makusudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nafikiri member kyagata kama hafanyagi makusudi basi anahitaji msaada wa sexual therapist

    Huyu jamaa makala yake ni ngono mwanzo mwisho, had post unakuta ya saa mbili saa tatu asubuhi yeye ni sex tu.
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa Zamani Sumbawanga Aeshi Hilaly Adaiwa Kugonga Makusudi Gari la Sultan Seif Salehe

    Katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii, inadaiwa ni tukio lililofanywa na mbunge wa Sumbawanga aliyemaliza muda wake na mtia nia pia kupitia CCM, Aeshi Khalfan Hilaly, kwa kugonga makusudi gari la Sultan Seif Salehe.
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Admin wa Tume Huru ya Taifa Uchaguzi amefanya kwa Makusudi au ndio ukweli? Chapisho lililopo kwenye tovuti lina makosa ya uandishi!

    Tume huru ya uchaguzi wametoa chapisho ambalo lina makosa ya kiuandishi jambo ambalo sio la kawaida kwa taasisi.. kwanza kabisa mwanzoni linasomeka hivi.... Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025...
  4. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania TANAPA wamezembea makusudi kutengeneza daraja kogatende ili wapitishe agenda ya kuweka tozo kwenye kivuko

    Baada ya sakata la tour guide kuwaruhusu watalii kushuka kwenye magari kutazama kivuko cha nyumbu ni kinyume na taratibu za uhifadhi pamoja na uongozaji wa watalii lakini ucheleweshaji wa kujenga kivuko hicho Ili kiruhusu watalii kuvuka upande wa pili wa mto Ili kuona vizuri uvukaji wa wanyama...
  5. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole halioni hili? Ni makusudi au bahati mbaya?

    Nimekuwa nikimfuatilia kada wa CCM Humphrey Polepole kuanzia alipotoa barua yake ya kujiuzulu ubalozi wa Tanzania nchini Cuba; mazungumzo yake na Waandishi wa Habari na hata sasa (mazungumzo yake ya mwisho ameyafanya na Jenerali Ulimwengu). Pamoja na mambo mengine, Polepole amekuwa akizungumzia...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukataji holela majina ya wagombea,waleta Vurugu za Kisiasa Moshi Mjini: Kikao cha Kamati ya Siasa ya Wilaya ya CCM yavunja kwa makusudi kanuni ya 14

    Katika hali ya kutatanisha iliyojitokeza mjini Moshi, kikao cha kamati ya siasa ya Wilaya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezua maswali mengi kuhusu uwazi na uaminifu wa viongozi wa chama. Kanuni ya 14 ya chama, inayosisitiza umuhimu wa kuheshimiwa kwa vikao vya ndani na kutokutoa Siri za teuzi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel huruhusiwa kwa makusudi ili uwe ushahidi wa kufungua milango ya kuhalalisha vita pana ?

    Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ? Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
  8. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Maisha bila makusudi ni safari isiyo na Ramani

    "Duniani ni mahali pa furaha na kutimiza makusudi yako. Ukiishi nje ya hayo, utahangaika, utawewesuka hadi siku unaondoka bila mwelekeo kama ulivyokuja."— Alloyce, P.R.
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna mawaziri na viongozi wana uraia pacha kwa makusudi wanasubiri lolote wasiguswe endapo watashutumiwa mbeleni

    Siwezi kuweka majina wala kupoint watu ila navyosikia za chinichini wengi waliopo madarakani wana uraia pacha ambao wameshatengeneza mazingira la lolote. Kuna mmoja hata nia ya nchii hana malengo nayo. Sasa nauliza kama idara za uhamiaji mfahamu watu wenu tena viongozi mnakwama wapi.
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi, inawezekanaje eneo lenye madini yasiyopatikana kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo?

    "Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi Hivi inawezekanaje eneo linalotoa madini yasiyopatikana kwingine kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo? Maji yanatoka ziwa Victoria yanakwenda Misri Jangwani watu wote wanapata maji, kutoa maji kutoka Arumeru yafike hapa imeshindikana miaka 63...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna ndenge ambayo private jate hipo kwa mtu fulani 2025 naona hii ndege sio makusudi kutumia pesa zetu

    Kuna ndege kama inatumiwa na watu wengine kwa kusingizia kuwa wanaotoa pesa ni watu furani. Ila hii ndege ni kama hipo kusikilizia 2025 someni code
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Basi la mafunzo la NIT laparamia maduka na pikipiki eneo la Maji Chumvi, Tabata

    Nimekuta hili Basi la Mafunzo la Chuo cha Usafirisha (NIT) likiwa limevamia maduka na baadhi ya pikipiki zikiwa uvunguni mwa gari hili hapa eneo la junction kona na mlima mkali Maji Chumvi. Sijaweza kupata madhara yaliyotokea. Kama alikuwa anaendesha mwanafunzi wa mafunzo ndo basi tena...
  13. feyzal

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Marefa kuiharibia Simba Sc makusudi ili ionekane inapendelewa

    Wazee wana michezo habari zenu. Bila kupoteza muda niende kwenye hoja,kumekua na maamuzi mengi ya hovyo yanayofanywa na marefa na baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi la timu pinzani pindi simba ikicheza ilimradi kuiharibia simba mwana lunyasi inakera sana. Sisi Simba hatuihitaji busta yenu...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  15. adriz

    JamiiForums Tanzania Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

    Moja kwa moja. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/ Mwingine...
  16. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Ni Kwamba Mkoa Wa Dar Au Jiji La Dar Viongozi Wamelala Au Makusudi... Mama Shtuka, Ni Kama Viongozi Hawako Serious Vile..

    1. Taa Za barabarani haziwaki maeneo mengi nyeti zimebaki kama mapambo. Pamoja na Chalamila kutangaza biashara Kariakoo 24/7 bado mitaa mingi kariakoo na Posta hakuna taa za barabarani na zilizopo nyingi haziwaki. Jiji ni giza tu. 2. Mitaa mingi kuna mrundikano wa taka barabarani zinakaa mpaka...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, ni bahati mbaya au makusudi kuacha nguo ya ndani mahali ulipokaribishwa kwa mtu kwa shughuli ya faragha?

    Unasahauje kitu kama nguo ya ndani uliyokua umeivaa wakati unaelekea kwenye faragha hiyo? Ni sahihi kweli kufanya hivyo? Mbona hukusahau blauzi au suruali? Hata kama game ilikua ya moto sana, mbona hukusahau simu badala yake unasahau nguo ya ndani? don't stamp authority scientifically plz kwa...
  18. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kubwa na la makusudi kabisa katika hili.

    Wanahamasisha watu wajiandikishe katika daftari la mpiga kura. Wanahamasisha watu wapige kura. Lakini hawa hamasishi uhuru wakati wa kupiga kura na kulinda kura. Hawahamasishi uwepo wa tume huru ya uchaguzi. Hawahamasishi uhuru wa vyombo vya Habari na usawa katika kutoa taarifa. Hawa...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Vijana tunazidi kuwa wadhaifu, i waonder ni kipi tuta inspire watoto wetu wa kiume wajao

    Sasa hivi unakuta baba anaiimba "nyama ya mbuzi ni tamu, nyama ya mbuzi ni taamu"🤣🤣 alafu anakatika viuno kuliko mke wake. Unakuta Mtoto wake anamjibu mgeni vibaya, instead ya kuadhibu mtoto anamuambia mgeni "si unajua tena watoto wa siku hiz" Alafu akitoka hapo anaenda yale majumba ya betting...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuhujumiana: Kuna siku Simba mtacheza na timu itayopanga kwa makusudi kikosi dhaifu na sijui mtajiteteaje

    Leo hii ni Yanga na unaweza kuta Yanga wala hawakuhusika na upangaji wa kikosi cha Singida Big Stars bali huenda ilifanywa makusdi wapate la kusema. Kwahiyo, kama Yanga walihujumiwa ili wachafuliwe,. basi siku si nyingi na Simba yatawkuta. Si lazima timu ipange kikosi dhaifu, bali zinaweza...
Back
Top Bottom