Haya ndiyo mambo ambayo wanawake huzungumza wanapokuwa pamoja

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Hivi umewahi jiuliza kuwa ni mambo gani ambayo wanawake huzungumzia pale tu wanapotengeneza vikundi kwa ajili ya kupiga soga? Iwe ni katika mazingira ya kazi, mazingira ya nyumbani hasa hasa majirani kwenye nyumba za kupanga, vyuoni n.k

Hawa viumbe hawana cha maana wanachokizungumza hapo. Haijalishi wana kiwango kipi cha elimu, mume wa namna ipi, labda ni matajiri n.k

Mambo ambayo wanawake huzungumzia wakati wa soga:

1.
Vikoba, mikopo na kausha damu. Mazungumzo yao hulenga sana katika kum-beza mwenzao ambaye alikopa deni akashindwa kulipa, ambaye amekaushwa damu kwa kusombewa mali zake alizokuwa nazo. Hapo huangua vicheko vya kila rangi. Ukiwa mbali unaeza dhani wanajadili namna ya kuwatengea waume wao maji ya kuoga pindi wanapotoka kazini, kumbe hakuna la maana

2. Mapenzi. Kikubwa wanachokijadili hapa ni namna ambavyo wamefanikisha kuwaendesha waume ama wapenzi wao. Hapa kila mmoja utamsikia ngozi akiivutia kwake. Hapo hakuna hata mmoja atakaekubali kuwa mnyonge kwa mwenzie. utasikia tu, "Nikikohoa tu, chipsi yai hii hapa, hata kama iwe usiku wa manane. Akinisumbua hata vibao namnasa". Ikifikia hatua hii, ndipo kila mmoja huanza kumwaga siri za mpenzi ama mume wake ndani. Kingine wanachokizungumza ni namna ya kumuandaa mwanaume wakati wa tendo ilihali hakuna hata mmoja anayemuandaa mume ama mpenzi wake. Hawa wadudu ni watu wa theory katika mazungumzo

hivyo tunaiomba serikali ya CCM ituelekeze namna ya kuishi na hivi viumbe hivi kwa akili
 
Wanawake wote mwalimu wao ni mmoja. Akili na uwezo wao wa kufikiri vinafanana throughout the entire female population.

Tuombe Mungu atupe ujasiri wa kuishi na viumbe hawa wa kusadikika kutoka sayari isiyojulikana. Mungu ni mwema, tunaamini atasikia kilio chetu. Amina.
 
Screenshot_20240116-195310.png
Screenshot_20240116-142147_1.jpg
 
Kuna mama mmoja jirani hapa,yeye ni wale wa staying home mom,na anayemla anafanya vibarua town.Sasa hii likizo nimekuwa nikitulia tu ghto natoka jioni,ila nilichogundua ni Kila ikifika saa nne Huyo mazeri na shosti zake wanajikusanya hapo kibarazani kusukana na kuchamba wenzao.Ila linalonisikitisha ni Huyo Maza kumsema sana Basha yake kuwa ni mchovu kitandani na hela Hana Yani anaishi nae sababu ya nyumba ya urithi,na hii sio mara Moja tangu nianze wasikiliza karibia Kila siku lazima Huyo mama aseme mapungufu ya mwenzie huku wenzake wakicheka na kugonga.Nahisi hawajui kama nipogo tu ndichi nakula za ndaaaaaaani.
 
Hivi umewahi jiuliza kuwa ni mambo gani ambayo wanawake huzungumzia pale tu wanapotengeneza vikundi kwa ajili ya kupiga soga?....
3. Husimulia jinsi waume/wapenzi zao wanavyowadinya vizuri hadi kuwakojoza. Sasa katika hilo kundi la soga utakuta kuna wengine hawajui kukojoa kupoje. Baada ya muda utasikia wamemzunguka huyo mropokaji wa siri za penzi lake na kumuibia mume/mpenzi jumla.

Akishaibiwa mume/mpenzi anahama kijiwe anatafuta kundi jingine la kumsemea yule aliyemuibia mume/mpenzi wake. Utasikia akisema, "kijitu chenyewe wala hakina shepu, sijui alikipendea nini na kuniacha mimi, huyu mwanaume hana akili'.

Anajisahaulisha kwamba yeye ndiye aliyeuza ramani ya kivita kwa wenzake. Hawa viumbe Mungu awahurumie tu.
 
Back
Top Bottom