mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo kama haya Dada zangu mnajiharibia sana kisha baadaye mnatulaumu

    Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti. Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Wadau wapendekeza mambo 12 mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi na Vyama vya Siasa

    Kwa kifupi; 1. Matokeo ya urais kuruhusiwa kupingwa mahakamani. 2. Mfumo kuruhusu Mgombea binafsi. 3. Kuwepo kigezo cha 50 + 1 kwa mshindi. 4. Kuwe na uwakilishi sawa wa 50/50 kwa jinsia zote. 5. Jeshi la polisi kutoingilia shughuli za vyama vya siasa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. 6...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje hajafanya jambo jipya, anafanya majukumu yaleyale. Tunahitaji ubunifu

    Kwa wale ambao wamekuwa wakitembelea Balozi zetu nje watabaini wazi kwamba muundo wa kiutumishi kwenye balozi zetu zote Duniani umejengwa kidiplomasia na tafsiri ya watendaji wa Wizara ni kwamba ukihudumu Wizara ya Mambo ya Nje basi wewe ni mwanadiplomasia na hivyo unaweza kuisaidia nchi kama...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Haya mambo tuambizane Ukweli bila woga. CHADEMA mnanisikia? Toeni Tangazo tujue moja

    Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana. Mimi nitasema ukweli fitna kwangu mwiko. Tunaona kwenye kikao hakuna aliyevaa Barakoa, hakuna social...
  5. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 kuelekea mwaka 1 wa kumkumbuka ya Hayati Magufuli

    Mambo 10 kuelekea mwaka mmoja bila jpm/ bulldozer. JASIRI Hayati Magufuli alikuwa ni kiongozi jasiri ambaye aliamini kwenye kuamua hata kama mawazo yake hayaungwi mkono na walio wengi. Ujasiri wake ndio ulisaidia kutekeleza miradi Mingi na mikubwa ambayo haikuwahi kufikiriwa kuwa ingetekelezwa...
  6. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Dokezo: Mungu hajihusishi na mambo yasiyo kuwa na maslahi kwake. Tambueni hilo

    Kuna baadhi ya watu wanapenda sana kumuingiza Mungu katika vitu ambavyo havina faida kwake. Unakuta timu ya mpira inacheza labda Tanzania na Kenya, kila upande wa mashabiki wanaomba Mungu washinde sa Mungu atashabikia timu gani? Ikishinda Kenya tutasema Mungu ni mbaguzi?. Ukraine vs Russia...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia ili Kutoa Huduma Nzuri kwa Wateja

    1. Elewa hitaji la mteja Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya kumhudumia. 2. Jitosheleze kihuduma Kabla ya kuamua kutoa huduma yoyote kwa mteja hakikisha...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mambo Yanayosababisha Baadhi ya Watoto Wasifanye Vizuri Kwenye Masomo

    1. Matatizo ya kisaikolojia Watoto wanaweza kukabiliwa na matatizo mbalimbali ya kisaikolojia ambayo huathiri uwezo wao wa kujifunza shuleni. Baadhi ya watoto huzaliwa na matatizo haya huku mengine hutokana na matendo kama vile ukatili wa kijinsia au unyanyasaji mwingine wanaofanyiwa baadhi ya...
  9. Changalucha

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Shamsi Vuai Nahodha Kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani tena?

    Mwanasiasa huyu kutoka visiwani aliwahi kushika wadhifa wa juu kabisa katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar alipoteuliwa na Rais Aman Abeid Karume mnamo mwaka 2000 kuwa Waziri Kiongozi wa SMZ akiwa na umri wa miaka 38. Mnamo mwaka 2010-2015 aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa mbunge (wa...
  10. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine yabaki kuwa masuala mtambuka, si lazima kuwekwa kwenye mtaala

    Kumekuwa na wanaharakati wengi sana wa masuala mbalimbali ya kijamii, ambao wamekuwa wakitamani kile wanachokitetea au kuelimisha kiwekwe kwenye mitaala ya elimu. Binafsi nadhani si kila kitu lazima kiwekwe kwenye mtaala. Wanafunzi wana mambo mengi sana ya kujifunza ili waweze kujitegemea na...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuaje Kangi Lugola akawa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi?

    Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri. Je, vigezo gani hayati alivitumia...
  12. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo 8 ya kuzingatia kwenye biashara ya utoaji wa mikopo kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za kupangisha

    Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo. Njia hii inahitaji uwe na maarifa sahihi na taarifa sahihi za uwekezaji kwenye ardhi...
  13. King Kong III

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947 Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s Salender Bridge 1960s Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!! Seaview-Mawingu House 1960 Arusha-Clock Tower 1966 Dodoma City Center 1974 Bukoba City...
  14. Peril22

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa tafsiri ya ndoto

    Habari za usiku huu wakubwa. Aisee mpaka naamua kuandika uzi usiku huu ni kwamba mambo yamenifika shingoni. Nina kipindi cha kama wiki mbili au tatu mfululizo kila nikilala naota ndoto nikipambana either na mnyama mkubwa(tembo, nyati au simba), binadamu mmoja mwenye weledi wa juu kabisa, watu...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiyejaliwa na Mume wake ni sawa na Nchi isiyotawalika

    Assalamu Alyekum! Mwezi February ulikuwa mwezi wa wapendanao. Nikasema mwezi huo nitautumia kukutana na Mabazazi, washenzi, maharamia, wateka Manuwari na nyambizi, Pia nikakutana na wakata umeme, mabuzi, wazama uvinza, wanaapolo, wabambikaji, wanakemia na Aina zote za watu wapendao ngono...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

    Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote. Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha kuvumilia/kustahimili na kupuuzia mambo ya hovyo na yasiyo faa yanayo fanywa na wanawake katika mahusiano au katika...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Duniani kuna Mambo!

    Kuna mfanya biashara mmoja maarufu(jina kapuni) ametoa dau la Tshs 2.3 Bilioni kwa atakayemkamata Putin, hai au amekufa! Sasa nimecheka peke yangu. Nikajisemea: "Isije ikawa kibao kikabadilika halafu tanangazo hilo ligeukie kwake!" Putin ni mjanja kama nyoka! Na akiamua anampata!
  18. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kidedea 2025, mambo haya wayape kipaumbele

    Sina wasi kabisa 2025 CCM inawekwa benchi. Sasa Chadema tunahitaji mambo haya yawe ya mwanzo. 1) Kushusha bei ya umeme kiasi ya kila nyumba kuweza kutumia air condition maana sasa joto halivumiliki. Amuzi Hili liwemo ndani ya wiki ya mwanzo ya Rais wa Chadema 2) Shirika la ndege kuanzisha...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusithubutu kuingilia mambo ya akina Putin kwani ni ndugu yetu kabisa

    Hii iwafikie viongozi wetu, Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa. Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters. Hivyo sisi tuwe silence tu wakati mtu ananyodolewa huko. Kapicha haka hapa.
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lini mtakomaa kisiasa na kuwa na uwezo wa kudadavua mambo? Kila mara mnadandia matukio bila faida

    Kila tukio la kisiasa likitokea hapa nchini kwetu lazima mtalidandia na kulishupalia kana kwamba nyie mtanufaika nalo. Mbaya zaidi mkidandia tukio mnasahau kabisa matatizo yenu na madhira yenu. Sasa mnashindwa kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ili mjue ni tukio gani linaweza kuwa na mashiko...
Back
Top Bottom