Naenda Lusaka nawaachieni Mpoteze muda kujadili Kuwauzeni Kimkakati miaka 30 na Kumteua Makusudi Msiyompenda na nikirejea nafanya M Reshuffle nyingine

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,697
109,125
Kikubwa nafanya Makusudi tu ili niwachanganyeni kwani mnajjfanya mnapenda Mijadala, Kunijadili, Kunidharau na Kutoniamini huku mkinisema kuwa nimeshikiwa Akili na Smile King Maker hivyo sasa mtakula Jeuri yenu.
 
Yule jamaa ilikuwa si wa kurudishwa uongozini ni msaga kunguni. Waliomkuza kisiasa na kumpandisha chati bado wapo ndio walimrudisha chatini. Mazeri kamrudisha kimkakati symetrically kugawa mjadala kati ya huyo jamaa na bandari at one time kimakusudi. Devide and and rule principle. Mijadala ina nguvu na inaogopwa effect yake ni kubwa
 
Pia amempa hiko cheo kulipa fadhila maana kwa maelezo yake anadai DAB alimnenea vizuri na kumpigia chapuo la umakamu wa rais wakati wa bunge la katiba.
 
Back
Top Bottom