Picha: Hivi mpaka sasa bado kuna wanandoa ambao hutenganisha chumba chao kuwa vyumba viwili kwa kutumia mashuka makubwa?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Hizi mambo mara ya mwisho kuziona ilikuwa ni 2008. Nimeshtuka sana pale nilipocheki chumba cha mfanyakazi mwenzangu

Ona sasa!
GA_ESX7WQAAdtNi.jpeg
 
We jamaa una miaka mingapi!? Eti nawewe siku moja unakuja kuwa kiongozi wa nchi hii kwa mitazamo ya hivi!!

Ukiachana na kulala hivyo tambua kuna watanzania wanalalia ngozi za wanyama,kuna watanzania wanashindia mlo mmoja,kuna watanzania wanakufa kwa kukosa hata mia tano ya Panadol kuna watanzania wana lala chumba kimoja na mabinti au vijana wao walio katika barehe

Ukifanikiwa acha kuchukulia kila mtu kafanikiwa,nyie ndo watu ambao ukila chips kuku uanadhani na watanzania wote siku hiyo wamekula chips kuku,pole sana yaani!!
 
😂😂Hapana mkuu, sikumaanisha hivyo. Ninamhurumia tu mshkaji anavyoiangalia nyapu kwa huruma pasi na kupewa mzigo. Mwanamke amejikausha kabisaa kana kwamba hana habari

Ila wanawake wengine ni wakatili asikwambie mtu
Ukiona umefanikiwa usiwashangae ambao bado. Cha ajabu nini sasa hapo?
 
Wanaomiliki chumba kimoja wako wengi tu. Sema siku hizi watu hawaweki pazia. Chumba kinapangwa vizuri sana maisha yanawndelea. Kuna siku Dina Marios aliendesha single room challenge watu kibao walitupia video kuonesja mpangilio wa hizo single rooms. Aliyepangilia vizuri chumba chake alipata zawadi
 
We jamaa una miaka mingapi!? Eti nawewe siku moja unakuja kuwa kiongozi wa nchi hii kwa mitazamo ya hivi!!

Ukiachana na kulala hivyo tambua kuna watanzania wanalalia ngozi za wanyama,kuna watanzania wanashindia mlo mmoja,kuna watanzania wanakufa kwa kukosa hata mia tano ya Panadol kuna watanzania wana lala chumba kimoja na mabinti au vijana wao walio katika barehe

Ukifanikiwa acha kuchukulia kila mtu kafanikiwa,nyie ndo watu ambao ukila chips kuku uanadhani na watanzania wote siku hiyo wamekula chips kuku,pole sana yaani!!
😂😂Hapana mkuu. Sikuwa na maana hiyo. Jamaa ananyimwa mbususu hivyo huku anaona
 
Wanaomiliki chumba kimoja wako wengi tu. Sema siku hizi watu hawaweki pazia. Chumba kinapangwa vizuri sana maisha yanawndelea. Kuna siku Dina Marios aliendesha single room challenge watu kibao walitupia video kuonesja mpangilio wa hizo single rooms. Aliyepangilia vizuri chumba chake alipata zawadi
Na kweli mkuu, tabia ya kuweka mashuka kiasi hicho ni dalili ya uchafu. Huko utakuta kunguni wamejazana kitandani jumlisha manguo ambayo hayajakunjwa yametupiwa kitandani
 
😂😂Hapana mkuu, sikumaanisha hivyo. Ninamhurumia tu mshkaji anavyoiangalia nyapu kwa huruma pasi na kupewa mzigo. Mwanamke amejikausha kabisaa kana kwamba hana habari

Ila wanawake wengine ni wakatili asikwambie mtu
Mwamba kazingua kaweka kondom sita mezani dem lazima apandishe dau.
 
Kuna sheria inasema hakuna kuoana bila kuwa na hela?
Kila mtu na mtazamo wake, uwazavyo sivyo wawazavyo watu wote.
Itakuwaje kwa watoto wao kama watakuja kuwafungulia kesi ya kuwazaa katika maisha ya shida, ama kuwazaa pasi na ridhaa zao?

Tutafuteni hela ndugu zanguni
Yote kwa yote, uzi haukuwa na maana hii, nilimaanisha mshkaji anatia huruma huku binti akitia mgomo kwenye suala zima la kumpatua mshkaji mbususu
 
😂 Sasa ni kwanini wanaoana ilihali wote hawana hela?
So,waliooana wakiwa na hela,hawatenganishi vitanda? Hela haioi,ungeuliza kwa nini labda wafikie uamuzi huo. Wenye nyumba kubwa na hela zao,wanatengana vyumva. Wenye hali duni,wanatenganisha vitanda.

Japo kwa picha hii,inaonekana mshikaji kamleta kwenye getho lake,huenda bibie alijua atakuta bonge la kitanda,TV,friji,kuoga ni humo humo ndani,sasa haelewi anaanzaje
 
KATAA NDOA

NDOA NI AJIRA KWA WANAWAKE

KIJANA HANA KAZI LAKINI ANAFUGA MTU ANALISHA ASUBUHI HADI USIKU KWA TABU KWA KUFANYA KAZI NA VIBARUA VIGUMU

NDOA NI AJIRA KWA WANAWAKE, NARUDIA.

KATAA NDOA
TUNZA KIBUNDA
TUNZA FURAHA YAKO
 
Itakuwaje kwa watoto wao kama watakuja kuwafungulia kesi ya kuwazaa katika maisha ya shida, ama kuwazaa pasi na ridhaa zao?

Tutafuteni hela ndugu zanguni
Yote kwa yote, uzi haukuwa na maana hii, nilimaanisha mshkaji anatia huruma huku binti akitia mgomo kwenye suala zima la kumpatua mshkaji mbususu
Unajuaje kama maisha yao yote watakuwa na kipato kidogo?
Watu wengi wasingezaliwa kama wazazi wao wangekuwa na mawazo yako.
 
Back
Top Bottom