makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Dorothy Gwajima ni waziri anayefanya mambo makubwa mno bila kelele,sifa za kijinga na majivuno!

    Salamu nishamuchia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa, kwangu mambo yote ni shega tu bila salamu!. Kwanza niseme mimi si mwanasiasa,naipenda siasa ila nawachukia wanasiasa baadhi wenye mambo ya ovyo na ambao wanadhani baadhi ya watanzani ni wapumbavu kwa kukubaliana na...
  2. JamiiForums Tanzania IDF ilipoteza udhibiti kamili Kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa Al -Qassam

    Wanaukumbi IDF ilipoteza udhibiti kamili kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa All -Qassam. Kaskazini ilikuwa chini ya udhibiti wa Hamas kila wakati, habari za uongo kuhusu ushindi kutoka kwa Waisraeli zinashangaza wakati ukweli unapikwa kila siku, hakuna lengo moja...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia anasifiwa sana, tena anafanya mambo makubwa kimya kimya, ni yepi hayo?

    Ninachojua na kukiamini katika maisha ya kila mmoja, ni kule kupambana saana ili mtu uweze kurahisisha maisha, na kwa sababu hiyo ili uwe na uhakika wa kufanya mambo mengine mhimu ya maendeleo, lazima uishinde njaa kwanza na ndipo utapata balansi ya fedha za kuanzisha vitu vingine kama kujenga...
  4. JamiiForums Tanzania Samia umepigaje hapo? IMF yaitaja Tanzania ni nchi ambayo haina madeni makubwa duniani

    Hakika nchi iko mikono salama.
  5. JamiiForums Tanzania Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

    Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa! Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi...
  6. JamiiForums Tanzania Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa. Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani. Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani Kwa...
  7. JamiiForums Tanzania January 1964, maasi ya jeshi na mwaka wa matatizo makubwa Tanganyika na Afrika Mashariki nzima!

    https://youtu.be/NlMzNWph_tE?si=ZEn2izCLvieZG_Th Vijana sasa hivi hawajuia yaliyo tokea miaka 60 iliyopita. Namshukuru Mungu, mimi nilishuhudia hata kama ni kiduchu na nilikuwa mdogo sana. Tukiishi Temeke miaka hiyo, na kambi kuu za jeshi Mgulani zilikuwa karibu sana. Nilikuwa na miaka saba...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Makampuni makubwa yanaogopa na kusuasua kuwekeza Marekani

    Kuanzia TSMC, SAMSUNG, PANASONIC, HONDA na LG wameonyeshwa kutoridhishwa na sera za Marekani za uwekezaji. Tuanze na makampuni ya kutoka nje yaliyoonyesha nia kuwekeza katika sekta ya utengenezaji chips (semiconductors) ●TSMC Hii ni kampuni ya kutengeneza chips (semiconductor) ambayo makao...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Taasisi ipi ya Kiislamu ambayo ni mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi kwa mafanikio yake makubwa hapa nchini Tanzania?

    Wadau hamjamboni nyote? Je ni taasisi gani ya Kiislamu hapa nchini Tanzania ambayo imeanzishwa na kuendeshwa kwa mafanikio makubwa hususani kwenye Menejimenti hivyo kuwa mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi husika? Lugha zisizo na staha hazikubaliki Niwatakie sikukuu njema ya Noel
  10. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa yafanyika Morocco kutaka kufutwa mahusiano na Israel

    Japokuwa Morrocco wamekuwa wakiandamana mara kwa mara dhidi ya Israel, lakini maandamano ya jana disema 24 ndiyo makubwa zaidi kufanyika kwa ajili ya kuitaka nchi yao kusitisha mahusiano yote yaliyokubaliwa mwaka 2020. Maandamano hayo yaliyosimamiwa na chama cha Kiislamu cha Al adl wal ihsan...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya chama anafata Phiri

    Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana. Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika. Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa.
  12. JamiiForums Tanzania Chama hajagombana na kocha bali viongozi. Ata kama mmemchoka mmuache kwa heshima sio mizengwe ameifanyia makubwa klabu pia

    Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni. Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja. Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali...
  13. JamiiForums Tanzania Aliyewaambia hatupendi matango makubwa kawadanganya

    Kuna pahala nimesoma eti yule kaka kaandika ya kwamba mwanaume kuwa na uume mkubwa ni mateso tu kwani wanawake hawapendi! Weeeeee thubutu! Nani alikwambieni hatupendi naniliu kubwa? Huyo aliendika huo ujumbe wenda yeye anako kananiliu kadogo ndo maana anataka sapoti ya wenye vidogo wenzie...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi mpaka sasa bado kuna wanandoa ambao hutenganisha chumba chao kuwa vyumba viwili kwa kutumia mashuka makubwa?

    Hizi mambo mara ya mwisho kuziona ilikuwa ni 2008. Nimeshtuka sana pale nilipocheki chumba cha mfanyakazi mwenzangu Ona sasa!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Waliomdhalilisha Tido Muhando na kumtoa TBC na kumbambikia kesi za jinai leo wanajitokeza bila aibu kumpongeza kwa mafanikio makubwa ya Azam

    Tido mzee wa watu katika utumishi wake alijenga CV nzuri ndani na kimataifa. Walipoona anafanikiwa na anazidi kupata jina Duniani wakamwita na kumkabidhi TBC. Akaweka mikakati kiwe chombo cha umma kinachozingatia maadili. Akakataa miradi ya rushwa mara TBC ikaanza kupata watazamaji wakiwemo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa Tel Aviv, baada ya Wanajeshi wa IDF kuwaua mateka watatu huko Gaza

    Wanaukumbi. Maandamano makubwa huko Tel Aviv Israel. Wananchi wa Israel wanapiga kwa nini jeshi la nchi yao limewaua mateka wao, Wananchi wanahoji kwa nini waliwapiga risasi wakati hawakuwa na silaha… Wananchi wa Israel wanaitaka mateka warudia wakiwa hai...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe. Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine? Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe.Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine?Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo lazima...
  19. JamiiForums Tanzania Majanga makubwa yakitokea nchi zenye vyombo vya habari makini kipaumbele huwa ni Tukio, ila kwetu kipaumbele ni Kuipamba Mamlaka!

    Binafsi nilitegemea baada ya Tukio la Hanang Mkoani Manyara Media ya Tanzania ingekuwa inatupa Elimu zaidi ya nini kimesababisha na hata kutoa tahadhari zaidi kwa eneo husika au maeneo mengine yenye Jiografia kama ya Hanang ili kujiepusha na Majanga makubwa mengine. Ila cha kushangaza na...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Maboresha makubwa hospitali ya Muhimbili

    Leo nimepita hospitali ya Muhimbili nimefurahishwa sana na maboresho ya miundombinu kuanzia utaratibu wa kuingia na kutoka magetini, vibao vya ishara, sehemu za kupumzika wageni/wagonjwa, huduma nzuri ya Askari wa SUMA JKT, majina ya wards nk. Hongera sana uongozi wa Hospitali ya Muhimbili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…