mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Afrika yetu sote

    JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kumpata mshauri wa mambo unayopitia?

    Watu wengi huwa tunaomba ushauri kwa watu mbalimbali ili watusaidie pale tunapohitaji, lakini ikitokea tumegombana na wale waliotupa ushauri, tunazikuta siri zetu nje ya hapo. Sasa wewe unatumia njia gani kumpata mshauri anayefaa? Kuna baadhi huwa tunawachukua marafiki kama washauri ila kibaya...
  2. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Vitu vidogo vinaweza maanisha mambo makubwa kwa wengine

    Katika hii dunia tunayoishi, unaweza ukamfanyia mtu kitu kidogo tu lakini ukabaki ndani ya historia ya maisha yake. Jioni hii nikiwa nimejipumzisha na familia yangu ikawa imeingia sms kutoka kwa kijana aliyemaliza mtihani wake wa chuo wa mwisho akinishukuru. Mnaweza mkakosoa shida zake za r/l...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Wazee wetu wa zamani waliyakataa , Kwa sasa yadhihirika walikuwa sahihi!

    Kwema Wakuu! Kuna mambo ya kale ambayo Wazee wetu waliyakataa na kuyapiga vita lakini wakaonekana hamnazo lakini Kwa sasa imedhihirika walikuwa sahihi kabisa, na aibu imetugeukia Wana usasa. Mambo hayo ni pamoja na; 1. Elimu ya Mkoloni Katika ya vitu ambavyo Wazee walivipinga Kwa nguvu zote...
  4. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

    Kwema wakuu, Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya. Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari? Yani hakuna...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, mambo yako hayaendi? Tegua mtego!

    JE MAMBO YAKO HAYAENDI? TEGUA MTEGO! Anaandika, Robert Heriel Yule Shahidi! Mambo haya ni bure, wala sitakuchukulia chochote Kama faida. Nimeyaandika haya kama kumbukumbu Kwa hao watakaona yatawafaa, tena isihesabike maneno haya ni kifungo kwa yeyote bali yawe ufunguo Kwa hao waliofungwa...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simba kwenye graphics designing na videography wamedoda, wanarudia mambo ya mwaka 1920 enzi za Charlie Chaplin, kazi wanapeana kindugu

    MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike. Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya 🌎 🤪🤪 Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality itaamua baadae, hii mambo ya Mtoto wa Mjomba sijui Mtoto wa Bamdogo,,inazidiwa na ubora mabibi na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uelewa mzuri na mambo ya NECTA naomba mnisaidie nahisi nimepigwa

    Jamani naombeni msaada wenu mimi nilipotelewa na cheti cha form four mwaka 2001, tangia hapo nimekuwa nikitumia results sleep na lose report Kila mahali panapotakiwa vyeti. Ila mwezi huu kulifanyika uhakiki wamevikataa hivyo vielelezo na kunitaka necta au notangaze gazetini. Nilienda necta...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuita bajeti ya 2022/2023 ni bajeti ya wananchi kutokana na mambo sita makubwa yaliyozingatiwa

    Tuseme tu ukweli mama ameupiga mwingi kwenye swala la bajeti. Kwa ushauri zaidi. PM au Email: menejawamakampuni@gmail.com Let be smart in seriously issues.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Niliahidi kuja na 'Exclusives' Saba (7) Saa 3 hii sasa naweka Mambo yote hadharani...

    1. CEO wa Simba SC anatuzuga tu wana Simba SC ila ukweli ni kwamba ana Mahusiano ya 'Kibaiolojia' na Rais ajaye wa Yanga SC Injinia Hersi Said na mara nyingi ndiyo humvujishia Siri zote za Simba SC ambazo ziligeuka kuwa Sumu kwa Mafanikio ya Simba SC kwa Msimu Mzima. 2. Mwekezaji wa Simba SC Mo...
  10. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Je, tunapaswa kuacha kusumbukia mambo ya mwili na kujizamisha na mambo ya kiroho peke yake?

    “Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?” Mt 6:25 SUV. Hebu tuliangalie hili jambo, je tunapaswa tu kuwa bize na mambo ya Mungu na kuacha mambo mengine yanayohusu kazi...
  11. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo mengine usipoteze nguvu zako kuyapinga

    ✍️ Hakuna namna ya kuyakataa haya mabadiliko. Kinachoitwa ukosefu wa maadili leo hii hata ukikemea utapoteza nguvu tu. Mambo yenyewe yalianzia kwa wazungu, inavyoonekana wao wameshayafanya wakakinai wamebaki kuendekeza ujingaujinga mdogo Kama ushoga, ngono kati ya wazazi na watoto nk. ✍️Mimi...
  12. To yeye

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume wajuzi wa mambo

    Habari zenu? Swali kwamba utajuaje kama mpenzi wako anafika kileleni muda unapokuwa unamsugua au hajafika kileleni hata kama kakuambia amefika. Au unatambuaje kuwa huu mguno wa mahaba ni kweli imemkolea au hapa anaigiza hana lolote. Tuambieni ili tuwe tunakuja na mbinu zote 🤣😉
  13. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwanini hasemi chochote popote kuhusu mambo muhimu?

    Mimi kama kuna jambo linalonishangaza kuhusu uongozi wa sasa ni ukimya wa Rais wa nchi, mambo mengi yanaendelea watu wana maswali mengi, tunapata habari tofauti, kwa nini Rais wa nchi hasimami na kuweka mambo sawa? Kama hili la Wamasai kuondolewa kwa nini Mkuu wa nchi hatoki na kusema kuna...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayokuweka katika hatari ya kuugua ugonjwa wa Ini

    Virusi vya homa ya ini vipo vya aina 5 (A, B, C, D,E). Aina mbili za virusi (B Na C) zimetajwa kuwa ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini ambayo husambaa kupitia damu na majimaji ya mwili. Wataalamu wa afya wanasema virusi hivi vina uwezo wa kusambaa na kuambukiza mtu mara 100 zaidi ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tuache tabia ya kusimamisha abiria mabasi ya mikoani

    JF . Imeniwia vigumu kukaa kimya lakini Nina hakika nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa kulisaidia Taifa Trafik wapo mabarabarani lakini mabasi yanapita tu na abiria wamesimama abiria anasimama mpaka masaa manne ni ajabu wenye mabasi wakifika karibu na police block wanaambiwa wakae chini kwenye...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Michakato ya kidemokrasia inachelewesha sana mambo

    Cheki mchakato kama wa wabunge kumi na tisa wa CDM. Nikupotezeana tu muda. Mwananchi anafaidika nini? Leo nchi kama US wanahangaika na habari za bunduki lakini hawawezi kufanya kitu sababu ya michakato ya kidemokrasia yenye kuchosha. Leo China inaweza anzisha sera kwaajili ya maendeleo ya nchi...
  17. Vishu Mtata

    JamiiForums Tanzania Kuota mambo ya shule ni nini tafsiri yake?

    Wandugu hivi hii ishu ya kuota mambo ya shule mara kwa mara huwa ina maana gani kiroho? Nimekua nikiota ndoto kua nipo shule eidha o'level au advance na mara chache primary na chuo ila za o'level na advance ni kama kila siku tu. Mwanzo nilikua napuuza lakini naona sasa inakua too much, karibu...
  18. ragin

    JamiiForums Tanzania Jambo lililojificha kwenye familia changanyikeni...

    Wengi wetu tumepitia maisha haya, kwa kukaa sehemu moja familia changanyika kiasi unakosa hadi mahali pa kulala, kisa tu huenda; Wenye nyumba ndie anauwezo ukoo mzima Anahuruma ya kupitiliza Anapenda jopo la watu n.k Kwahiyo hujikuta wanaishi haya maisha ya ugeni mwingi usio kikomo. Baadhi...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania UVCCM andaeni maandamano kwenda ofisi za UN , kwakuingilia mambo ya ndani suala la Ngorongoro!

    Tumesikia kuwa UN imeanza kuleta chokochoko kuingilia mambo yetu ya ndani, hasa suala la Ngorpngoro na Loliondo. Tumesikia tetesi kuwa suala hili kupelekwa kimataifa ni viongozi wa kimasai toka Kenya ambao wanafaidika na malisho ya nchini Tanzania. Lakini haswa chokochoko hizi ni kutokana na...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Wabunge wetu hawa hutumia muda gani kutafakari mambo, muda wote ni makofi na kuimba tu

    Mimi ni mfuatiliaji wa mabunge mbalimbali duniani. Katika mabunge makini ninayoyafuatilia huo naona panapofanyika mawasilisho (submissions),Wabunge huwa watulivu na wenye kutafakari mambo (digest issues). Sisi wabunge wetu hapo ni kupiga meza (makofi),kucheka na hata kuimba muda wote! Do we...
Back
Top Bottom