Mwanamke huthaminiwa na Mwanaume Kwa Mambo haya

Mwanamke huthaminiwa na Mwanaume Kwa Mambo haya

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
13,228
Reaction score
26,452
Wanaume huwa tunawathamini wanawake ambao huonesha kufurahishwa na hata yale mambo madogo tunayo wafanyia,Kwa kufanya hivyo huwa tunawapa thamani ya juu na kuzidi kuwapenda,chukulia mwanaume amekuletea kazawadi kadogo kutokana na uwezo wake au kutokana na choice yake ukaonyesha kufurahishwa nayo basi tambua mwanaume huyo siku zijazo atakufanyia kitu kingine kizuri zaidi,kwasababu amehisi umethamini kile alicho kufanyia na hivyo kumfanya akupende zaidi.

Na kinyume chake huwa hivyo hivyo,nimekuletea kapaseli ukaonyesha kutokufurahia au kutokujali,basi tambua itamkatisha tamaa mwanaume na huenda asifikirie tena kukufanyia kitu kama Hicho,hata kama hujapenda hiyo zawadi basi usimuonyeshe kuwa hujafurahishwa jizugishe ili mradi boy wako afeel okay,mbona kwenye orgasm huwa mnafeki hahahah! Mwanamke mjanja atamwambia boy wake,honey! Asante Kwa zawadi kpnz changu ila next time ukiamua kuninunulia zawadi basi nitapendelea zaidi unichukulie kitu flan,hapo utakuwa hauja humiza hisia zake, tena utakuwa umemsaidia kufanya kitu kizuri huko mbeleni.

Tunapenda wanawake ambao hata tukizingua basi hawafanyi iwe ishu kuuubwa! Trust me girls mkiwa hivyo mnatufanya tuwathamini Sana hata kama hatuta waonyesha hadharani lkn mnakuwa mashujaa wetu ktk nyoyo zetu. Nimezingua nambie babe sijapenda ulivyofanya pliz next time don't hurt my feelings! Daah tutaona aibu siku nyingine kuzingua,Kwanza tunaona kama zari kuwa hamjapanic kivile basi hapo unakuwa Queen ktk moyo WA mwanaume na hatokusahau.

Mwisho tunajua mnapenda hela waarabu wanaita fulusi,basi hata mwanaume akikupa kias kidogoi kutokana na uwezo wake Kwa Mda huo basi mshukuru,kwakufanya hivyo next time ataongeza digit zaidi,Ila mkileta zile zenu sasa honey hii hela itatosha nini? Daah hapo mnakuwa mnazingua! Unajua kwanini hiyo hela ambayo wewe unaona ndogo basi tukituma Kwa wazazi wanatuombea dua juu na kututakia baraka tele Kwa Mwenyezi Mungu,na tunabarikiwa Sana Tu.

Ni hayo Tu.
 
UKIWA NA PESA INATOSHA HAYO MENGINE NI YA ZIADA
 
Nilishamfanyia tukio kama hilo demu mmoja, ilikuwa hivi demu nilionana jinsi alivyokuja nywele zake sikupenda zilivyokuwa as a man nikatake responsibility bila kuambiwa nkazama mfukon nikatoa 20k nikamwmbia honey nenda katengeneze kichwa mpumbavu yule akanijb et "ooh sasa hapa nasuka nini" in a second tayari moyoni mwangu nilishampa matusi ya dunia yote, yani pesa ambayo haukuitarajia wala kuniomba nilichofanya nikamwambia subiri nkaenda kw wakala nikaiweka ile pesa nkamtumia mama yangu then nkaja mpigia mama mbele yake nkawek loudspeaker nkamwmbia mama umeiona hyo hela akadai hajatazama bdo nkamwambia basi nimekutumia 20k alinibless sana. Nikakata cm kumwambia bby wait mpaka ntakapopata yakuongezea but for now nmemtumia mama mana hata yeye aliniomb pesa muda mref ila sikumpatia na nyingi kuliko nilomtumia, sikuthubutu hata kumpa tena she wasn't thankfull nasikumbuki hata kama nlimtafutaga tena.
 
💪💪....safi sana mkuu,kuna kitu atakuwa amejifunza
 
Back
Top Bottom