ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,964
- 3,895
Kumekuwa na shida ya kupata MADED waliokuwa na uwezo wa kusimamia Halmashauri hasa upande wa Miradi ambako Fedha zimekuwa zikichotwa hovyo, hii ni kutokana na MADED wengi wamekuwa wakiteuliwa kutoka LUMUMBA, wengi wao wakiwa ni makada na hawana taaluma au uzoefu wa kuendesha ofisi hasa katika usimamiz wa Miradi mikubwa na manunuzi kiujumla.
Nataka nimwambie Mh.Rais nchi hii Kuna taasis zimefanya vizuri hasa katika upande wa usimamizi wa Miradi ya Fedha nyingi , na kuwa na ufanisi mkubwa, Mfano TANROAD, TANESCO.
SASA ni wakati wa Samia kuanza kuchomoa wataalamu katika taasis kubwa za kimanunuzi na usimamiaji mradi na kuwapa wakasimamie Halmashauri kama wakurugenzi, hii ya kuokota okota makada waliokuwa wakipiga zogo Lumumba ndo imeleta kupotea ufanisi Kwa MADEDI wengi