Mbowe: Halima Mdee na Wenzake waache mambo ya Kihuni

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
Kufuatia Baraza Kuu la CHADEMA kutupilia mbali rufaa ya Wabunge 19 wakiongozwa na Halima Mdee, kauli za majibizano baina ya pande mbili zimeendelea kutolewa, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amewaambia waliofukuzwa kuwa waache mambo ya kihuni.

Awali Mdee alinukuliwa akisema kilichofanyika ni uhuni n ahata Mbowe anajua. Akijibu hoja hiyo Mbowe amesema: “Tumesikitika kuwapoteza wanachama 19, hatujafurahia lakini imebidi, maamuzi ya kuwafukuza yalifanyika tangu 2020 katika kikao cha Kamati Kuu.

“Baraza Kuu limekutana leo (Mei 11, 2022) na kutoa maamuzi ya mwisho, kura zimepigwa mbele yao na wameona kila kitu, waache mambo ya kihuni.”

Kuhusu kauli ya Halima Mdee kusema kuwa maamuzi ya kuwafukuza uanachama wa CHADEMA ni "NI YA KIHUNI", Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema hajui chochote lakini maamuzi yaliyofanyika yamefanyika mbele yao wenyewe wakiona, hivyo Mdee aache mambo ya kihuni.

Nilipokuwa gerezani nilimwomba John Mnyika amlete Halima Mdee. Alikuja na Bulaya,niliwahisii sana. Niliwauliza nani aliwadanganya?

Nilimwambia kama unataka kazi niambie nitakutafutia kazi hata nje,utalipwa vizuri achana na Ubunge.Nipo gerezani namuwaza Halima" anasema Mh.Mbowe
 
Nilipokuwa gerezani nilimwomba John Mnyika amlete Halima Mdee. Alikuja na Bulaya,niliwahisii sana. Niliwauliza nani aliwadanganya? Nilimwambia kama unataka kazi niambie nitakutafutia kazi hata nje,utalipwa vizuri achana na Ubunge.Nipo gerezani namuwaza Halima" anasema Mh.Mbowe
Mbowe ana busara sn sema Halima alikuwa anajiona ni mkubwa kuliko CHADEMA
 
Kuhusu kauli ya Halima Mdee kusema kuwa maamuzi ya kuwafukuza uanachama wa CHADEMA ni "NI YA KIHUNI", Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema hajui chochote lakini maamuzi yaliyofanyika yamefanyika mbele yao wenyewe wakiona, hivyo Mdee aache mambo ya kihuni.

Nilipokuwa gerezani nilimwomba John Mnyika amlete Halima Mdee. Alikuja na Bulaya,niliwahisii sana. Niliwauliza nani aliwadanganya? Nilimwambia kama unataka kazi niambie nitakutafutia kazi hata nje,utalipwa vizuri achana na Ubunge.Nipo gerezani namuwaza Halima" anasema Mh.Mbowe
Hilo si awafanyie vijana wengi tu wanaochakaa kitaa, au ni Halima pekee ndio anaweza kupata hio fursa kutoka kwake ?
 
Kuhusu kauli ya Halima Mdee kusema kuwa maamuzi ya kuwafukuza uanachama wa CHADEMA ni "NI YA KIHUNI", Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema hajui chochote lakini maamuzi yaliyofanyika yamefanyika mbele yao wenyewe wakiona, hivyo Mdee aache mambo ya kihuni.

Nilipokuwa gerezani nilimwomba John Mnyika amlete Halima Mdee. Alikuja na Bulaya,niliwahisii sana. Niliwauliza nani aliwadanganya?

Nilimwambia kama unataka kazi niambie nitakutafutia kazi hata nje,utalipwa vizuri achana na Ubunge.Nipo gerezani namuwaza Halima" anasema Mh.Mbowe
Ajabu ina maana Mh. Mbowe ni agent wa kutafutia watu kazi mpaka nje ya nchi??? Dah hakika uzi wa yoga umeumbua huu umoja kifisadi. Mbowe si mtu wa kumkabidhi nchi ataiuza
 
Tanzania ni njaa wananchi hadi akina Mbowe, ndo maana haishangazi mtu ana cheo cha Balozi wa nchi bado anakubaliwa kuwa DC/RC. Pumbafu kabisa, wenzetu wanapambana kuimalisha nchi zao huku nchi zetu za kiswazi tunagombania kula
 
Back
Top Bottom