Nawasalimu,
Nawasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya barabara ya Pangani–Machinjio Mapya.
Barabara hiyo imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu na haijawahi kufanyiwa matengenezo kwa kutumia greda kwa kipindi kirefu, hali inayowasababishia usumbufu na changamoto kubwa watumiaji wa barabara...
Kulingana na viwango vipya vya nauli vilivyotangazwa na LATRA, nauli ya kutoka Pangani kwenda Tanga iliipaswa kuwa 3,377/= au 4000/= kwa barabara ya vumbi. Sababu umbali wa kutoka Pangani kwenda Tanga ni 50.7Km na barabara ni nusu lami, nusu vumbi.
Lakini kumekuwa na magari yanayotoza nauli...
Kero na changamoto yetu kubwa ni kuhusu Barabara ya Muheza - pangani ( Pangani - Muheza ) .....
Hiii ni Barabara ambayo ni kubwa sana inayotumika , kupita viongozi wa serikali kuanzia Rais , pia inatumika kupitisha Watalii, na mizigo mingi inayotokea Zanzibar to bandari ya Pangani kuja...
Sisi wanakikundi tuliomba mkopo wa Halmashauri na tukafanikiwa kukopeshwa shilingi milioni tano kwa ajili ya mradi wa mama lishe, tulifuata taratibu zote za kuhudhuria mafunzo, kusaini mikataba ya kurejesha fedha hizo baada ya fedha kuingizwa kwenye akaunti ya kikundi tumezuiwa kuitoa bila ya...
Anonymous
Thread
afisa
jamii
kikwazo
maendeleo
maendeleo ya jamii
pangani
vikundi
#shambalinauzwa
Shamba la Ekari 4,670 linauzwa Pangani, Tanga
Distance Kutoka Kivukoni cha Pangani (ferry) hadi shamba ni km 14
-Shamba lilikuwa linalimwa Mkonge
-Plot size Ekari 4,670
-Document: Title Deed
Bei shilingi milioni 1 kwa kila ekari moja
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Mtia nia wa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Pangani mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, ameibuka mshindi kwa kishindo katika kura za maoni zilizofanyika jimboni humo baada ya kupata kura zote za ndiyo katika kata zote zilizopiga kura.
Aweso amepitishwa na wajumbe wote...
Habari JF
Naomba mtafute ile post tulituma kupitia jukwaa la malalamiko / fichua uovu
Hatimaye tunawashukuru DAWASA wameanza mchakato wa huduma ya maji Kibaha-Pangani
Pia soma ~ Mradi wa Maji Kibaha-Pangani wenye thamani ya Tsh. Bilioni 9.8. uliosainiwa Mwaka 2023 waanza kutekelezwa
Hatimaye wakazi wa mikoa ya Tanga, Pangani, Muheza na Mkinga wananufaika moja kwa moja na matunda ya hati fungani ya kijani iliyotolewa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (TANGA UWASA), yenye thamani ya Shilingi Bilioni 53.12, ambayo ilianza kuuzwa rasmi tarehe 22...
Waziri wa maji Juma Aweso naye amechukua fomu ya ubunge jimbo la Pangani kutetea nafasi yake tena katika kipindi kingine cha miaka 5 ijayo
Ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa kibali;
Nimechukua na kurejesha fomu ya kugombea tena Ubunge wa jimbo la Pangani mkoani Tanga kwa tiketi ya chama cha...
Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa.
Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata hitilafu ya injini na kusombwa na maji kuelekea baharini, ingawa abiria waliokolewa kwa kutumia boti...
Kama alivyosema MBUNGE Ummy Mwalimu kuwa mkandarasi amepewa 15 billion, kazi ianze. kweli amefika NA KUANZA KIPANDE CHA cha tanga to Kibaoni, amemwaga vifusi kadhaa akashindiria kidogo na kuondoka.
Naamini amezuga kuwa yuko site kumbe kesha lala mbele!
FUATILIA
Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Daraja hili litakuwa na urefu wa mita 525 na linatarajiwa kuwa daraja la sita kwa urefu nchini Tanzania.
Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana
Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike
Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa
Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida
Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Seleman Moshi Kakoso amesema kazi iliyofanywa kwenye daraja hilo lenye urefu wa meta 525 ni kubwa hivyo Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), wahakikishe daraja hilo linakamilika kwa wakati ili kukuza fursa za uwekezaji katika ushoroba wa...
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Mheshimiwa Ummy Mwalimu, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa barabara ya Tanga–Pangani.
Mheshimiwa Ummy aliyasema hayo wakati wa mahojiano...
RAIS DKT. SAMIA: BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA PANGANI KUUFUNGUA MKOA WA TANGA KIUCHUMI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kuufungua na kuunganisha Mkoa wa Tanga na ushoroba wa Ukanda wa...
Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao.
Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli.
Sio Pangani tu hata...
Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao.
Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli.
Sio Pangani tu hata...
Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Bagamoyo (Makurunge), Saadani, na Tanga Pangani.
Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani utagharimu shilingi bilioni 107 hadi kukamliika kwake, na litakuwa na urefu wa mita 525.
Soma: Miradi kuelekea...
Baada ya Kabudi kusema alitolewa JALALANI, Aweso naye amesema Wanapangani wametolewa PANGONI
"Nataka niseme Rais jambo ulilolifanya katika wilaya yetu ya pangani nataka nikuambie umetutoa pangoni tunakwenda kupaa angani" -Juma Aweso
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.