The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
Wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk.
Tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania wakipewa sauti ya kizalendo lkn kwa Sasa hv wanatiliana saini utafikiri Mali yao binafsi.
Leo Rais Samia yuko mkoani Geita na ameendelea kusisitiza wembe ni uleule kama awamu iliyopita.
=======
Rais Samia: Awamu iliyopita nilikuwa makamu wa Rais chini ya kaka yangu marehemu John Pombe Magufuli, alinifundisha mambo mengi sana, niliisoma dhamira yake vizuri sana jinsi ya kupeleka...
Nimemfahamu sabaya mara alipata mamlaka nikawa naona mwonekano wake wa kujiamini akiwa ktk utendaji na mahojiano kwenye vyombo vya habari.
Lakini mwonekano wa sasa kwa macho namwona akiwa ktk hali tatu. Anajuta sana, amejifunza maisha halisi ya kitaa na mwonekano mwingine anaonekana mwenye...
Wizara ya Mambo ya Nje nchini humo, imethibitisha kuahirishwa kwa ziara ya Waziri Sergei Lavrov nchini Serbia kwa sababu ya majirani watatu wa Serbia (Bulgaria, Macedonia na Montenegro) kuzuia ndege yake kutumia anga yao.
Serbia inadaiwa bado kuwa na mahusiano mazuri na Urusi licha ya nchi...
Njia mojawapo ya kuongeza thamani ya nyumba yako ya uwekezaji ni kuifanyia ukarabati. Ongezeko la thamani ya nyumba kutokana na ukarabati wa nyumba hutegemea sana maarifa sahihi aliyonayo mwekezaji husika.
Hivyo, ili uweze kufanya ukarabati wenye tija zaidi unahitaji kuwa na maarifa sahihi na...
Hivi karibu kumetokea matukio yakihusisha watuhumiwa kupotea maisha mikononi mwa vyombo vya usalama. Mkoani Morogoro Askari wawili wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Hamis Hassan (30) Mkazi wa Mvuha, Jeshi la Polisi limesema marehemu aliuawa kwa kufyatuliwa risasi Mei 31, 2022.
Jijini...
Katika haya maisha kama huna Bahati mambo mengi sana utatumia nguvu.
Mfano kwa Dar es salaam ukianzia Mbezi, ukaenda Buguruni mpaka kariakoo utaona watu wanavyopambana na maisha point yangu ni kwamba kupambana na huna Bahati utatumia nguvu sana
Ukija kwa wachaga wamefanikiwa sana ila wale...
Wakuu salaam,
Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote...
Jamani kama mtu anafanya vizuri kwanini tusimpongeze?
Binafsi bado sijapata ajira ya serikali lakini nina matumaini makubwa kuwa Mambo yatarudi kama zamani.
Sasa hivi ajira zinatangazwa utumishi, halmashauri mbalimbali n.k. hii itasaidia kupunguza ugumu wa maisha kwani mzunguko wa pesa utakuwa...
KIZAZI CHA SASA TAMBUENI KUWA; HAYA NDIO MAMBO AMBAYO YANAWEZA KUKUSABABISHIA KUUAWA BILA KUJALI SERIKALI IPO AU HAIPO!
Anaandika, Robert Heriel.
Kuna mausia ambayo kizazi cha sasa hakijapewa ndio maana kinachukulia mambo kiholela, yaani mambo rahisi rahisi. Wazazi wanalojukumu la kuwaachia...
Kwema Wakuu!
Baada ya kushauri Vijana wa Karne hii ya 21+ mambo ya kuzingatia ili wasijekuuwa na kujiweka matatizoni, Leo nitamalizia na Wanawake ili mambo haya yapungue.
Andiko hili nitaliandika Kwa makundi mawili ya watu(wanawake) kundi la Wafuata mifumo ya Kiimani, kundi la pili ni...
1. Hakuna wakati sahihi
Kulazimisha kufanya mambo vile unahisi ni sahihi kwa kigezo kuwa wakati sahihi utafika kutakufanya dhaifu na usiweze kuendelea kimaisha
2.Hatuwezi Ku-Control ou past
Kilicho pita Kimepita, Hatupaswi kuipa nafasi historia iliopita mana utajikuta unapoteza muda mwingi kwa...
Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda.
Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa haliwezekani kupata uroda. Basi hapa ndipo watu wakakazana kuoana.
Miaka hii tunatongozana kila mahali, kila...
Samia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri.
Kha Ghafla akamkamata Mbowe, akamuweka ndani, Sehemu kubwa ya Taifa ikaanza kumuangalia kwa jicho baya!
Likaja suala la wamachinga, Mwanzo alitoa hotuba, akasema wapangwe vizuri na...
1. Usinyoe nywele sehemu za siri.
2. Usile chakula kingi Muda mfupi kabla ya kuelekea kumpelekea moto au kupelekewa moto(kugongwa).
3. Usije ukanywa dawa za maumivu ikiwa unahali ya kuumwa/Homa achana na kufanya tendo hilo Hadi hapo hali itakapotengemaa.
4. Usile vitu au vyakula vyenye viungo...
Habari za leo wana JF
Naomba sana usome bila kuchoka tafadhari ni ombi.
Naomba tushirikiane kwa elimu,kukumbushana na umuhimu wa hadidu za rejea kwa wenye dhamana za mamlaka za uteuzi au wateule wenyewe, na pia umuhimu wa mamlaka za uteuzi kuainisha na kuzingatia vigezo msingi katika uteuzi...
Kwema Wakuu!
Mods naomba Uzi huu msiupeleke jukwaa la dini, huu ni mjadala mfupi kuhusu MUNGU.
Kwanza kabisa neno "Mungu" ni Cheo na wala sio personal Name Kama wengi wadhaniavyo. Ni Kama vile useme, Rais, Mama, Baba, Mfalme N.k. hivyo watu wanapotaja Mungu wasidhani wamemtaja mhusika Fulani...
Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alikutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu Bibi Michelle Bachelet mjini Guangzhou, China.
Wang Yi amemkaribisha Bachelet kwa ziara yake ya kwanza nchini China, akisema hii ni mara ya kwanza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.