mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania President Samia for 2025!

    Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025. Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais. Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu. Kina Mwigulu, January, Mpina na hata wale wanaoenda kimyakimya kama simba mawindoni, muachieni mama Samia...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kurekebisha mkataba wa DP World, hongera Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan Nikiwa mmoja wa members wa JF nilyepinga sana mkataba wa awali kati ya nchi yetu na DP World, nachukua nafasi hii kumpongeza Mama Samia. Pongezi zangu zinazingatia vipengele kadhaa: - Watanzania wengi tunapenda uwekezaji na nchi iweze kuvutia mitaji toka kote duniani...
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Samia atafanya ziara za kushtukiza?

    Every good deed should be hold and preserved. Licha kujinasabu kuwa hakuna tofauti kati yake na aliyetangulia ila bado sijaona jambo zuri kama ziara za kushtukiza. Hayati Magufuli alishuhudia uozo mwingi katika baadhi ya ofisi pia ilichangia moral na heshima kwa watendaj but now days...
  4. Hae Mosu

    JamiiForums Tanzania Kilio kwenu mama samia na waziri mkuu majaliwa

    Salaam! Sisi baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kimanilwentemi kata ya Bugogwa WILAYA ya Ilemela Tuna tatizo ambalo tunahisi Kuna harufu ya rushwa. Iko hivi, Kuna shule ya serikali imejengwa hapa mtaani inaitwa shule ya SEKONDARI IGOGWE. Eneo la shule hii ni dogo na ilionekana kuwa inapaswa eneo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Iwapo mwaka ujao Sheikh Ponda akisema kama Waislam tumeamua kumpigia kura Rais Samia

    Katika uchaguzi uliopita Sheikh Ponda allibukia kuiunga mkono CHADEMA na akatoa kuwa 'WAISLAM TUMEKUBALIANA KURA ZOTE ZA URAIS TUTAMPIGIA TUNDU LISSU'. Kauli hii iliungwa mkono kwa kiasi kikubwa na Waislam isipokuwa Bakwata ambao mkakati wao wamejiegemeza zaidi kwa CCM. Bahati mbaya kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy, Kitengo cha Magonjwa ya Akili Hospitali ya Taifa Muhimbili dawa zinauzwa bei ghali kulinganisha na maeneo mengine

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga. Kitengo cha magonjwa ya akili wanauzia wagonjwa dawa kwa Bei ya juu sana Nina mgonjwa wangu huwa nampeleka kuchua dawa hapo, mwezi uliopita nilinunua dawa kwa shilingi 11,000 juzi nilienda mhimbili naambiwa dawa 54,000, na ni dawa hizo yaani carbamazipine...
  7. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Tabora, Kigoma na Burundi - tupaze sauti kwa Mama Samia - tupate Barabara ya Mambali (Tabora) kuja Kakonko (Kigoma)

    Salaam! Tukipata barabara mpya ya Kakonko hadi Mambali (Uyui) tutaokoa muda wa kusafiri, fedha na uhovu. Kwa kuwa tunapozungukia Kahama - Nzega - Tabora tunasafiri zaidi ya 400kms. Lkn pia tunapozungukia uvinza to Tabora tunasafiri takribani 413kms. Endapo Mama Samia atakubali na kusikia...
  8. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara kuongoza Shirika la Umma Rais Samia unaenda kusiko

    Nilipigwa butwaa, kama si kushangaa, mama Samia akiongea na wateule wa mashirika na nafasi mbali mbali za kiuongozi. Lililonishangaza, eti yule mpendwa wetu Maharage Chande, alipoenguliwa TANESCO na kupelekwa TTCL, "ikagundulika"(mind you baada ya uteuzi) kuwa ana biashara yake inayo gongana...
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya R 4 za Rais Samia inakupa Mtanzania uhuru wako wa kweli

    Toka nilipoanza kuzisoma na kuzifanyia tafiti zangu binafsi R 4 za mama Samia nimeona na nnaendelea kuona kuwa R 4 za mama Samia zimelenga kumpa uhuru wa kweli kila mmoja wetu kivyake na siyo uhuru wa kukusanywa kikundi na kujazwa ujinga na "viongozi". Tatizo kubwa na la kipekee la Watanzania...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hongera Mama Samia kwa kuvunja genge la Wapigaji, Maharagwe ya January na chemba ya Yakobo

    Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo, Kwa mara nyingine Mama...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia weka maDED kutoka taasis zilizofanya vema usimamizi wa Miradi

    Kumekuwa na shida ya kupata MADED waliokuwa na uwezo wa kusimamia Halmashauri hasa upande wa Miradi ambako Fedha zimekuwa zikichotwa hovyo, hii ni kutokana na MADED wengi wamekuwa wakiteuliwa kutoka LUMUMBA, wengi wao wakiwa ni makada na hawana taaluma au uzoefu wa kuendesha ofisi hasa katika...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nashukuru mama Samia amenisikia.

    Nchi ina wizara na idara nyingi sana.Pamoja na umuhimu wa kila moja lakini kuna idara tatu ni muhimu zaidi katika kuitawala nchi.Hizo hizo ndizo zinazotumiwa na wapinzania wanapotaka kumletea matatizo mtawala aliyepo madarakani. Idara hizo ni maji,nishati hasa umeme na chakula ikiwemo sukari...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakuomba usitupoteze sisi ambao tunakuombea mafanikio!

    Sisi ambao sio washabiki wa vyama bali washabiki wa nchi “ Independent “ tunapata wakati mgumu maana kuna wakati tunamtetea Raisi na wakati tunampinga kwa hoja. Lakini wengi wetu na mimi binafsi nimekuwa namuunga mkono sana Raisi Samia kwenye mambo mengi na kumpinga kwenye mambo machache...
  14. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mbunge wetu Freddy Mwakibete kakosa nini?

    Nimekatishwa tamaa, nimefadhaishwa! Mbunge wetu kijana, Freddy Mwakibete, mbunge wa Busokelo, Rungwe ameachwa kwenye mabadiliko ya mawaziri ya juzi. Sisi wakazi wa Rungwe tumesononeshwa, maana huyu kijana alikuwa kiungo muhimu cha matatizo ya wana Rungwe. Tulianza kuona mwanga kuwa miradi...
  15. Etwege

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa? Kwa miaka 3 hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu...
  16. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro - Zaidi ya Wananchi 250,000 Wamefikiwa na Mama Samia Legal Aid Campaign

    WAZIRI DKT. NDUMBARO - ZAIDI YA WANANCHI 250,000 WAMEFIKIWA NA MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema katika utekelezaji wa kampeni inayolenga kutoa msaada na elimu ya kisheria kwa wananchi hasa waishio pembezoni, zaidi ya wananchi 250,000...
  18. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka

    RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla. R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tangu sakata la Bandari lianze, waziri mmoja wa Mama Samia (naibu) hajatamka lolote kuutetea wala kuupinga

    Ukimya wa Mbunge wa Chalinze unatupa picha gani kuhusu msimamo wake kwa mkataba huu wa ajabu ajabu? jimboni hajapita kuufafanua wala kuukosoa. Je anataka tumuone ni mwema sana kuwa hana upande wakati aliupigia kura mkataba huu?
  20. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kweli. Mashirika ya Umma kuwa ya Umma kiukweli

    Mama Samia anafanya kweli, hayumbishwi hata kidogo. Hakuna tena longolongo ya kuitwa "mashirika ya umma" huku yanabaki kuwa kichaka cha wapigaji wachache. Mama amesema Arusha, mashirika ya umma yawe ya umma kiukweli, Watanzania wauziwe hisa na wawe na kauli nayo. Kama mama Samia alivyofanya TPA...
Back
Top Bottom