Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,204
- 10,951
Nchi ina wizara na idara nyingi sana.Pamoja na umuhimu wa kila moja lakini kuna idara tatu ni muhimu zaidi katika kuitawala nchi.Hizo hizo ndizo zinazotumiwa na wapinzania wanapotaka kumletea matatizo mtawala aliyepo madarakani.
Idara hizo ni maji,nishati hasa umeme na chakula ikiwemo sukari.
Wakati wa Magufuli kuna watu walitaka kumuangusha kwa kutumia sukari japo alisurvive alipata shida sana.Kwenye umeme alitumia maguvu sana na huenda alifanikiwa kwa kiasi fulani.
Wapinzani wa vyama vya upinzani au ndani ya chama huwa hawakomi kutumia vitu hivyo vitatu kama kisingizio cha kutaka kumuondosha madarakani kiongozi fulani.Kwa upole alionao mama kuna wapinzani wengine kama ndugu wameendelea kutaka kumchagiza mama.
Kuna siku nilimshauri mama Samia hapa hapa JF kuwa awe mwangalifu na asisite kufukuza kila mpuuzi anayekwamisha maendeleo ya nchi na kutumia jina lake kama kisingizio.Nafurahi kuwa huwa anaingia hapa na nashukuru amenisikia kwa kufukuza meneja wa Tanesco kwanza kabla hajafuta wengine kama yeye.