Vita ya Palestina na Israel imekuja kuifunika suala la Urusi na Ukraine kwa makusudi

Konseli Mkuu Andrew

JF-Expert Member
May 10, 2013
740
855
Wazungu wanajua kucheza na akili za watu duniani, yaani wanaunda matatizo wenyewe ili kufunika matatizo mengine.

Kuanzia mwaka 2019 dunia nzima kulitokea janga la Corona virus🦠😷 watu akili na masikio havikutaka kuona wala kusikia chochote tofauti na habari ya Corona na walifanikiwa kupitia vyombo vyao vya magharibi kwa kupika data za idadi ya vifo.

Baadae kidogo wazungu hao hao wakaja na mpango wa vita ya Russia na Ukraine lengo lilikuwa ni kuzimisha issue ya Corona na kweli walifanikiwa maana kwa kutumia vyombo vyao vya magharibi habari ya dunia ili kuwa ni leo wapi Russia amekamata eneo ndani ya Ukraine.

Sasa wamekuja na mpango mwingine wa vita ya Palestine na Israel huko napo wanaopigana ni kama wale wale tuu, maana yake ni kuwa Palestine (Hamas) wanasapotiwa na Russia huku Israel wanapata backup na USA na washirika wake.

Haya kazi kwenu viongozi wa Afrika, najua mtatumia huu mgogoro kuficha utawala wenu mbovu kama mlivyofanya kwenye Corona na vita ya Russia and Ukraine.

Nawasilisha.
 
Mfano
Habari za corona zina madhara kiasi gani kwamba ni bora vita kuliko habari za corona kuendelea kusikika katika hapa hujazungumzia madhara bali ni habari tu imeonekana kuwa ni tatizo kiasi ya kuitafutia mbadala wa jambo ili kuizima
 
Ukraine anabondwa kama kokoto
20230826_135441.jpg
 
Back
Top Bottom