Hongera Mama Samia kwa kuvunja genge la Wapigaji, Maharagwe ya January na chemba ya Yakobo

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo,

Kwa mara nyingine Mama anathibitisha ya kwamba Hayati Magufuli alikuwa sahihi kuwakataa hao watu kwenye uongozi wake,Hayati Magufuli aliwahi kumtimua bungeni kwa kashfa kubwa ya mabilioni akiwa katibu wa Supika,na alikuwa anaelekea kupiga pesa za Ujenzi wa viwanja,kawaita wakandarasi kakaa nao tena mezani,Mama umemuwahi umemuondoa ahsante sana,

Hili genge limetuumiza sana kwenye Umeme na sasa tunapitia mgao kwa machungu yaliyosababishwa na hilo genge,

Ombi letu kwa Mama Samia;-

Huyu Maharagwe ni royal sana kwa Vodekomu,sasa kumpa tena titisielo ataenda kuliua shirika na kumpa nguvu Vodekomu,jicho lako Mama lipige vizuri hapo,Mwisho nakupongeza sana Mama kwa kulivunja genge hili la Wapigaji.
 
Sasa ongera ya nini wakati Makamba bado waziri, hii nchi hatuko serious
 
Ni ''royal'' sana. Majanga makubwa haya. BTW mbona amepelekwa kwingine kupiga?
 
Safi sana Mama Samia walidhani hutowagundua Hongera Mama kazi iendelee
Mwambieni mama aniteuwe , na anipe wizara isiyo kuwa na jina ,niwanyoshe mafisadi,

Angalizo sitaangalia sura hata yeye nikigundua anafanya ufisadi moto unawaka,

Tafadhali nifikishieni ujumbe kwa mama, 47 mbatizaji ndo jina langu , namuhaidi mafisadi yatakimbia ofisi mchana kweupe, na nitayafunga, na kuyafilisi mali zao wizi,
Yaliyoficha pesa nje watazirudisha na viboko juu,

Mama nipe kazi hii nikunyoshee watu
 
Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo,

Kwa mara nyingine Mama anathibitisha ya kwamba Hayati Magufuli alikuwa sahihi kuwakataa hao watu kwenye uongozi wake,Hayati Magufuli aliwahi kumtimua bungeni kwa kashfa kubwa ya mabilioni akiwa katibu wa Supika,na alikuwa anaelekea kupiga pesa za Ujenzi wa viwanja,kawaita wakandarasi kakaa nao tena mezani,Mama umemuwahi umemuondoa ahsante sana,

Hili genge limetuumiza sana kwenye Umeme na sasa tunapitia mgao kwa machungu yaliyosababishwa na hilo genge,

Ombi letu kwa Mama Samia;-

Huyu Maharagwe ni royal sana kwa Vodekomu,sasa kumpa tena titisielo ataenda kuliua shirika na kumpa nguvu Vodekomu,jicho lako Mama lipige vizuri hapo,Mwisho nakupongeza sana Mama kwa kulivunja genge hili la Wapigsim

Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo,

Kwa mara nyingine Mama anathibitisha ya kwamba Hayati Magufuli alikuwa sahihi kuwakataa hao watu kwenye uongozi wake,Hayati Magufuli aliwahi kumtimua bungeni kwa kashfa kubwa ya mabilioni akiwa katibu wa Supika,na alikuwa anaelekea kupiga pesa za Ujenzi wa viwanja,kawaita wakandarasi kakaa nao tena mezani,Mama umemuwahi umemuondoa ahsante sana,

Hili genge limetuumiza sana kwenye Umeme na sasa tunapitia mgao kwa machungu yaliyosababishwa na hilo genge,

Ombi letu kwa Mama Samia;-

Huyu Maharagwe ni royal sana kwa Vodekomu,sasa kumpa tena titisielo ataenda kuliua shirika na kumpa nguvu Vodekomu,jicho lako Mama lipige vizuri hapo,Mwisho nakupongeza sana Mama kwa kulivunja genge hili la Wapigaji.
Na yeye ni genge tu
 
Mlinyimwa michongo mkaunda genge la kuwachafua wenzenu. Kiukweli maharage na wenzake wasiumizwe kichwa na hizi kelele zenu. Waendelee kujivunia maamuzi yao ya kuwapiga chini.
 
Mh raisi ongera kwa uvunjaji wa badhi mawaziri na wakurugenzi wa ovyo wasiokuwa waminifu na wazalendo Kama wazir nishat kumuondoa na mkurugenzi wa tanesco bado wa rea Kama yafuatayo tuma team yako ya rushwa na wasomi wahandishi wakatafit ktk tenda za rea yafuatayo wanakudanganya na serikali yako
1: wanathibitisha wataendesha kazi kwa bond security bank na kuthibitisha wanauwezo wa ku provide all facility kwa sub contractor kuanzia vitendea kazi na magari na mafuta kwajir sub contractor mitaji yao ni wafanyakazi na ujuzi tu awatekelezi ilo
2: imegeuka sub contractor rea wao ndio Wana provide all facility and to run project before any payment any support and cooperation toka kwa main contractor imekuwa sub contractor a part of work project rea responsibility 95% is not a part of main contractor is not resposiblity ilo team yako ya watu rushwa na wahandishi wasomi wa umeme watafit wakague mikataba kila sub contractor site watabaini wizi na rushwa sugu
3. Lingie kukatika katika umeme ni kwasababu akuna uwajibikaji ktk shirika la tanesco na wizara yake pia aiwezekani uitaji wa umeme upo na kulipa watu wanalipa kwanini umeme ukatike katike ? Kama wahandishi wote Wana data kuanzia kila idadi nyumba na load idadi kila transformer na wateja na load na kila phace na idadi wateja na load before customers connection? Data base technology? Kama ongezeko la wateja na matumizi zisiongezwe transformer au generator kva data base technology computerize Nina hakika wakikaguliwa tanesco Awana data base kila transformer nk sio wawajibikaji inaitajika utafit na kuwawajibisha kupotezea mapato serikali Kodi kwajir uzembe
4: tunaomba tanesco ingizwe ktk ushindani wa kibiashara ibakie kuza umeme tu vitengo vyote vya kuanzia usambazaji umeme na matengenezo wapewe kunga customers connection wateja private sector ilo litaongeza ufanisi na mapato kwa serikali kwa ushindani wa kibiashara na kuza vifaa meter iwe Kama line sm iuzwe dukani na registration immediately tupo ktk technology atuko ktk analogy serikali inapoteza mapato makubwa private sector wa import na export ushindani wa kibiashara ni information technology
Ushauri wetu na maoni kwa masilai ya jamuhuri ya muungano watanzania na watu wake mpaka kizazi ushauri wa bure constulant private sector
 
Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo,

Kwa mara nyingine Mama anathibitisha ya kwamba Hayati Magufuli alikuwa sahihi kuwakataa hao watu kwenye uongozi wake,Hayati Magufuli aliwahi kumtimua bungeni kwa kashfa kubwa ya mabilioni akiwa katibu wa Supika,na alikuwa anaelekea kupiga pesa za Ujenzi wa viwanja,kawaita wakandarasi kakaa nao tena mezani,Mama umemuwahi umemuondoa ahsante sana,

Hili genge limetuumiza sana kwenye Umeme na sasa tunapitia mgao kwa machungu yaliyosababishwa na hilo genge,

Ombi letu kwa Mama Samia;-

Huyu Maharagwe ni royal sana kwa Vodekomu,sasa kumpa tena titisielo ataenda kuliua shirika na kumpa nguvu Vodekomu,jicho lako Mama lipige vizuri hapo,Mwisho nakupongeza sana Mama kwa kulivunja genge hili la Wapigaji.
acha ujinga ww mama mwenyewe mpigaji ndo maana analinda wezi wenzie maana haiwezekani mtu kaharibu unamuhamisha akaharibu tena badala ya kumfukuza
 
Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo,

Kwa mara nyingine Mama anathibitisha ya kwamba Hayati Magufuli alikuwa sahihi kuwakataa hao watu kwenye uongozi wake,Hayati Magufuli aliwahi kumtimua bungeni kwa kashfa kubwa ya mabilioni akiwa katibu wa Supika,na alikuwa anaelekea kupiga pesa za Ujenzi wa viwanja,kawaita wakandarasi kakaa nao tena mezani,Mama umemuwahi umemuondoa ahsante sana,

Hili genge limetuumiza sana kwenye Umeme na sasa tunapitia mgao kwa machungu yaliyosababishwa na hilo genge,

Ombi letu kwa Mama Samia;-

Huyu Maharagwe ni royal sana kwa Vodekomu,sasa kumpa tena titisielo ataenda kuliua shirika na kumpa nguvu Vodekomu,jicho lako Mama lipige vizuri hapo,Mwisho nakupongeza sana Mama kwa kulivunja genge hili la Wapigaji.
Uchawa ni kansa!! Makamba now yuko wap? Genge la upigaj kule CCM sio mtu mmoja au wawili!! Ishi humo
 
Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo,

Kwa mara nyingine Mama anathibitisha ya kwamba Hayati Magufuli alikuwa sahihi kuwakataa hao watu kwenye uongozi wake,Hayati Magufuli aliwahi kumtimua bungeni kwa kashfa kubwa ya mabilioni akiwa katibu wa Supika,na alikuwa anaelekea kupiga pesa za Ujenzi wa viwanja,kawaita wakandarasi kakaa nao tena mezani,Mama umemuwahi umemuondoa ahsante sana,

Hili genge limetuumiza sana kwenye Umeme na sasa tunapitia mgao kwa machungu yaliyosababishwa na hilo genge,

Ombi letu kwa Mama Samia;-

Huyu Maharagwe ni royal sana kwa Vodekomu,sasa kumpa tena titisielo ataenda kuliua shirika na kumpa nguvu Vodekomu,jicho lako Mama lipige vizuri hapo,Mwisho nakupongeza sana Mama kwa kulivunja genge hili la Wapigaji.
 
Kwanini mikataba inakuwa na nembo jamhuli muungano Tanzania badala logo zao za kampuni ? Inaitajika tupate kwanza wasomi makini waelewa Kama mafia mob wazalendo wavumbua wizi wa kisayans kwa manufa ya serikali kuliko mtu yeyote zaidi uzalendo Africa Africa tuko nyuma pumbavu .na hii tasisi Kama OSHA na crb ya kuanza kufatilia hii miradi ya rea kwenye.swala usalama eneo kazi na kwa.upande wa crb kuwakagua Hawa wahandishi wanaoletwa na kampun toka nnje mbona wanaonekana Kama vilaza wanakuja wapiga pesa hapa Tena rea mnalipa kwa Dola na kutuacha hata hazina haina pesa kigen na kwa tz Kuna team injinia wazuri kuliko hao wanatoka nnje mtu anashindwa kujua daily report ya site anayoisimamia hao tulioaminiwa na selikali ilimradi anajua ukifika tare 23/ mshahara Wala Hana habari .

Mpaka itokee shida ndo utawaona macho yamewatoka na ukolon Mambo Leo hata kama kaharibu mgen mtanzia mwezio anahakikisha anakukwamisha kwa kuwa tayari ana 10%yake na rea HQ .

Ilo haja kufumua rea upya na kuweka wataamu wenye weledi kwa mwenendo uliopo hata wake wakezaji kiasi gani watanzania watanzania wataendelea kuwa maskin jamaa wanapiga pesa wanapeleka kwenye mataifa yao.
 
Mlinyimwa michongo mkaunda genge la kuwachafua wenzenu. Kiukweli maharage na wenzake wasiumizwe kichwa na hizi kelele zenu. Waendelee kujivunia maamuzi yao ya kuwapiga chini.
Ni michongo gani ambayo tulinyimwa?
 
Ndio leo hii umejua CCM ni ukoo wa mafisi?

Kweli umebadilika siku hizi huandiki hata namba mwishoni mwa bandiko Lucas Mbwa Wa Shamba amechukua nafasi yako.

Iwe ni fundisho kuwa uongozi na tawala hupita uzalendo sio kuipenda serikali iliyopo madarakani bali ni maslahi ya nchi mkishatupiwa virago ndio mnarudi kufikiri na kuwa objective naamini machawa wa awamu hii watajifunza toka kwako.
 
Back
Top Bottom