alipata kura za Uspika 100% wakati za chinichini zinaonesha kuna waliomkataa - Acha ikae hivyo hivyo! Ndugai alizira uapisho wa mwenzake ikionesha ni dalili za uasi wa Serikali yake -...
  9. Tempus Fugit

    JamiiForums Tanzania Yajue mambo matano (5) yanayoweza kufanya kampuni yako ifutwe na mamlaka nchini Tanzania

    Mnamo mwaka 2019 Tanzania ilifanya marekebisho ya sheria yake ya Makampuni ya mwaka 2002 na kuleta mambo kadhaa mapya. Marekebisho hayo yaliletwa na sheria ya “The written laws (Miscellaneous Amendments) (No.3) Act, 2019" Kifungu cha 10 cha sheria hii kilileta kifungu kipya cha 400A katika...
  10. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo Saba (7) Unayotakiwa Kufanya Ili Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Kwa Kuwekeza Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Haiwezekani kila anayewekeza kwenye viwanja na nyumba apate mafanikio makubwa. Hii inasababishwa na sababu mbalimbali. Kwenye ukurasa huu nimekuandalia mambo saba ambayo yatakufanya kipato kiongezeke mara mbili kilivyo sasa. Mambo 7 Ya Kuzingatia Ili Uongeze Kipato Mara Mbili. MOJA. Mtazamo...
  11. mavya

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Wizara ya Ulinzi kuundwa upya iwe Wizara ya Ulinzi na Mambo ya Ndani

    Kwa muda mrefu sana tumeona Wizara ya mambo ndani ikikumbwa na changamoto nyingi sana. Hasa kwa vyombo vya ulinzi vilivyoko wizarani hapa. Police, magereza, uhamiaji, na fire. Binafsi nilikuwa naona ili kuweka mambo sawa vyombo hivi vipelekwe Wizara ya Ulinzi ili kuvipa nguvu na kuweka Nidhamu...
  12. May Day

    JamiiForums Tanzania Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  13. GokuOne

    JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kuyafahamu (Motivational)

    Habarini wanaJF, niende moja kwa moja kwenye hoja: 1. Ya zamani uliyofanya yasiathiri leo yako. 2. Mawazo/mitazamo ya watu wengine yasiingilie utendaje wako kimaisha. 3. Kutopata unachotaka inaweza kuwa ni sehemu ya baraka (huwezi jua kwa kukosa kwako umeepushwa na mabaya gani) 4...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa kwenye mambo nyeti. Tuwe na wanasheria wa Taifa na siyo wanasheria wa Serikali

    Kwa ubush lawyer wangu ukifuatilia matukio ya Sabaya mahakamani na matukio ya Mbowe mahakamani unaona kabisa wanasheria wa Serikali wanahama kwenye taaluma ili kumfurahisha mwanasiasa mwenye vifaru. Wakati huyo huyo mwanasiasa ndiye aliyeagiza. Kumfanya mwanasheria wa Taifa kutampa Uhuru wa...
  15. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Mambo saba ya kufahamu kuhusu jua

    Huenda watu wengi hufikiri kwamba wanapoliona jua angani, ndivyo hivyo, na wengine hata hufikiri kwamba ndege hupita inaporuka. Lakini sivyo ilivyo, jua linazama na kuzama huku likiwa na habari za kushangaza ambazo hata huzifahamu. Watu wengi huamini kwamba jua huchomoza na kuzama, yaani, mawio...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni na Mwigulu lipeni stahiki za askari Wizara ya Mambo ya Ndani

    Ni bahati Njema awali mlikuwa wizara ya Mambo ya ndani na sasa Mwigulu yuko wizara ya fedha na Masauni karudishwa Mambo ya Ndani akiwa full minister, kwa uzoefu wenu mlikaa wazara hii mkazijua shida za askari hawa,,sasa kawalipeni posho zao za Maji+umeme+pango askari hawa wamevumilia sana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu una kiporo Wizara ya Mambo ya ndani. Sasa una nafasi kimalize

    Mh. Mwigulu ulikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na ulifanya kazi kubwa sana ya kuwatembelea na kuwasikiliza askari wa vyombo mbali mbali vilivyopo wizara ya mambo ya ndani. Moja wapo ya madai yao unayajua vizuri sana, Posho ya Maji, Umeme na Pango. Sasa upo wizara ya fedha kwenye bajeti hii askari...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, haya mambo ya kupotea watu ni doa kwenye serikali yako

    Mheshimiwa Rais, naomba nichukue nafasi hii nikupongeze kwa mambo mengi mazuri unayoyafanya ila kwa hili la watu kuanza kupotea kwenye utawala wako tayari ni doa kwenye serikali yako. Wiki mbili zilizopita kuna habari zimetokea magazeti kuwa kuna vijana watano wamepotea wakiwa wanaenda...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Biden asema ana hakika Urusi itaivamia Ukraine. Mambo ni moto!

    Joe Biden: "Itakuwa janga kwa Urusi ikiwa itaivamia zaidi Ukraine" Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa anafikiria mwenzake wa Urusu Vladimir Putin "ataivamia" Ukraine, lakini hataki "vita kamili". Alipoulizwa kuhusu tishio la uvamizi wa Urusi, katika mkutano na waandishi habari alisema...
  20. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya Pazia la kila Biashara kuna mambo mengi ya kujifunza

    Habari za wakati huu; Nikiwa na umri mchanga kwa sera za kitanzania nilikuwa na kiu kubwa sana ya kumiliki biashara na kuwa mfanya biashara mkubwa.Kipindi hicho internet ilikuwa adimu sana na kompyuta nazo zilikuwa adimu sana.Zilikuwa ni zama Pentium 1 na 2 na internet cafes ambazo zilikuwa...
Back
Top Bottom