Tangu sakata la Bandari lianze, waziri mmoja wa Mama Samia (naibu) hajatamka lolote kuutetea wala kuupinga

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Ukimya wa Mbunge wa Chalinze unatupa picha gani kuhusu msimamo wake kwa mkataba huu wa ajabu ajabu?

jimboni hajapita kuufafanua wala kuukosoa. Je anataka tumuone ni mwema sana kuwa hana upande wakati aliupigia kura mkataba huu?
 
Msongo wa mawazo ndo unawasumbua. Kila siku kuanzisha nyuzi kutaka watu waongee alafu wakiongea mnaazisha nyuzi eti nyoka wanatoka pangolin.

Nyie ni vichaa msiojitambua. Tafuteni dawa haraka.
 
Baba yake amesema kwa Niaba yake jana!
 
Msongo wa mawazo ndo unawasumbua. Kila siku kuanzisha nyuzi kutaka watu waongee alafu wakiongea mnaazisha nyuzi eti nyoka wanatoka pangolin.

Nyie ni vichaa msiojitambua. Tafuteni dawa haraka.
Baba kakurupuka na kajikaanga😄
 
Ukimya wa Mbunge wa Chalinze unatupa picha gani kuhusu msimamo wake kwa mkataba huu wa ajabu ajabu?

jimboni hajapita kuufafanua wala kuukosoa. Je anataka tumuone ni mwema sana kuwa hana upande wakati aliupigia kura mkataba huu?
Hata manabyake wa kambo nae kakaa kimya. Naona wameamua kumwachia mkuu wa familia ajilipue mwenyewe..
 
Ukimya wa Mbunge wa Chalinze unatupa picha gani kuhusu msimamo wake kwa mkataba huu wa ajabu ajabu?

jimboni hajapita kuufafanua wala kuukosoa. Je anataka tumuone ni mwema sana kuwa hana upande wakati aliupigia kura mkataba huu?
Msimamo wake na wa Baba ni mmoja. Nae atatoka kuusemea
 
Hao wanaoongea wanawezeshwa na hao hao waliokaa kimya. Ila ni swala la wakati tu itabidi ma mafia don waingie wenyewe ulingoni. Kingpin keshaanza subiri uone mikia yake ikifuata.
 
Ukimya wa Mbunge wa Chalinze unatupa picha gani kuhusu msimamo wake kwa mkataba huu wa ajabu ajabu?

jimboni hajapita kuufafanua wala kuukosoa. Je anataka tumuone ni mwema sana kuwa hana upande wakati aliupigia kura mkataba huu?
Hivy givyo imekuwa kwa Mwigulu na January. Umewasikia?

Kwa mawaziri, walioamua kujitoa ufahamu hasa, na kuupigania mkataba huo wa hovyo, ni Nape na Biteko.
 
Back
Top Bottom