makusudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Ila kuna wadada wana makusudi

    Hili pozi la picha linaitwaje sasa?
  2. Conwel Ngani

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yameamua kwa makusudi kupunguza kasi ya internet?

    Leo siku ya tatu nina experience low speed ya internet, awali nilidhani nilijua shida ni airtel nayotumia nikaunga voda bado nikapata tatizo lile lile. Nilipouliza na wengine malalamiko ni hayo hayo. Vipi kwako hali ikoje? Kama sote iko hivyo je ni maagizo ya TCRA? Maana juzi niliona...
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi huwekwa wa MAKUSUDi ili kubomoa Jamii

    Hii inatokea sana Duniani kote, kuna Viongozi huletwa mahsusi kwa kazi moja tu ya kubomoa jamii ambayo tayari ilikuwa imeshaanza kujitambua, ikumbukwe kwamba poverty ya Afrika ni biashara, kuna watu wanaishi kwa sababu ya poverty ya Afrika na wana Mishahara ya kukufuru, fikiria tu kwa mfano UN...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele lazima kuadhibiwe kama wengine

    Mchezo wa wa mashindano ya Azam mechi kati ya Yanga vs Geita gold imeonekana Kelvin Yondani kumkanyaga makusudi Fiston Mayele asiyekuwa na mpira. Hii haina tofauti na walichokifanya wachezaji wengine kama Mukoko na wengine waliowahi kufanya hivyo. Angalia hapa
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aamua 'Kukojolea' Kitoweo (Mboga) baada ya Kunyimwa Ugali (Chakula) makusudi na wana Familia wake

    Huwa napenda sana Watu ( Binadamu ) wenye Maamuzi magumu na ya papo kwa hapo kama huyu Baba na ningemjua ningempa Zawadi ya Mbuzi au Ng'ombe kama ambavyo hata Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston GENTAMYCINE Mayele amekuwa akizawadiwa kwa Kutekeleza vyema Majukumu yake. Yaani Mimi ndiyo Baba...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa amesahau Katiba au anapotosha makusudi?

    Leo mtandao wa Mwanahalisi umemnukuu Dr. Wilbroad Peter Silaa akisema kwamba wananchi wanaosema kuwa 'Mbowe sio Gaidi' wanamkera Sana kwani hawapaswi kusema hivyo Ila waiachie Mahakama! Hakusoma lolote kuhusu wale wananchi wengine ambao wao Kutwa kucha wanasema Kinyume chake yaani wanasema kuwa...
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Toka Magufuli aage Dunia, umuhimu wa Dodoma unafifishwa kwa makusudi kabisa

    "....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa." "...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!" "...hii siyo...
  8. markp

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako, naona kama Elimu haiendeshwi naye bali inajiendesha yenyewe

    Prof NDALICHAKO YUPO kwenye wizara ya elimu tangu awamu ya hayati Magufuli kama waziri mpaka sasa lakini naona kama elimu haiendeshwi nae inajiendesha yenyewe. Kuna shule inaitwa NGUVU MPYA SEKONDARY ipo chanika maeneo ya nguvu kazi, kidato cha kwanza pekee wapo 636 nimekwenda wiki iliyopita...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nani anachoma moto masoko na vibanda vya wafanyabiashara?

    Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ? Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ? tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
  10. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

    Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu. 1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Alifanya makusudi

    “Shhhh! I am safe usijali”. Na mimi niliamini maana sio kwa utamu ule. Asubuhi niliaga vizuri nikapanda gari na kurudi Morogoro chuoni. Nilikaa nikisubiri anitafute, walau anipongeze hata kwa ujuzi niliokua nao, lakini hata sms hakutuma. Nilikaa nikiamini labda alikua amechoka sana, au alikua...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

    Makaburi Kinondoni yamekuwa yakihujumiwa makusudi ili iweze kupatikana nafasi ya kuzika tena. Leo nilitembelea makaburi hayo asubuhi kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya ndugu yangu aliyelazwa kwenye makaburi hayo.
Back
Top Bottom