Waziri Ummy, Kitengo cha Magonjwa ya Akili Hospitali ya Taifa Muhimbili dawa zinauzwa bei ghali kulinganisha na maeneo mengine

Mugombaa

New Member
Oct 5, 2023
3
0
Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga. Kitengo cha magonjwa ya akili wanauzia wagonjwa dawa kwa Bei ya juu sana

Nina mgonjwa wangu huwa nampeleka kuchua dawa hapo, mwezi uliopita nilinunua dawa kwa shilingi 11,000 juzi nilienda mhimbili naambiwa dawa 54,000, na ni dawa hizo yaani carbamazipine na phenegan.

Nilichoambiwa kwamba dawa za phenegan zimepanda kwamba kidonge kimoja shilingi Mia tano, na cha ajabu nakuja kuuliza maduka ya Kariakoo naambiwa dawa ni shilingi 50, Mh. Waziri ni kweli dawa zimepanda kiasi hicho au tunaibiwa wenye wagonjwa.
 
Naomba Wizara itafute unafuu kwa wananchi jameni
Kumbe ndo mana nyuzi kichefuchefu zimejaa jamvini
Dawa zipo juu
 
Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga. Kitengo cha magonjwa ya akili wanauzia wagonjwa dawa kwa Bei ya juu sana

Nina mgonjwa wangu huwa nampeleka kuchua dawa hapo, mwezi uliopita nilinunua dawa kwa shilingi 11,000 juzi nilienda mhimbili naambiwa dawa 54,000, na ni dawa hizo yaani carbamazipine na phenegan.

Nilichoambiwa kwamba dawa za phenegan zimepanda kwamba kidonge kimoja shilingi Mia tano, na cha ajabu nakuja kuuliza maduka ya Kariakoo naambiwa dawa ni shilingi 50, Mh. Waziri ni kweli dawa zimepanda kiasi hicho au tunaibiwa wenye wagonjwa.
itakua wizara ya afya nayo ina matatizo ya afya ya akili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sidhani kama wanaliona hilo maana hawajichanganyi na wananchi wao
Zamani hzi dawa zilikua zinatolewa bure, lakini Cha kushangaza watu wa methadone(wale wanaotumia madawa ya kulevya ndio wanatibiwa bure). Wengonjwa wengine wanalipa. Serikali Angalieni hili.Wengine hatuna uwezo wa kukata Bima
 
Back
Top Bottom