mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo 3 ya kuzingatia katika biashara

    Biashara ni shughuli ya kujipatia riziki au kupata pesa kwa kuzalisha au kununua na kuuza bidhaa. Pia ni "shughuli au biashara yoyote ilifanyika kuzalisha faida. Kuna aina mbili za biashara. Biashara ya kuuza bidhaa na biashara ya kuuza huduma. Twenda moja kwenye mada, mambo gani yanafanya...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Waziri wa Mambo ya Ndani akanusha Madai ya Ruto ya kuzima umeme na internet siku ya Uchaguzi

    Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa nchini humo amesema madai ya Naibu Rais William Ruto ya Serikali kuzima Umeme na Mtandao ili kutekeleza wizi wa kura ni kejeli kwa kuwa wanaunga mkono Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuendesha na kufanikisha...
  3. JamiiForums Tanzania Historia Halisi yenye kusisimua kuhusu rapa Juice WRLD

    Whatsup! Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua. Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea kujuzana hata yale ambayo unayajua na humu sijaweza kuyaandika kwasababu sio rahisi maisha ya miaka...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Yapi Merkezi kuchunguzwa kwa rushwa na kuingilia mambo ya ndani Tanzania

    Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vyadaiwa vimeanza uchunguzi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya Yapı Merkezi Bwana Erdem Arioglu.Vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa Arioglu anatuhumiwa kuwa sababu kubwa ya kuchelewa kukamilika kwa mradi wa SGR huku akiwatendea visivyo...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu Bora ilenge kutimiza mambo manne kwa mwanadamu

    ELIMU BORA ILENGE KUTIMIZA MAMBO MANNE KWA MWANADAMU. Na PrMujuni ELIMU BORA inahitajika sana na kila siku inaimbwa na wanaharakati wa kisiasa na kijamii. Leo nakuja na wazo kuwa ELIMU yoyote iliyo Bora inapaswa kutimiza malengo makuu manne kwa mwanadamu. Nitatumia msitari wa Biblia kufafanua...
  6. JamiiForums Tanzania Tutaje mambo mazito yanayosumbua taifa kwa sasa ili yaundiwe Tume za Uchunguzi za Bunge

    Pamoja na kwamba Dk. Tulia Ackson ni mzito kuunda tume za kibunge kuchunguza mambo yenye sintofahamu yanayowasibu wananchi. Tutumie haki yetu ya kikatiba kumtaka kuunda tume ili kuleta majibu ya mambo yanayolisumbua Taifa kwa sasa. Hebu tuorodheshe mambo makubwa ambayo tunataka Bunge liunde...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Wanaume simameni kwenye nafasi zenu kuokoa hiki kizazi toka kwenye laana ya UZINZI, ULAWITI, USAGAJI na UFIRAJI; mambo yanayoendelea mtaani yanatisha

    Habari ya asubuhi wanajamii Nimekua nafuatilia baadhi ya mambo yanayofanyika katika jamii ya Tanzania leo kwakweli yanasikitisha na kukatisha tamaa. Wakati tunaendelea kulia kuhusu ugumu wa kudumu kwenye mahusiano kwa wanandoa au wapenzi tusisahau kuangaliza chanzo cha ugumu huo. Leo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mambo aliyoyafanya Rais Samia Suluhu yanayomgusa moja kwa moja Mtanzania

    Haya ni baadhi ya mambo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan; Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi sana likiwemo lile la elimu bure kutoka primary mpaka advance pia amesema kwa wanafunzi wa kidato cha sita watakao faulu vizuri masomo ya sayansi watapata ufadhili wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke huthaminiwa na Mwanaume Kwa Mambo haya

    Wanaume huwa tunawathamini wanawake ambao huonesha kufurahishwa na hata yale mambo madogo tunayo wafanyia,Kwa kufanya hivyo huwa tunawapa thamani ya juu na kuzidi kuwapenda,chukulia mwanaume amekuletea kazawadi kadogo kutokana na uwezo wake au kutokana na choice yake ukaonyesha kufurahishwa nayo...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo unayopaswa kuyaomba kwenye maisha yako pindi Tu utakapoanza kujitambua!

    MAMBO AMBAYO UNAPASWA UYAOMBE KATIKA MAISHA YAKO. Anaandika, Robert Heriel. Maisha yanaogopesha, yanatisha Kama nini, kila siku mambo yanabadilika, mtunzi wa maisha amefanikiwa katika Kazi yake kuhakikisha hakuna ajuaye hatua hata moja inayofuata, hakuna awezaye kubashiri filamu hii ya kutisha...
  11. JamiiForums Tanzania Mhasibu wa Zamani wa Wizara ya Mambo ya Ndani ahukumiwa kwa Ubadhirifu

    Mhasibu wa zamani Wizara ya Mambo ya Ndani Christina Kaale, amehukumiwa kulipa faini ya sh. Milioni nane ama kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka manne yaliyokuwa yakiwakabili likiwemo la ubadhirifu wa sh milioni 15.2. Hukumu hiyo imesomwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Afrika kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi

    Ujumbe ulikuwa hivi, unajua nyie waafrica yaani sisi kwamba tuna Tabia ya kimalayamalaya hivi hatuwezi tukawa na msimamo wa kusimama na mmoja ndio maana tulibaki mabubu kwenye kura kule UN, kwa hiyo tutumie rasili Mali zetu, tuachane na Tabia hiyo ili tusiwe tegemezi mfano alisema nyie mnaweza...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo machache niliyoyaona mkoa wa Geita

    Na haya ni mambo machache niliyoyaona na kujifunza nilipokuwa mkoani Geita. (1) watu hawawezi kuutambua utajiri wako au kuuthamini uwezo wako wa kifedha kama hujaingia bar ukawanunulia watu pombe au unywe pombe kwa kiasi kikubwa mpaka ulewe. (2) kila mwanamke hujiona ni wa thamani kubwa sana...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 yanayotupeleka kimataifa

    Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya kiongozi mwenye kariba hiyo. Haya ni baadhi ya mageuzi anayoyasimamia kwa weledi mkubwa; 1. Mageuzi katika...
  15. JamiiForums Tanzania Wataalam wa mambo ya anga, physics hili jambo limewezekanaje?

    Kama inavyoonekana hapo chini. Hiyo helcopter sioni engine ikizunguka ila inaendelea kuwa hewani. Je hii ikoje?
  16. JamiiForums Tanzania Misri: Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi aanza ziara ya Afrika

    Leo yupo Egypt anena kwamba Afrika tujitambue tuweze kumaliza ukoloni mamboleo. ====== Egypt: Russian Foreign Minister Visits Cairo at Start of African Tour Sergei Lavrov The trip aims to ease Russia's diplomatic isolation amid the war on Ukraine. Lavrov was also meeting the secretary...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Hungary: Ulaya inajichanganya yenyewe kwenye nishati ya gesi

    Hungary imetuma wanadiplomasia wake Moscow kujadili masuala ya gasi na kukutana na mwenzie wa Urusi Sergei Lavlov. Hungarian Foreign Minister: Europe contradicts itself on gas Hungary's top diplomat visits Moscow to negotiate gas supplies despite EU bid to cut deliveries By Euronews with AFP...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa (Zitto na Kitila) acheni kuingilia mambo ya mipira, Mnategemewa kuwa mfano katika kuheshimu mamlaka

    Sakata la Manara tuwaachie TFF! Walichokiamua wao sisi kama watazamaji tunatakiwa kuheshimu! Kama kuna rufaa mwacheni mhusika mwenyewe! Kuilaumu TFF ni ishara ya kupungukiwa hekima; Watu kama ZITTO sikutegemea kabisa waoneshe ujinga hadharani! Kuna yule pia anajiita Prof. MKUMBO, huyu naye...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa manne ya kutafakari baada ya uteuzi wa leo 20/7/022 wa Camillus Wambura, Sirro na Kingai

    Kufuatia uteuzi wa leo binafsi nimeona kuna mambo Makuu manne ya kutafakari kwa kina na kuanza kufuatilia kwa kina sababu kulikuwa na sintofahamu kuhusu mambo haya . Sitatoa Maelezo ila kila Great Thinker atatumia akili yake kuona kama kuna ukweli au la Maana watu hawa walihulisika moja kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kumpata mshauri wa mambo unayopitia?

    Watu wengi huwa tunaomba ushauri kwa watu mbalimbali ili watusaidie pale tunapohitaji, lakini ikitokea tumegombana na wale waliotupa ushauri, tunazikuta siri zetu nje ya hapo. Sasa wewe unatumia njia gani kumpata mshauri anayefaa? Kuna baadhi huwa tunawachukua marafiki kama washauri ila kibaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…