Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
Yaani hawa wazee hadi leo hii bado wana mambo yale ya
1. Kuchaguliana wachumba
2. Mpaka leo hii bado zile itikadi za vyama vingi wanaona vitaleta vita
3. Wagumu kubadilika kulingana na nyakati mpaka leo hii bado wanafata sera za Nyerere
4. Mtoto kama amemsomesha amekosa kazi wanaona ni uzembe wake mwenyewe
5. Zile itikadi za mtoto kujitegemea hawakabiliani nazo mpka awe na kazi nzuli
6. Wakizaa mtoto nje ya ndoa ni wagumu kuhudumia ila mtoto akifanikiwa wanataka awasaidie
Je shida nini hawa wazee ni wagumu kubadilika hadi leo hii bado wana itikadi za wakoloni?