mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

    Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi? Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya 6000 kuajiriwa ifikapo Juni, kuanza na waliojitolea kwanza

    Naibu Waziri wa TAMISEMI mh Silinde amewataka maafisa elimu nchini kupeleka majina ya walimu waliojitolea mapema ili wapewe kipaumbele katika ajira 6000 alizotangazwa Rais Samia hivi majuzi. Akijibu swali bungeni Naibu Waziri Silinde amesema kigezo cha kwanza itakuwa wale wote waliojitolea na...
  3. Mchambuzi

    JamiiForums Tanzania Urais wa Mama Samia Suluhu Hassan: Changamoto na fursa zilizopo

    Mjadala wetu utakuwa na sehemu SITA kama ifuatavyo: Kufuatia utangulizi, sehemu ya kwanza itaangalia kwa kifupi historia ya nafasi ya Makamu wa Rais katika jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika hili tutaangazia vipindi viwili muhimu katika historia ya Jamhuri ya Muungano Tanzania: -Kipindi...
  4. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya Mama yetu Rais Samia

    Natamani mama angeanza kutupia mavazi yanayoenda na fasheni ya marais. Yaani vazi flani hivi traaamu sana kiasi kwamba mtu akimuona tu anajua kweli huyu MAMA WA TAIFA. Kama leo yupo UGANDA na vile amevaa barakoa nilitaman amechishe zake na gloves kwasabu hata hivo UG kuna kiubaridi, angepiga...
Back
Top Bottom