Makampuni makubwa yanaogopa na kusuasua kuwekeza Marekani

Xi Jinping

JF-Expert Member
Jun 14, 2023
525
1,816
Kuanzia TSMC, SAMSUNG, PANASONIC, HONDA na LG wameonyeshwa kutoridhishwa na sera za Marekani za uwekezaji.

Tuanze na makampuni ya kutoka nje yaliyoonyesha nia kuwekeza katika sekta ya utengenezaji chips (semiconductors)

TSMC
Hii ni kampuni ya kutengeneza chips (semiconductor) ambayo makao yake makuu ni Taiwan, ilianza kujenga kiwanda Arizona Marekani. Ila ujenzi unasuasua sana kutokana changamoto mbalimbali mojawapo ni serikali ya Marekani kutolipa ruzuku.

SAMSUNG
Samsung walijenga kiwanda cha kutengeneza chips kilichopo Texas, ambacho kingeanza uzalishaji mwaka 2024. Hata hivyo wamesimamisha mpango wa kuanza kutengeneza chips. Moja ya changamoto ni ucheleweshwaji wa ruzuku kutoka serikali ya Marekani na vibali kutoka kwa wenye mamlaka.

Kwenye sekta ya magari ya umeme, mojawapo ya hitaji muhimu ni betri za magari hayo. Hivi karibuni serikali ya Marekani ilipunguza ruzuku kwenye sekta ya magari ya umeme.

Mabadiliko ya sera hiyo imefanya makampuni ya Honda, Panasonic na LG kusitisha uwekezaji wa kutengeneza betri za magari ya umeme nchini Marekani.

HONDA
Kampuni ya Honda kutoka Japan walikuwa waingie ubia na kampuni ya kutengeneza magari ya Marekani ya GM kutengeneza betri za magari ya umeme. Mwezi Oktoba mwaka huu walitangaza kujitoa kwenye mradi huo.

PANASONIC
Kampuni hii ya Japan wamesitisha mpango wa kujenga kiwanda cha betri walichopanga kujenga mjini Oklahoma, Marekani.

LG
Hii ni kampuni ya Korea Kusini nayo imefuata hatua zilichokuliwa na Panasonic na Honda, imesimamisha mpango wake wa kushirikiana na kampuni kubwa ya utengenezaji magari ya Marekani ya Ford kujenga kiwanda cha betri za magari ya umeme mjini Kentucky, Marekani.

Mwanadiplomasia nguli na maarufu Mmarekani Henry Kissinger ambaye aliwahi pia kuwa Waziri wa Mambo ya nje ya Marekani aliyekufa Nov 29, 2023, aliwahi kunukuliwa akisema: "To be an enemy of the US is dangerous, but to be a friend is fatal."
 
Kuanzia TSMC, SAMSUNG, PANASONIC na LG wameonyeshwa kutoridhishwa na sera za Marekani za uwekezaji.

Sekta ya utengenezaji chips (semiconductors)

TSMC
Hii ni kampuni ya kutengeneza chips (semiconductor) ambayo makao yake makuu ni Taiwan, ilianza kujenga kiwanda Arizona Marekani. Ila ujenzi unasuasua sana kutokana changamoto mbalimbali mojawapo ni serikali ya Marekani kutolipa ruzuku.

SAMSUNG
Samsung walijenga kiwanda cha kutengeneza chips kilichopo Texas, ambacho kingeanza uzalishaji mwaka 2024. Hata hivyo wamesimamisha mpango wa kuanza kutengeneza chips. Moja ya changamoto ni ucheleweshwaji wa ruzuku kutoka serikali ya Marekani na vibali kutoka kwa wenye mamlaka.

Kwenye sekta ya magari ya umeme, mojawapo ya hitaji muhimu ni betri za magari hayo. Hivi karibuni serikali ya Marekani ilipunguza ruzuku kwenye sekta ya magari ya umeme.

Mabadiliko ya sera hiyo imefanya makampuni ya Panasonic na LG kusitisha uwekezaji wa kutengenezs betri za magari ya umeme nchini Marekani.

PANASONIC
Kampuni hii ya Japan wamesitisha mpango wa kujenga kiwanda cha betri walichopanga kujenga mjini Oklahoma, Marekani.

LG
Hii ni kampuni ya Korea Kusini nayo imefuata hatua zilichokuliwa na Panasonic, imesimamisha mpango wake wa kushirikiana na kampuni kubwa ya utengenezaji magari ya Marekani ya Ford kujenga kiwanda cha betri za magari ya umeme mjini Kentucky, Marekani.

Mwanadiplomasia nguli na maarufu Mmarekani ambaye aliwahi pia kuwa Waziri wa Mambo ya nje ya Marekani aliyekufa Nov 29, 2023. Aliwahi kunukuliwa akisema: "To be an enemy of the US is dangerous, but to be a friend is fatal."
Kampuni ikiwekeza marekani itauwezaja kupambana na soko la dunia waksti wengine wanakimbia kutoka huko wengine wanarudi huko tena mbona kituko
 
Viwanda wajenge huko huko china, taiwan, india na nchi za namna hiyo.
Vitu kama chips wanaogopa kuwekeza China kwa sababu ya geopolitical ya Marekani na China.

Marekani ana wasiwasi chips za hali ya juu zikitengenezwa China watazitumia kutengenezea silaha. Lakini kwa sasa pia China wameadvance sana kwenye chips makampuni ya ndani yanatumika sana. Kampuni kutoka nje itakabili ushindani mkubwa

Kwa upande wa betri za magari bado India na Taiwan ziko nyuma sana kwenye hii teknolojia na masoko kwenye nchi hizo mbili ni madsogo sana kwa sababu ya uchache wa magari ya umeme.

China tayari wana teknolojia kubwa sana kwenye kutengeneza betri za magari ya umeme kuna kampuni kubwa kama BYD, Li n.k kwa hiyo Panasonic na LG hawataweza kuhimili ushindani China watafunga viwanda vyao mapema sana
 
Mkuu pia Europe na usa regulations ni tight sana
 
Teknolojia si lazima iwe nayo taifa fulani, muwekezaji anaweza kuja nayo mwenyewe, pale ni anafata baadhi ya vigezo, mfano wafanyakazi wa bei rahisi na wenye ujuzi(elimu), sera za taifa kwa wawekezaji, soko la ndani uhakika wa nishati na vingine viingi.
 
Kuanzia TSMC, SAMSUNG, PANASONIC, HONDA na LG wameonyeshwa kutoridhishwa na sera za Marekani za uwekezaji.

Tuanze na makampuni ya kutoka nje yaliyoonyesha nia kuwekeza katika sekta ya utengenezaji chips (semiconductors)

TSMC
Hii ni kampuni ya kutengeneza chips (semiconductor) ambayo makao yake makuu ni Taiwan, ilianza kujenga kiwanda Arizona Marekani. Ila ujenzi unasuasua sana kutokana changamoto mbalimbali mojawapo ni serikali ya Marekani kutolipa ruzuku.

SAMSUNG
Samsung walijenga kiwanda cha kutengeneza chips kilichopo Texas, ambacho kingeanza uzalishaji mwaka 2024. Hata hivyo wamesimamisha mpango wa kuanza kutengeneza chips. Moja ya changamoto ni ucheleweshwaji wa ruzuku kutoka serikali ya Marekani na vibali kutoka kwa wenye mamlaka.

Kwenye sekta ya magari ya umeme, mojawapo ya hitaji muhimu ni betri za magari hayo. Hivi karibuni serikali ya Marekani ilipunguza ruzuku kwenye sekta ya magari ya umeme.

Mabadiliko ya sera hiyo imefanya makampuni ya Honda, Panasonic na LG kusitisha uwekezaji wa kutengenezs betri za magari ya umeme nchini Marekani.

HONDA
Kampuni ya Honda kutoka Japan walikuwa waingie ubia na kampuni ya kutengeneza magari ya Marekani ya GM kutengeneza betri za magari ya umeme. Mwezi Oktoba mwaka huu walitangaza kujitoa kwenye mradi huo.

PANASONIC
Kampuni hii ya Japan wamesitisha mpango wa kujenga kiwanda cha betri walichopanga kujenga mjini Oklahoma, Marekani.

LG
Hii ni kampuni ya Korea Kusini nayo imefuata hatua zilichokuliwa na Panasonic, imesimamisha mpango wake wa kushirikiana na kampuni kubwa ya utengenezaji magari ya Marekani ya Ford kujenga kiwanda cha betri za magari ya umeme mjini Kentucky, Marekani.

Mwanadiplomasia nguli na maarufu Mmarekani ambaye aliwahi pia kuwa Waziri wa Mambo ya nje ya Marekani aliyekufa Nov 29, 2023, aliwahi kunukuliwa akisema: "To be an enemy of the US is dangerous, but to be a friend is fatal."

We umetoa wapi hii? Any references? Au ndoto tu za kibongo against mabeberu mlivyokaririshwa?
 
Teknolojia si lazima iwe nayo taifa fulani, muwekezaji anaweza kuja nayo mwenyewe, pale ni anafata baadhi ya vigezo, mfano wafanyakazi wa bei rahisi na wenye ujuzi(elimu), sera za taifa kwa wawekezaji, soko la ndani uhakika wa nishati na vingine viingi.
Umesema kweli kama jinsi sera ya uwekezaji ya Marekani imekuwa sio rafiki kwa kampuni za nje
 
We umetoa wapi hii? Any references? Au ndoto tu za kibongo against mabeberu mlivyokaririshwa?
Watu mko so sensitive na US hata taarifa za kweli ambazo zimetapakaa kote mnazikataa.
Hii vita ya biashara na technology imekua kubwa sana kiasi kwamba makampuni yanapata shida sana hasa vita ya US na china katika boashara na tech.
 
Mbona huitaji nchi yako huna kabisa uzalendo. Bure kabisa.
Kwamba nikiitaja nchi yangu ndio wawekezaji watakuja ama, we ni sifuri kabisa.

Uzalendo wa kipuuzi sina.
Nchi umeme mtihani
Elimu ya kuunga unga,
hali ya maisha ya mtanzania ni mbovu kufanya kuhimili kununua bidhaa mpya,
unadhani toyota aje kujenga kiwanda chake hapa kuna mtu atamudu kununua ist mpya kwa milioni 60+!? Atauza gari ngapi kwa mwaka!?

Nchi ya kipuuzi hii.
 
Kwamba nikiitaja ndio watakuja ama,

Uzalendo wa kipuuzi sina.
Nchi umeme mtihani
Elimu ya kuunga unga,
hali ya maisha ya mtanzania ni mbovu kufanya kuhimili kununua bidhaa mpya,
unadhani toyota aje kujenga kiwanda chake hapa kuna mtu atamudu kununua ist mpya kwa milioni 60+!? Atauza gari ngapi kwa mwaka!?

Nchi ya kipuuzi hii.
Heheeee nimecheka
 
Back
Top Bottom