mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo tunapaswa kujiambia kama ukweli mchungu kisha kufanyia kazi

    1. Kilimo cha kutupa maendeleo kinahitaji uwekezaji mkubwa wa pesa na sio hiki kilimo cha jembe la mkono na kutegemea mvua. 2. Ongezeko la wawekezaji kwenye pombe kali na kamari unatugharimu nguvukazi na maadili. Kodi kubwa ziongezwe huko ili kuwakatisha tamaa wawekezaji kwenye hayo mambo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wetu Dr.Samia anafanya mambo mazito kweli huku St.Petersburg

    Salute to madam you did well and excellent
  3. JamiiForums Tanzania Tujadili mambo ya msingi

    Ni sababu zipi, zinazo kukwamisha wewe kutokuwekeza biashara, kiwanda, au uchimbaji wa madini Ulaya?
  4. JamiiForums Tanzania Moja ya dalili kwamba utafeli maisha ni kuchukia wanaokuzuia usifanye mambo Mabaya

    MOJA YA DALILI KWAMBA UTAFELI MAISHA NI KUCHUKIA WANAOKUZUIA USIFANYE MAMBO MABAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Ishara za mwanzoni kabisa za mtu kufanikiwa maisha sio katika bidii yake, sio katika Uchapakazi wake, sio katika uhodari na ujasiri wake. 2. Ishara za mwanzoni ukitaka ujue...
  5. JamiiForums Tanzania Yapo mambo yanaendelea kwa sasa si mazuri kwa afya ya chama chetu (CCM)

    Tumeshindwa kabisa kukaa vikao vya kichama na kuyamaliza?, tuliolelewa ndani ya chama tunarekodi nzuri juu chama chetu na mifano lukuki juu ya ccm yetu,ambayo inapotokea misuguano basi sisi wana ccm wote kwa pamoja huchutama chini na kukaa pamoja na kuondosha zimwi linalotaka kujitokeza na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hawa wangesikilizwa huenda mambo yangekuwa mazuri. Kinyume chale vijana wamepelekewa shinikizo!

    https://www.facebook.com/share/v/18je7DevNH/
  7. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli hapa ni mambo yamebadilika au chumvi tu

    Kwenu wakuu tuwekane sawa
  8. O

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya Ghana mambo yake kama haipo Africa vile

    Ghana wapo kwenye mchakato wa kupitisha Sheria ya kuwaruhusu wananchi wenye uraia nchi nyingine(diaspora) kuwa na fursa ya kugombea ubunge na kuwa na haki ya kuteuliwa nafasi ya uwaziri! Cha ajabu nchi yetu diaspora haruhusiwi hata kumiliki shamba kwenye nchi yake ya asili! Hivi changamoto hasa...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo 7 ya kiroho kwenye ulimwengu wa giza

    1. Maagano ya Damu (Blood Covenants)Ulimwengu wa giza hufanya kazi kupitia maagano ya damu ya siri, ambapo kafara za wanyama au wanadamu hutumika kama sarafu kuu ya kiroho. Kwenye dunia ya asili, jambo hili linajidhihirisha kupitia matukio yasiyoelezeka ya vifo vya ghafla au ajali mfululizo...
  10. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Tusikubali Taifa letu kuchezewa na kuingizwa kwenye mambo yasiyofaa

    "Maandamano ya kweli, watu wa Moshi, ni maandamano ya kutafuta pesa na uchumi! Andamana kuuza duka kikamilifu upate hela. Endesha bodaboda, andamana asubuhi mpaka usiku upate pesa. Andamana kulima na kufuga, uza upate pesa! Hata ukirudi nyumbani, mke wako anakupokea kwa heshima: 'Baba karibu...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha bila watoto wala ndoa

    Naomba kujua kwa walioamua kuishi bila bila kuoa/kuolewa maisha yao yote na bila kuwa na watoto kabisa(sio kwasababu hana uwezo wa kuzaa). Ni mambo gani yaliwasaidia kuishi hiyo lifestyle? Umelala kwa muda gani na attention yako umehamishia wapi zaidi tofauti na ndoa/Watoto?
  12. JamiiForums Tanzania Ukiwa na Emotional intelligence utayashinda mambo mengi

    Ukiwa unauwezo wa kudhibiti hisia zako utakuwa mtu hatari sana na pia utaweza kuyashinda mambo mengi , hata choko choko ndogo ndogo unazipotezea mtu anaweza akakutafuta kishari anashangaa haujai kwenye mfumo unampotezea. Watu mlioajiriwa maofisini jitahidini muwe na Emotional intelligence...
  13. JamiiForums Tanzania Wachokonozi wa mambo yasiyo wahusu Eti kati ya faly Ipupa na Simba wa tandale (Diamond platinum Madako masebu) Nani ana mkwanja mrefu?

    Nawauliza ninyi mnaojua mambo mengi ...Ni nani kati ya Faly Ipupa na Diamond platinum Madako masebu ana pesa mingi kuzidi mwenzie?
  14. JamiiForums Tanzania Ila daladala za Dar zina mambo mengi

    Ukipanda daladala za Dar ni vituko, vichekesho na kutamanishana tu. Hebu chek hii video
  15. JamiiForums Tanzania Kesho mambo yakienda vizuri nitafukuzwa kazi chanzo ni marafiki

    Habari za usiku wakuu wa kazi, Poleni na msiba wa mama JPM hakika hakuna aliyeumbiwa kukaa milele kwenye hii dunia. Wakuu Twenzetu kwenye mada tajwa hapo juu nimekuwa kwenye kibarua kwa takribani miaka mitatu sasa . Mshahara ni mdogo japo unasaidia kujikimu ila katika hali isiyo ya kawaida...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Ndani yaomba Trilioni 2.4 kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027

  17. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya ndani yaomba kuidhinishiwa sh. Trilioni 2.44 Kwa mwaka wa fedha 2026/2027

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 2.44 kwa ajili ya matumizi ya wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027. Matumizi ya Kawaida: Shilingi trilioni 1.95 sawa na asilimia 80% zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya kawaida...
  18. JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda kwa wataalamu wa mambo ya gizani/waganga kutafuta utajiri na mkafanikiwa njoo hapa na visa vyenu tuvufanyie uchambuzi yakinifu.

    Wengi wenu najua hamjapata huo utajiri japokuwa mlipewa masharti ya kutisha 😀😀 Wazee wa kupiga bao
  19. JamiiForums Tanzania Mambo tata ya dunia hufichwa gizani, huku ukweli ukipotezwa mbele ya macho yetu✍️

    👉Chanzo halisi cha uumbaji wa dunia bado ni mjadala mkubwa wenye mitazamo ya dini, sayansi na falsafa. 👉Siri ya maisha baada ya kifo imeendelea kuwa fumbo linalowagawa wanaoamini mbingu, kuzimu au kutokuwepo kwa maisha mengine. 👉Swali la kama Mungu yupo au hayupo linaendelea kuzua...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

    Guys kuna raha kua Mwanamke na raha ya Mwanamke kuhudumiwa, acheni sasa niwaambie mimi ni yule mwanamke hata nikipata mshahara sasa hivi, bado nitapiga simu kwa kaka zangu (wananipenda sana lastborn wao) wanitumie hela ya chips au icecream, Siwezi kwenda lunch na kuna wanaume halafu mimi nilipe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…