makusudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanesco Wilaya ya Chunya , umeme umekuwa ANASA, unakatwa Kwa makusudi au ni mgao?

    Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya. Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa! Umeme umekuwa anasa!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kauli ya papa na upotoshaji wa BBC makusudi

    UPOTOSHAJI JUU YA KAULI YA PAPA FRANCIS NA KANISA LA ROMAN CATHORIC KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA NA TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI Na Mansour Jumanne (Senior Journalist ) Kumekuwa na upotoshaji mkubwa saana ,ambao umenukuliwa na Vyombo vingi vya habari vya ndani na nje kuhusu Kauli aliyoitoa Papa...
  3. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli laana ya mwanake uliemuacha kwa makusudi ikanipata?

    Nilikua na mahusiano na binti, tulikua wadogo yeye O level mimi advance, alinipenda kwa dhati ila mimi nikiri sikua najua maana ya upendo na maumivu yake, nilipomaliza advance nilimuacha tu bila kosa. Alilia wiki nzima lakini nilichukulia kawaida sana kwanza niliamini ni kama maigizo...
  4. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Serikali haiioni mandela road au inafanya makusudi

    Habari wana Jamvi. Ivi hii serikali tuliyonayo ni kwamba haiioni mandela Road. Saivi kutoka buguruni mpaka Riverside kuna malori matatu yameharibika na kusababisha foleni kubwa. Wameshindwa kutafuta mbadala wa haya malori kutoka bandarini kweli miaka nenda rudi tunasikia budget yake ishatengwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Jangwani ilijengwa kwa makusudi namna ile wala haikukosewa kama wanavyodai

    Viongozi wetu wakati mwingine huwa wanaongea kama vile wanaongea na watoto wadogo! Tumesikia viongozi wetu wakihutubia kwamba eti eneo la Jangwani kipande kinachojaa maji kwamba wataalam waliojenga hapo Jangwani waliikosea! Kwamba makosa ya ujenzi ule siyo ya Serikali Bali wataalam ndiyo...
  6. polokwane

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa ESS wa uhamisho wa watumishi unahujumiwa kwa makusudi?

    Hilo ndilo tatizo kubwa sababu suala la uhamisho pale TAMISEMI ni rushwa tupu, sasa huu mfumo umekuja kuzuia ulaji wa watu hivyo wameuhujumu taatifa za kuhama na kubadilisha vituo hazipo, yaani hakuna updates zozote zinazoingia.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naenda Lusaka nawaachieni Mpoteze muda kujadili Kuwauzeni Kimkakati miaka 30 na Kumteua Makusudi Msiyompenda na nikirejea nafanya M Reshuffle nyingine

    Kikubwa nafanya Makusudi tu ili niwachanganyeni kwani mnajjfanya mnapenda Mijadala, Kunijadili, Kunidharau na Kutoniamini huku mkinisema kuwa nimeshikiwa Akili na Smile King Maker hivyo sasa mtakula Jeuri yenu.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko iwajibishe TPDC kwa makusudi wanayoifanya kwa watumiaji wa Gesi kwenye magari

    Kwa muda sasa kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata watumiaji wa magari ya gas. Foleni ya kujaza gas ni masaa 3 hadi 4. Hakuna sababu za msingi zaa kunyima watu vibali vya ujenzi wa vituo vya gas. Wajibisha hawa watu ili hili tatizo liishe.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumuita mtu aliyeudakia tu uongozi Mama wa Taifa ni kutudharau Watanzania wenye akili kubwa

    Halafu mnavyozidi Kumchoresha bila kujua ni hapa mnapomfananisha Kimafanikio na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere huku mkijua hana hata Miaka Minne (4) Uongozini wakati aliyeitwa Baba wa Taifa alikaa Miaka 23 Uongozini na Kuutengenezea Heshima Kubwa Kimataifa Tanzania yetu hii. Mama wa Taifa...
  10. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Vita ya Palestina na Israel imekuja kuifunika suala la Urusi na Ukraine kwa makusudi

    Wazungu wanajua kucheza na akili za watu duniani, yaani wanaunda matatizo wenyewe ili kufunika matatizo mengine. Kuanzia mwaka 2019 dunia nzima kulitokea janga la Corona virus🦠😷 watu akili na masikio havikutaka kuona wala kusikia chochote tofauti na habari ya Corona na walifanikiwa kupitia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wanahujumu mitandao makusudi ili watu wasilipe nauli na faini kwa mitandao

    Hii tumeshaiona kwenye mabasi ya Mwendo kasi, faini za traffic na za mabasi. Wanaharibu mitandao makusudi ili usiweze kulipa faini kwa mitandao au kununua ticket za card ili tu ukienda kulipa kwa pesa wanabaki nayo halafu haiendi serikalini. Tatizo kubwa watu wanafahamu hili na wananyamaza!!!
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chukua hii 100% Wachezaji Waandamizi wa Simba SC wakiongozwa na Chama kwa Makusudi Wanamuangusha Kocha kwa Kutumiwa na Kiongozi Mmoja

    Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla Kundi la Kwanza Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira. Kundi la Pili...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop talkin do act

    Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini. Hao jamaa ni wahuni
  14. Blender

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa Kula chuma hiko --- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Nishati ya Mafuta Nchini: Makamba kakwepushwa na lawama makusudi

    Siku chache zilizopita, kulifanyika mabadiriko ya Mawaziri...pale Nishati walihamishwa wote...je ilikua njia ya kuwaepusha na matope au ni coincidence?
  16. Yofav

    JamiiForums Tanzania Utafanya nini ukigundua mpenzi wako amekuambukiza HIV tena kwa makusudi?

    Habari wakuu, Long time sana sijachapa uzi humu, Sasa nimekaa nikawa najiuliza kwamba hivi mfano wewe upo kwenye mahusiano au ulilala na mtu fulani alafu after unakuja kugundua kwamba huyo mtu ni muathirika wa HIV na anaifahamu hali yake ila hakukupa taadhari yoyote na sasa tazama...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nimegundua leo: Baadhi ya mikataba mibovu huingiwa kwa makusudi ili tukalipe mahakama ya ICSID, hili la DP World adhabu itakuwa ni bwawa la Nyerere

    kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu tunapelekwa ICSID. Kule sasa wanatumwa magoigoi au vibaraka kama akina mkono enzi zike, tunalimwa...
  18. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kubwa sana katika nchi yetu ambalo lisipopatiwa ufumbuzi hii nchi kuna siku tutauzwa wote bila kuijua

    Kuna tatizo kubwa sana katika nchi yetu ambalo lisipopatiwa ufumbuzi hii nchi kuna siku tutauzwa wote bila kuijua. 1. Tatizo la kwanza ni kutojali na rushwa. 2. Kutoheshimu taaluma za watu. 3. Ubinafsi na kujilimbikizia mali 4. Ujinga na uchawa. 5. Uongo
  20. D

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia, NHIF inakugombanisha na wazee makusudi kabisa, kinyongo na manung'uniko yao vitakuletea mikosi kwenye uongozi wako

    Kutokana na kadhia ntayoielezea hapa chini ndio niliyasikia manung'uniko ya wazee, kibaya wazee hawajui kama NHIF ina mkurugenzi mtendaji, wazee wanamjua Mama Samia, lawama zote ni Mama Samia,. Hapa ndio kwa mara ya kwanza nimeone wazee waliokunywa maji ya kijani wakiilaani CCM, na mengine...
Back
Top Bottom